Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020.
Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
Kuna swala ambao hata mimi linaniumiza sana kichwa ki ukweli haya mambo ya ulinzi shirikishi hii nchi sijui yanatokea wpi yanaanzia wapi na yanaenda wapi, kuna hela zinachangishwa hizi hela anazila nani zinaenda wapi na kwanini tunachangishwa.
Mimi kama kawaida yangu n mzee wa kurudi nyumbani...
Hussein Mwinyi ambaye ni Waziri wa Ulinzi anayetarajiwa kumaliza muda wake mapema leo amechaguliwa awe mgombea wa CCM huko Tanzania Visiwani,Zanzibar. Jambo la kheri na hongera kwake!
Sasa basi,hoja hapa inabaki katika muktadha wa nani baada ya yeye atakuwa mbadala katika nafasi atakayoiacha...
Katika mahojiano kati ya Mhe. B. C. Membe na Sammy Awami wa BBC Swahili, alisikika akijibu swali linalohusu vyombo vya usalama na ulinzi vya dola kuingilia masuala ya uchaguzi wa kisiasa; mfano, Urais, Wabunge na Madiwani na kuharibu usawa katika uwanja huo.
Akiwa kama 'kachero mbobezi na...
Mhe. Waziri wa Elimu na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, naomba ufafanuzi natumai mnasoma swali hili, ni kwamba inapofika wakati wa Mitihani ya Form 6 na Form 4 Askari huwa ni walinzi pale Strong Room yalipo Mitihani, na huwa wanapewa posho kwa ajili ya ulinzi huo, sasa imeanza kuwa desturi au...
Moja ya majukumu makubwa ya Rais ni kusimamia vizuri mapato na matumizi ya serikali.
Lakini ana kazi ingine kubwa sana ya kusimamia mitaji ya umma ambayo pesa za serikali zimewekwa kwenye vitega uchumi mbalimbali kwenye mashirika ya umma na taasisi ii hiyo mitaji isife.
Tunakumbuka kwa marais...
Bi Hussina Amekamatwa na watu wanaosadikika kuwa ni Police, na yuko kituo cha Polisi Geita.
NYUMBANI kwake kumejaa Polisi nje na ndani. Kosa la yeye kushikiliwa halijulikani.
Zaidi soma:
Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka...
Habari!
Pantsir-SM, mfumo wa ulinzi wa anga (short-medium range mobile air defense system) unaosubiriwa kwa hamu, unatarajiwa kuzinduliwa panapo Juni 24 katika gwaride la kijeshi jijini Moscow katika sikukuu maalumu inayofahamika kama Siku ya Ushindi ama Victory Day nchini Urusi.
Mfumo huu wa...
Mbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.
WASIFU
Dkt. Hussein Ali Mwinyi ni Waziri wa...
Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama
Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi...
Inawezekana pesa zile zimekuwa za mtu binadsi sio mali ya umma. Kwenye mapato ya serikali hazipo
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support (wa kwanza kulia), Bresing Kachambwa na Wahasibu wa kampuni hiyo wakiwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa wakituhumiwa kushindawa kuwasilisha NSSF michango ya makato ya wafanyakazi wake kiasi cha Sh bilioni 8.417.
Ripoti hizo mbili zinazozinduliwa ni:
Intergration of Child Protection into Early Childhood Development (Namna Bora ya Kujumuisha Dhana ya Ulinzi wa Mtoto Katika Elimu ya Awali)
Assessment of Learning and Teaching Environment for Pre-primary Education in Tanzania, 2019 (Mazingira ya Kujifunza...
Habari kubwa mitandaoni ni Naibu Waziri ndugu Waitara kukoswakoswa na kipondo cha haja kutoka kwa wananchi.
Naibu Waziri alionekana akizongwazongwa na akiwa na hofu kubwa, hakuwa na ulinzi wa mgambo wala Polisi wakati akisakamwa na wananchi hao
Hakuwepo Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa WIlaya, RPC wala...
Position: Walinzi (3)
RIJK ZWAAN
Location: Arusha & Moshi
Job Summary
Kulinda mali za kampuni, mazingira yanayozunguka kampuni na nyumba za wafanyakazi wenye stahiki ya kupewa walinzi majumbani. Kuelewa na kushiriki katika kudhibiti matukio mbalimbali yanayohusiana na majanga ya asili kama...
Jana ilikua madereva 23 wa Tanzania, leo ni nane. Halafu ukiwaza wote hawa kabla kufika mpakani na Kenya huko walikotoka wanatema mbegu balaa, natumai kila wanaorudishwa kwao hawaingii mtaani, wanajifungia au kufungiwa sehemu.
Sijui lini ndugu zetu wa Kusini watelewa kwamba hiki kitu kipo na...
Tumezoea kuona makadirio ya wizara yakiwasilishwa na mawaziri wa wizara husika lakini leo imekuwa tofauti makadirio ya wizara ya ulinzi yamewasilishwa na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu mh Mhagama.
Naelewa kuwa mh Mhagama ndiye mnadhimu wa bunge lakini hili la uwasilishaji makadirio...
Spika Ndugai mchana huu ametambulisha uwepo wa viongozi wakuu wa JWTZ na JKT waliopo bungeni wakiongozwa na General Mabeyo.
Wengine ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi na mkuu wa JKT
Haya ni mambo ya jeshi, naomba niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema...
Mhe. rais km mpambanaji namba 1 kwenye taifa letu la tanzania lenye kila aina ya maliasili tulizobarikiwa na mungu. tunahitaji kusikia kitu kutoka kwako tunahitaji kufahamu hapa tulipo tuna fanyaje na huko mbele tunaendaje.
Katika kipindi hiki kigumu mno kwa dunia na sisi tukiwemo janga hili...
Ombi: Naomba nitangulize ombi la kusamehewa kama nitakuwa nimewakwaza watu katika mchango huu wa mawazo.
Nitatoa maoni kwa mtindo wa kuuliza swali ili tupate mawazo ya watu wengi, huenda tuna nguli wengi wa kidiplomasia humu JF.
Mawazo Yangu: Lile angalizo alilotoa kiongozi mkuu kuhusu kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.