Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake
Esper alipishana kauli na Rais Trump kuhusu namna Ikulu (White House) ilivyotumia Jeshi wakati wa...
KWA VYOMBO VYA ULINZI
Askofu Mkuu Oscar Romero wa El-Salvador ana ujumbe kwa vyombo vya ulinzi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28/10/2020. Baba Mtakatifu Papa Francis alimtangaza kuwa Mtakatifu tarehe 14/10/2018. Askofu Romero alizaliwa 15/8/1917 na kufariki 24/3/1980. Alipadrishwa kuwa Padre...
Katika kipindi hiki cha kampeni za urais, nimekuwa nikimwona huyo jamaa aliyevaa ‘Kaunda suti’ ya buluu hapo kwenye picha, akiwa pembeni ya Tundu Lissu karibu kila sehemu.
Nikiangalia mavazi yake pamoja na hako ka peni alikokachomekea kwenye mfuko wake wa shati, naona ana fit profile ya wale...
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
ajira
asante
basi
body
ccm
chadema
chato
haki
haki za binadamu
hana
healthcare
hotuba
jpm
kagera
kampeni
kanda ya ziwa
kazi
kununua
kuomba
leader
lissu
lisu
maadili
mabeberu
madaraka
maendeleo
matokeo
mbunge
media
mji
morogoro
mpango
mwanza
nchi
ndege
nyumbani
party
picha
polisi
reggae
sayansi
serikali
sgr
sheria
siasa
siku
siri
song
tanga
tanganyika
tanzania
tarime
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ukweli
ulinzi
upinzani
urais
ushindi
video
vijana
vitu
wananchi
wasanii
watanzania
wote
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu
Humu 'Mitaani' wanasema kwamba.....
1. Walinzi wa Rais Trump licha ya kuwa ni Makomandoo Kimafunzo lakini pia huwa ni Wachawi waliotukuka
2. Walinzi wa Rais Trump huwa hawalali kabisa bali Wao 24/7 huwa wanakunywa tu Kahawa ili Wasinzie
3. Walinzi wa Rais Trump huwa wanasimama nje ya Chumba...
Salaam wadau.
Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV.
Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina.
JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema Waziri wa Ulinzi anauwezo mkubwa hata wa kupindua nchi kwa kuwa vifaa vyote viko chini yake
Aidha amemsifu Dkt. Hussein Mwinyi, ambaye ni mgombea urais Zanzibar kuwa alikuwa waziri wa Ulinzi kwa miaka 11 na...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa eneo hilo Mhe. Joseph Mbilinyi , leo amefika kata ya Nsalanga kuomba kura kama sheria inavyoelekeza, pamoja na mkutano wake kuvunja rekodi ya mahudhurio lakini kumefanyika tukio la kiapo cha uaminifu , ambapo umati wa wananchi hao...
Kuna Walinzi wa Marais (Viongozi) fulani duniani kwa mfano wale wa Vladmir Putin wa Urusi, Paul Kagame wa Rwanda na hata Walinzi wa Papa Fransisco ambao 'nimedokezwa' na 'Wabobezi' wa haya 'Masuala' kuwa ndiyo wako 'imara' mno ila kinachonishangaza wana Miili ya 'Kawaida' sana na si ya...
Vyombo vya ulinzi na usalama vikiwakilishwa na mkuu wa Majeshi General Mabeyo na wakuu wa mikoa wakiwakilishwa na RC Ndikilo wa Pwani wamekabidhi mchango wao wa ujenzi wa msikiti kwa shehe wa wilaya ya Chamwino shehe Matitu.
Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wamechangia jumla ya sh 30...
Soma pia>>> Do African political activists actually fight for democratic change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God...
Uzoefu unanifundisha kuwa maumivu mengi tunayokutana nayo hapa Duniani yanatokana na sisi wenyewe kushindwa kuwajibika katika maisha yetu " living active life". Leo tumefikia hatua ya kushindwa kabisa kujitofautisha na matatizo na kufikiri sisi wenyewe ndiyo matatizo jambo ambalo siyo sahihi...
Wakuu habari zenu.
Niko kwenye hatua za mwisho za kuanzisha mradi wangu ambao utahitaji huduma ya ulinzi wa walinzi wengi katika maeneo mbalimbali.
Kwa wazoefu wa kuajiri walinzi binafsi lakini wenye mafunzo na weledi na hawa wa kupitia makampuni, wapi wanakuwa na huduma bora?
Binafsi...
Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020.
Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
Kuna swala ambao hata mimi linaniumiza sana kichwa ki ukweli haya mambo ya ulinzi shirikishi hii nchi sijui yanatokea wpi yanaanzia wapi na yanaenda wapi, kuna hela zinachangishwa hizi hela anazila nani zinaenda wapi na kwanini tunachangishwa.
Mimi kama kawaida yangu n mzee wa kurudi nyumbani...
Hussein Mwinyi ambaye ni Waziri wa Ulinzi anayetarajiwa kumaliza muda wake mapema leo amechaguliwa awe mgombea wa CCM huko Tanzania Visiwani,Zanzibar. Jambo la kheri na hongera kwake!
Sasa basi,hoja hapa inabaki katika muktadha wa nani baada ya yeye atakuwa mbadala katika nafasi atakayoiacha...
Katika mahojiano kati ya Mhe. B. C. Membe na Sammy Awami wa BBC Swahili, alisikika akijibu swali linalohusu vyombo vya usalama na ulinzi vya dola kuingilia masuala ya uchaguzi wa kisiasa; mfano, Urais, Wabunge na Madiwani na kuharibu usawa katika uwanja huo.
Akiwa kama 'kachero mbobezi na...
Mhe. Waziri wa Elimu na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, naomba ufafanuzi natumai mnasoma swali hili, ni kwamba inapofika wakati wa Mitihani ya Form 6 na Form 4 Askari huwa ni walinzi pale Strong Room yalipo Mitihani, na huwa wanapewa posho kwa ajili ya ulinzi huo, sasa imeanza kuwa desturi au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.