Serikali ya Kenya ondoeni Majeshi yenu huko Somalia kisha imarisheni ulinzi mkali na ndani

Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
3,032
3,478
Hili ni bandiko la WITO

Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika nchi vamizi ni uvunjifu wa haki za binadamu. Nchi ya Somalia haijawahi kuomba seriikali ya Kenya na washirika wake wa Uingereza na Marekani kuweka makambi ya kijeshi nchini humo.

Uhalifu wa kivita unaotokea nchini Somalia kwa mwamvuli wa kupambana na kikundi cha kigaidi cha Al Shabab kinachoungwa mkono na kikundi cha Al Qaeda wakitaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani na kusimika serikali yenye mfumo wa itikadi ya Kiislamu.

Kikundi cha Al Shabab kimejiimarisha kwa muda mrefu eneo la Badoa, Mogadishu, Adayo, Beledweyne, Kisimayo ambapo eneo hilo wanajiita Jubaland, ambalo liko mwambao mwa bahari ya likipakana na nchi ya Kenya. Utawala wa Somalia umepoteza udhibiti wa nchi nzima kutokana kikundi hicho kilichoachwa kwa muda mrefu kujiimarisha kama ilivyo Boko Haram huko nchini Nigeria.

Kenya inatakiwa ijifunze jinsi Tanzania inavyoshughulika na vikundi vinavyojitokeza huko kusini mwa nchi (Mtwara na Ruvuma) vye itikadi ya kigaidi vikiua wananchi wasio na hatia huku wakipora mali na kuendesha ubakaji. Kikundi cha kigaidi cha Al Shabab kimeanzisha makazi mengine huko kasikazini mwa nchi ya Msumbiji ambako wakiwa huko hutamani kuvuka mpaka kuingia Tanzania ili kuendesha uharifu wao lakini vyombo vya dola vinawadhibiti mapema kabla madhara makubwa hayajasababishwa na itikadi yao.

BBC ni mashahidi kutokana na kile walichokiandika hapa: Somalia conflict: Al-Shabab 'collects more revenue than government'

Kenya wataendelea kupigana ndani ya nchi ya Somalia vizazi kwa vizazi lakini hataweza kukidhibiti kikundi hicho kamwe hivyo kuendelea kusababisha madhara kwa binadamu pasipo uhalali wowote.

WITO; Umoja wa Afrika na Jumuiya ya kimataifa waingilie kati suala hili kwa kuishauri nchi ya Kenya na washirika wake kuyaondoa majeshi yao huko Jubaland ili kuokoa upotevu ya maisha ya watu wasio na hatia.

Umoja wa mataifa na umoja wa Afrika wasimamie eneo katika mpango wa amani kama ilivyo Sudani, DR Congo, Lebanon nk huku utawala wa nchi hiyo washauriwe kuunda serikali shirikishi kwa watu wote.

1612090896462.png

MAUAJI YANAYOENDELEA HUKO SOMALIA lakini hakuna taifa lolote linalokemea HAIKUBALIKI KABISA

Kwa wapenda amani, haki na kuheshimu uhuru wa nchi nyingine watapaza sauti ili visa hivi vya wananadabu vyenye kuleta uharibifu na mauji vikome na kuishi salama.
 
Moja ya chambuzi bora wa kuagia January.

Tony254 ni lini wakunya mtapata akili ya kufungua uzi wenye uchambuzi murua kama huu?
 
Did you just say that we should learn from you. You went to congo and raped young boys. Wtf . And there is already a un force in somalia called AMISON.
 

Attachments

  • Screenshot_20210131-230257_Chrome.jpg
    Screenshot_20210131-230257_Chrome.jpg
    40.3 KB · Views: 1
Did you just say that we should learn from you. You went to congo and raped young boys. Wtf . And there is already a un force in somalia called AMISON.
Have you any substantial evidence implicating our lovely and integrity seasoned officers that they were involved in the purported raping?

If you you are a Kenyan you are doomed with human rights abuses in Somalia; in a few months to come the world will have their eyes opened and furiously backlash at you guys. A biased UN force is deployed in Somalia to safeguard the conflict beneficiaries like you.

Please pack off and leave from Somalia as soon as possible. You aggressively deployed yourself in a country that is fully soverign state for presumptrive excuses, killing a scores of innocent citizens. There is no peace keeping mission in Somalia rather a watchdog track groupings with direct interests aling the horn of Africa shores.
 
Weye tundika kundu lako kwa linalokuhusu Kyle Msumbiji ,ya Kenya hayawahusu.
Kalb hayawan.
 
Weye tundika kundu lako kwa linalokuhusu Kyle Msumbiji ,ya Kenya hayawahusu.
Kalb hayawan.
Kenya stormed in Somalia flexing its delicate and faked military muscles but is ending up losing the battle the effect that shall haunt ithe nation for several decades to come.

Are you a Kenyan? Gosh!!! You are fighting without using professional intelligence, you are abusing human rights, you are being involved in masscre killings for the faked terrorism accusation against your sisterhood state; You have lost moral authority to point a finger at anybody violating the civilization.
 
Back
Top Bottom