uchumi

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa serikali: Uchumi wa Tanzania umekua kwa 6.9%

    Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema kwa takwimu za mpaka September 2019, uchumi wa Tanzania umekua kwa 6.9% huku matarajio yakiwa ni kufikia hadi 7.1% “kwa Afrika Mashariki tunahangaika na Rwanda, kwa Nchi za SADC Tanzania ni miongoni mwa Nchi ambazo zinaongoza kwa uchumi wake...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nini mchango wa Freemasons katika ukuaji wa uchumi wa Tanzania?

    Wakuu nimekaa kijiweni najiuliza hawa mabwana wana mchango gani katika maendeleo ya nchi yetu? Wanakakanisa pale karibu na BOT, ila tofauti na makanisa/misikiti mingine sijawahi kusikia wanafanya mikutano ya hadhara (huamasisha amani). Kutoa misaada kwa jamii (Yatima, wagonjwa na walemavu)...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu kodi za nyumba, gharama za maisha na hali ya uchumi

    Nianze kwa kusema kwamba suala hili sasa imefika wakati liwe na mjadala wa kitaifa ili tuweze kufanya sekta ya makazi iweze kuwa rasmi na zaidi ili kuhakikisha kwamba wananchi wanapewa makazi bora na wanaishi katika mzingira rafiki. Kuna ambao wanaweza wakafikiri kwamba watanzania wengi wana...
  4. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Tanzania ya viwanda yenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025

    Mwanzo wa mwaka huu ni kengele ya miaka mitano kuelekea 2025 mwaka ambao Tanzania ilipanga kuwa imefikia lengo lake la kuwa nchi ya uchumi wa kati, ya viwanda.Dira hii ambayo Tanzania ilianza nayo mwanzoni mwa karne hii ya 21 inatambulika kuwa ni moja ya malengo makubwa ya Rais Dkt John...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Siku zote tunasema CCM kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi namba 1 hapa nchini

    Siku zote tunasema Ccm kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi no.1 hapa nchini. CAG alitoa taarifa kuwa kuna ubadhirifu kwenye wizara ya mambo ya NDANI mkamkejeli,akasema Bunge ni dhaifu mkamkejeli. Kangi akamwita muongo mkamshangilia BUNGENI,haya yako wapi Leo. Mkamuundia zengwe mkamtimua...
  6. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Hali ya uchumi wa mtu mmoja mmoja sio mzuri

    Wakuu kila kona mtaani watu wanalalamika hela hamna, na kila mtu anasema huu mwaka unaonekana ni mgumu kuliko mwaka uliopita. Ijapo watu wanalalamika lakini serikali yetu wala haina habari na wananchi wake kila mtu anapapambana na hali yake kwa kweli. Vijana nao wanalia hamna ajira sasa...
  7. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Kufungia simu Serikali itapoteza zaidi ya 30% ya kodi toka makampuni ya simu

    Huu mchakato wa kusajili laini za simu kwa kutumia kitambulisho cha NIDA pamoja na vidole umekaa kisiasa zaidi na hauna faida kiuchumi. UK na baadhi ya nchi unaweza nunua laini na kutumia bila kufungiwa. Kwa kufungia laini zaidi ya Milioni 15 ya Watanzania ambao hawana NIDA serikali inapoteza...
  8. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigongo - Busisi kupaisha uchumi

    MTANDAO wa miundombinu umekuwa ukifananishwa na mishipa ya damu katika mwili wa binadamu. Kama ambavyo mishipa ina kazi ya kupeleka damu katika kila kiungo cha mwili, miundombinu ina umuhimu mkubwa kuwezesha maeneo mbalimbali kufunguka kiuchumi. Kwa hiyo kuna uhusiano mkubwa wa maendeleo ya...
  9. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Uhuru Kenyatta amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika hotuba yake ya kwanza katika mwaka wa 2020 aliyoitoa kwenye Ikulu ya Rais Mombasa amemteua Monica Juma kama Waziri wa Ulinzi huku Raychelle Omamo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje. Ukur Yatani ameteuliwa kama Waziri wa Fedha...
  10. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Huduma za fedha kwa njia ya simu zinavyosaidia kukuza uchumi nchini

    Katika siku za hivi karibuni huduma ya kutuma fedha, kupokea na kulipa kupitia simu za mkononi imekuwa jambo kubwa nchini na kwa kiasi kikubwa kichocheo cha maendeleo yetu. Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa faida zinazohusiana na huduma za kifedha kwa njia ya simu za mkononi zinachangia sana kwenye...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kuhusu salamu ya jamii huendana na uchumi wao

    Salamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao. Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa. Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya uchumi wa dunia 2020 kuwa madogo huku uchumi wa China ukitarajiwa kuporomoka

    Benki ya Dunia imesema ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka huu unakadiriwa kufikia asilimia 2.5, ikilinganishwa na asilimia 2.4 ya mwaka jana, licha ya kuendelea kuwepo kwa hatari ya kushuka. Ripoti mpya kuhusu mustakbali wa uchumi wa dunia inayotolewa kila baada ya nusu mwaka na Benki ya...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Diwani wa Chadema Tunduma, Ayubu Sikagonamo aachiwa kwa dhamana. Amesoteshwa rumande kwa kusingiziwa uhujumu uchumi kwa miezi mingi sana

    Mh Ayubu Sikagonamo ameachiwa kwa dhamana hatimaye. Hongereni sana Chadema Kanda ya Nyasa kwa ushindi huu. Mh Ayubu Sikagonamo alisingiziwa ujambazi, polisi wakatengeneza filamu ya kuokota silaha nyumbani kwake, baada ya ushahidi kukosekana wakamtengenezea Uhujumu Uchumi kwa kushirikiana na Mh...
  15. Hazina

    JamiiForums Tanzania Philip Mpango: Hali ya Uchumi wa Taifa Mwaka 2019 na Tathimini wa Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu Mwaka wa Fedha 2019/20

    December 31, 2019 Dodoma, Tanzania Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu ya Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20 By Dkt. Philip Mpango (Mb.) Waziri wa Fedha & Mipango 31 Desemba, 2019 - DODOMA 1...
  16. Chereko tena

    JamiiForums Tanzania Uchumi Bila siasa ya vyama vingi

    Hakuna haja yeyote ya kuwa na vyama vingi nxhini huku tukipoteza bilions of money katika shughuli za kampeni badala ya kuziwekeza katika kukuza uchumi na Pato la taifa, itungwe katiba yenye kuonesha dira ya taifa na Kila kiongozi aifuate na aiheshimu vinginevo awajibishwe tuachane na mfumo wa...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunawezaje/tufanye nini ili kufaidika na ukuaji wa uchumi wa China?

    Ni hao wakuu. Wandugu uchumi wa China na ukuaji wake ni jambo la kuogopesha sana kwa ukubwa wake. Miaka michache ijayo China itaongoza kiuchumi karibu kwenye kila sekta. Kwa huo uchumi mkubwa China amekuwa mtumiaji mkubwa wa malighafi duniani . Pia ukuwaji huo umetengeneza mamilioni ya...
  18. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania Ilianza Kama mzaha kwa Vikaratasi vya Bashite, hatimaye ni Kawaida sasa kutekwa, kuteswa, kupigwa risasi, kupewa kesi za Uhujumu Uchumi

    Ilianza Kama mzaha na vikaratasi vya Daudi Albert Bashite, the Prince...kuchafua watu kiujumla jumla kuwa wanauza madawa ya kulevya... Tukajua Mzaha, Sasa ni Kawaida watu kutekwa, kuteswa, kupigwa risasi ama kukatwa mapanga mchana kweupe, kunyongwa shambani huko Kisarawe ama Rufiji...ama...
  19. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serekali ya Kenya Iuze baadhi ya Kampuni inazo miliki ili Kushtua Uchumi au La?

    Miaka ya 70's Serekali ya Kenya iliamua kuuza baadhi ya hisa za kampuni za kiserekali ambazo zilikua hazifanyi vizuri kama KQ ambapo ilifanyikiwa kuleta faida kwa Serekali kwa karibia miaka 20 kabla KQ kuanza kupata hasara kuanzia 2015 hadi sasa, jambo ambalo limefanya GoK kuamua kununua hisa...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru awashangaa wapenda ‘Kazi na Bata’. Asema kauli hiyo inachangia kuzorotesha Uchumi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula Bata ambayo imeratibiwa na Mbunge wa Kighoma Mjini Zitto Kabwe na kusema kauli hiyo itachangia kuzorotesha uchumi wa Taifa. Dkt. Bashiru amesema kuwa, katika nchi ambayo wananchi...
Back
Top Bottom