uchumi

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Trump asema kama kufa na tufe, lazima tuifungue nchi kuokoa uchumi

    Baada ya uchumi wa Marekani kudorora kutokana na lockdown, na pia baada ya kugundulika kwamba huu ugonjwa ndio kwanza unaanza Marekani, na kwamba hauta ondoka hata baada ya mwaka, pia kutokana na watu kuendelea kufa pamoja na kuwepo lockdown, Trump na jopo lake wanatarajia kufanya maamuzi ya...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanaosusia vikao vya Bunge wana mpango wa kushusha uchumi wa nchi

    WAZIRI wa Katiba na sheria, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Upinzani kususia vikao vya Bunge kwa kuogopa Corona ni ishara ya kutengeneza madaraja na mpango wa kushusha uchumi wa nchi. Waziri Nchemba amesema hayo jana Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya...
  3. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mabeberu waendeleza vita ya uchumi juu ya biashara ya dawa za Corona. Madagascar wadindisha na kusimamia ukucha kuhusu dawa yao ya ‘Covid organica’

    WHO imeendelea kuikandia dawa ya ‘Covid organica ambayo rais Magufuli ameahidi kuiagiza ili kunufaisha waTanzania, kwa kuwa dawa ya Corona ni fursa kubwa sana ya kiuchumi, mabeberu wameendelea kuiponda dawa hiyo wakati wakijiandaa kuiachia dawa yao ambayo itakuwa approved na WHO ili matrillioni...
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania Haijalishi kama inatibu au la, ila ni jambo muhimu kwa uchumi wa Afrika

    Yes! Ni kitu ya Madagascar, inalalamkiwa hii inaonyesha waafrika wamepoteza imani kwa wafrika wenzao, na wako tayari pesa zao kuzipeleka mataifa mengine. Tupo tayari kuchukua dawa za majaribio kutoka nje ya Afrika na kukuza uchumi wa wasio wa afrika huku tukirudi na kulaumu kuzorota kwa uchumi...
  5. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
  6. steve_shemej

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama awapikia watoto wake mawe akiwadanganya ni chakula

    Mjane mmoja nchini Kenya amepikia watoto wake mawe kuwadanganya kwamba chakula kinaiva. Mwanamke mmoja nchini kenya ameelezea vile ambavyo amekuwa akiwapikia watoto wake mawe kuwadanganya kwamba chakula kinaiva. Penina Bahati, mama wa watoto wanane hajafanikiwa kupata kazi zisizohitaji ujuzi...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kulegeza masharti ya Lockdown kuanzia Mei Mosi ili kufufua uchumi wa taifa hilo

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametoa hotuba kwa njia ya televisheni akisema kuanzia tarehe 1 Mei, Afrika Kusini itapunguza hatua za zuio dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona kuwa ngazi ya nne, na kuruhusu baadhi ya biashara kufunguliwa tena. Rais Ramaphosa amesema kuna ushahidi wa...
  8. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania China: Tutafufua Uchumi wetu kwa haraka kuliko Taifa lolote Duniani

    Je, kwanini kampuni za Marekani zinaongeza uwekezaji nchini China wakati wa janga la COVID-19 Ujenzi wa mradi wa Kampuni ya ExxonMobil ya Marekani nchini China wenye thamani ya dola bilioni 10 za Kimarekani ulizinduliwa rasmi jana. Kabla ya hapo, Kampuni ya Walmart ya Marekani ilitangaza...
  9. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Tanzania USA PROTESTERS: We don't need more Lockdowns its better to be contracted with SARS-CoV-2 than Lockdown

    Waandamanaji nchini Marekani wameingia mitaani katika majimbo kadhaa wakishinikiza magavana kufungua uchumi wa majimbo yao kwa kuondosha amri ya kutokutoka nje ama 'lockdown'. Marufuku hiyo ya kutokutoka nje imewekwa katika majombo yote ya Marekani ili kudhibiti kusambaa kwa janga la virusi vya...
  10. Tindo

    JamiiForums Tanzania Hivi wakati wa Katiba ya mwaka 1977, na mchakato wa katiba mpya 2011-2014 uchumi ulikuwa imara kiasi gani?

    Ndugu wanajamvi kuendana na kichwa changu cha habari, najaribu kuuliza uimara wa kiuchumi uliokuwepo 1977 wakati tunapata katiba hii, na uimara wa uchumi uliokuwepo 2011-2014 wakati wa mchakato wa katiba mpya chini ya rasimu ya Warioba? Kuna lugha tuliyopewa siku mbili hizi na serikali kuwa...
  11. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Porojo za ACT kuhusu corona na uchumi

    Ndugu hawa wamegeuka popo kudandia kila tawi. Katika mapendekezo yao kuhami uchumi wanapendekeza mambo mengine hata mwanafunzi wa economics au development studies wa mwaka wa kwanza ataona haiwezekani. Nipitie mapendekezo mawili ili kuonyesha walivyopotoka: 1. Wanapendekeza kila kaya isiyo na...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa China wadorora kwa 6.8% kutokana na Coronavirus

    Kwa mara ya kwanza baada ya miaka hamsini, uchumi wa China umepungua kwa asilimia 6.8, ofisi ya takwimu ya nchi hiyo imebainisha Wachambuzi wa kiuchumi wametahadharisha kuwa uchumi unaweza ukasinyaa zaidi kutokana na kushuka kwa uhitaji wa bidhaa za kutoka China kwa mataifa mengine Pato la...
  13. Zitto

    JamiiForums Tanzania KWA UFUPI - Mapendekezo ya ACT Wazalendo kuhami Uchumi wakati wa #COVID19 Tanzania

    KWA UFUPI - Mapendekezo ya ACT Wazalendo kuhami Uchumi wakati wa #COVID19TZA 1. Kila Kaya isiyo na Mfanyakazi wa Sekta Rasmi katika Miji ya Dar es Salaam, Arusha, Dodoma na Mwanza na kila Kaya ya Zanzibar ilipwe Shilingi 300,000 wakati wa ‘partial lockdown’. 2. Wafanyakazi wa Sekta Rasmi...
  14. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Matarajio ya Ukuaji wa Uchumi wa Tanzania 2020

    Hii ni kabla ya janga la Corona.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Taharuki ya CORONA + Mvua ya AJABU Dar es Salaam + Uchumi mbaya MIFUKONI = Sadaka Kiduchu Makanisani na Wachungaji wengi Kununa

    Sijawahi kuona Pasaka ambayo Wachungaji na Makasisi wengi ' Wamenuna ' na wana ' Hasira ' hata Nyusoni mwao kama hii ya leo. Kuna Kanisa Moja Wilayani Kinondoni Siku zote Saa 2 Asubuhi huwa ' limeshafurika ' Waumini na Sadaka yake kwa Siku hufikia Shilingi Milioni hata Tatu hadi Nne ila cha...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kudhibiti wahujumu uchumi: Mzee Kimiti amfananisha Rais Magufuli na mpambanaji shujaa Edward Moringe Sokoine

    Mzee Paul Kimiti ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali nchini ikiwemo ubunge, ukuu wa mkoa na uwaziri kuanzia enzi za mwalimu Nyerere amemmwagia sifa za kutosha Rais Magufuli. Mzee Kimiti anasema katika kupambana na wahujumu wa uchumi wa taifa letu Dr Magufuli anafanana sana na aliyekuwa...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Pamoja na uchumi wa Afrika kuwa mdogo ila janga la Corona litapelekea uchumi huo kudidimia zaidi. Ajira milioni 20 kupotea

    AU report estimates 20 million job loses in Africa due to coronavirus A recent African Union (AU) study reveals that about 20 million jobs are at risk on the continent as a result of the impact of the coronavirus pandemic. Most African economies are projected to shrink this year due to the...
  18. THNKER-hardson

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Wapendwa, ni muda sasa nawaza wapi panafaa kwa biashara na mzunguko wake wa pesa ni mkubwa kulinganisha na mahala pengine. Toa mji wa mamwinyi TANGA
  19. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenzetu wameweza kujenga uchumi wa nchi zao nchi za Afrika zimefeli wapi?

    hivi ni kwanini mpaka leo bajeti zetu zinategemea misaada ya nje? kwanini mpaka leo tumeshindwa angalau kucopy kwa wenzetu wao wamefanyeje kujenga uchumi wao? mbali na kwamba sisi hatuna technolojia kama wao lakini kwanini tumeshindwa japo kuweka mifumo sahihi ya ukusanyaji kodi ili kwamba kila...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya janga la Corona kutikisa uchumi, taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula kusubiri mataifa yakakope

    Taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula,aliyenacho ataongezewa, jamaa wametikisa uchumi wa dunia na sasa wako tayari kukopesha ili kusaidia hali ya mambo iliyokorogeka. Kutokana na demand kubwa ya kukopa, riba itakuwa juu, na wakopeshaji watachagua wa kukopesha... Kipaumbele watapewa mataifa...
Back
Top Bottom