ulinzi

  1. U

    Kenyatta afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saud Arabia

    Rais wa Kenya Mhesh Uhuru Kenyatta leo Mei 26, 2021 katika Ikulu ya Nairobi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saud Arabia Mwana Mfalme Faisal Bin Farhan AlSaud Viongozi hao walijadili na kukubaliana kuongeza ushirikiano wa nchi zao kwenye maeneo ya Ulinzi na...
  2. Mshana Jr

    Ni muhimu kumuogezea kiongozi mkuu ulinzi wa uhakika zaidi kwakuwa adui kadhamiria kutenda maovu

    Mchakato wa kumpata mkuu wa nchi ni mchakato wenye gharama kubwa. Na anapopatikana mmoja basi jukumu kubwa la kwanza ni afya yake na ulinzi wake! Kama vile hakuna binadamu anayekosa rafiki, vilevile hakuna binadamu anayekosa adui na rais wa nchi si malaika wala kizuka.. Rais ni binadamu hivyo...
  3. DULAIKI COMPANY

    Jipatie kombati ya kijeshi ya ngozi

    Kombati za kijeshi leather pure zinapatikana kwa Bei ya rejareja na jumla. Rejareja 65000 Jumla 4000 kuanzia pair 10. Kwa Dodoma mjini tunakuletea bure na Nje ya Dodoma mjini na mikoani tunatuma kwa gharama za mteja kwa uaminifu mkubwa. Kununua tupigie 0762967368/0655325457 au fika ofisi ya...
  4. R

    Kwa tuhuma alizonazo Ole Sabaya, anaweza akakimbia nchi, awekwe chini ya ulinzi

    Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri. Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo, za mauaji ya wazi, utekaji etc inatoa uhalali wa kumweka kizuizini asitoroke ili haki itendeke...
  5. Erythrocyte

    BAWACHA hawatanii, waomba ulinzi wa Polisi, RPC Muroto maji yamfika shingoni, aonywa aache siasa

    Habari kamili hii hapa ====== Bawacha wamesema kuwa, hao ni wabunge wasiokuwa na chama, wanamwambia kamanda Muroto kuwa pamoja na kusema utatupiga mabomu sisi tunaandama mpaka Dodoma. Wewe sio mwanasiasa achana na mambo ya siasa kazi yako ni kutulinda sisi na mali zetu, tunakata tujibiwe na...
  6. mngony

    Kuletewa Balozi mtaalamu wa Ulinzi wa Masuala ya Mitandao ni 'Diplomatic Gesture' ?

    Kwa wale mliofatilia tukio la kukabidhi hati Ikulu Magogoni kwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania, mtakuwa mlisikia kuwa Balozi mpya wa Italy nchini ni mbobezi wa masuala ya 'Cyber Security' Je hii ni diplomatic gesture? Kwamba viongozi wetu wakubwa wameonekana kulalamika dharani...
  7. mngony

    Moja ya picha adimu sana ya wakuu wetu wa Ulinzi na Usalama

    Baada ya huzuni ya mwezi mmoja, sasa wanaendelea na majukumu yao kwani Taifa la watu mil 60 liko chini ya uangalizi wao, Ukubwa ni dawa. Sijui nini kilichowafanya wazee hawa angalau wakacheka.
  8. J

    Polepole azungumza na waandishi wa habari akiwa na ulinzi wa wasaidizi wake wote wanawake

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake. Taarifa kamili inakuja.
  9. L

    Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

    Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu Mimi napenda sana mawala ya ulinzi lakini nilivo jiunga kwa mujibu wa sheria mwaka2019 sikubahatika kupata nafasi ya kuendelea na mswala ya kijeshi na baadae kujiunga chuo kikuu Fulani hapa bongo lakini Bado napenda sana maswala ya ulinzi mwenye...
  10. U

    Waziri wa Zamani Wa Ulinzi Wa Burundi Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye Amefariki Leo Akitumikia Kifungo Cha Maisha Jela

    Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye alihukumiwa kifungo cha maisha jela Januari 2016 kwa kuhusika jaribio la kuipindua Serikali ya Mwendazake Piere Nkurunziza. Jaribio hilo lililoshindwa lilifanyika Mei 16,2015 wakati Mwendazake Piere Nkrunziza akihudhuria Kikao cha Wakuu wa Jumuiya ya Afrika...
  11. Nyankurungu2020

    Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

    Hii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna. Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila uzandiki wao unaonekana kupitia mitandao lakini hawakamatiki hilo ni tatizo kubwa. Kwamba wapo...
  12. Tomaa Mireni

    Anayejua faida ya ulinzi shirikishi (sungusungu)

    Kwanza natangulia kusema nitashukuru kwa watakaonielimisha. Faida hasa ya sungu sungu ni nini? Kazi ya polisi ni nini ili itofautiane na hii ya sungu sungu? Kuna umuhimu wa kuwa na sungu sungu katika mtaa wako? Najua kuna watakaosema wanapunguza wizi japo si kwa asilimia 100,je kama ipo na...
  13. J

    Makubaliano ya Umoja wa Afrika kuhusu ulinzi wa Data binafsi za watu

    Ibara ya 8 ya makubaliano hayo imeweka malengo ambayo Watanzania wangenufaika nayo kama #Serikali ingekuwa imetia saini Moja ya lengo ni: Kila #Taifa lazima lihakikishe linatengeneza sheria kwa ajili ya kuimarisha #Haki za msingi za binadamu, uhuru wa raia ikiwemo ulinzi wa taarifa zao na kutoa...
  14. masopakyindi

    Kuingiliwa kwa Sera na uendeshaji wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, wabunge jadilini hili

    Siyo siri, katika Awamu ya Tano iliyopita Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama viliingiliwa kiutendaji kiwazi wazi. Hii inaweza leta athari kubwa sana lisipokabiliwa mapema. Tunaona sasa hivi kwa mfano hao vijana wa JKT walioahidiwa ajira utafikiri wanaajiriwa kiwandani. Kucheza na hivi vyombo...
  15. J

    Nini maana ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data Protection)

    Ulinzi wa taarifa ni mchakato wa kulinda taarifa muhimu dhidi ya kuibwa, kutumiwa vibaya, kuharibika au kupotea. Taarifa hizi ni zile ambazo mtu anajaza, anaandikisha au zinakusanywa kutoka kwake kupitia nyenzo za kidigitali au nje ya mtandao Ingawa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  16. JMipicha

    Naombeni wapewe ulinzi na sanamu wajengewe

    Asubuhi tulivu nikiwasalimu nyote. Ningependa kusema kuna watu wanastaili kabisa kupewa ulinzi maana wanafanya mambo ya kupendeza sana au nasema uongo ndugu zangu .naanza kama hivi. 1. Wale mademu ambao wanakula na kupendeza kwa hela zao (Hawapigi vibomu vya kijinga mpaka uwape mwenyewe ) 2...
  17. B

    Nini jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama kuwadhibiti wanasiasa wanahujumu nchi kwa ndimi mbili?

    Naomba tujiulize vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimeshindwa kuingilia kati huu uchafuzi wakisiasa unaofanywa na viongozi waandamizi wakisiasa? Hatuwezi kuwa na Taifa ambalo viongozi leo Wana msimamo huu kuhusu rasilimali na kesho wana msimamo ule kuhusu rasilimali zetu na hakuna...
  18. Mwanamayu

    'Kuta kwelikweli, ulinzi wa CDF, lakini Tanzanite inatoroshwa kama mwanzo', hii imekaaje jamani?

    Sasa Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu anasema juhudi zimefanyika kudhibiti wizi wa Tanzanite pale Mererani. Juhudi hizo ni pamoja na ujenzi wa ukuta wa umbali kama km 25 hivi, na kuweka ulinzi wa JWTZ. Lakini bado Tanzanite inaondoka kama mwanzo. Neno hilo limemfanya mpaka CDF 'ametikisika kwenye...
  19. Nyani Ngabu

    Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

    Mengi yalizungumzwa kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli. Wengi wakakosoa kwamba analindwa na maaskari wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi huku wameshikilia mabunduki makubwa. Ni viongozi wengi tu duniani hulindwa hivyo. Hata Rais wa Marekani hulindwa na wanausalama wenye mabunduki makubwa na wanaovaa...
  20. Webabu

    Kwanini wake na waume wa Marais wapewe ulinzi?

    Mimi sina uzoefu wa uongozi wa kiserikali lakini nikiwa mume mwenye wake wanne nina uzoefu sana na mambo yanavyokwenda majumbani mwetu. Raisi au mfalme ni mtu mkubwa katika taifa lolote lakini anapoingia chumbani kwake kulala na kujipumzisha na mwenzake anakuwa binadamu wa kawaida sana. Ana...
Back
Top Bottom