Dkt. Bashiru awashangaa wapenda ‘Kazi na Bata’. Asema kauli hiyo inachangia kuzorotesha Uchumi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula Bata ambayo imeratibiwa na Mbunge wa Kighoma Mjini Zitto Kabwe na kusema kauli hiyo itachangia kuzorotesha uchumi wa Taifa.

Dkt. Bashiru amesema kuwa, katika nchi ambayo wananchi wanapambana kujikomboa kiuchumi, hasa katika nchi zetu za Afrika ambazo bado tupo nyuma kimaendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla, kutokea kiongozi mmoja kuwaambia watu wafanye kazi kwa starehe ni usaliti mkubwa wa mapambano ya kiuchumi.

“nchi hii ambayo tunaongoza mapambano ya kujikomboa kiuchumi, inamuhitaji kila mtu kwa nafasi yake kuhimiza kufanya kazi kwa bidii, na huku CCM kuna kauli mbalimbali za kuhimiza kazi zikiwemo, Hapa Kazi tu, Kazi na Maendeleo, Uhuru na Kazi na Kazi ni Utu, ila kuna baadhi ya Vyama wao wanahubiri kazi na starehe, na huo ndiyo utofauti wa Chama kiongozi na Vyama vya uchaguzi.’’ Dkt. Bashiru

"Unaposema kazi na bata, maana yake ni kudharirisha wanawake na mama zetu ambao wakati wote wamekuwa wakifanya kazi kusomesha watoto wao, wakifanya kazi kulisha familia zao, na sote hapa ni matokeo ya juhudi kubwa za mama zetu, ambao kuwambia wale bata, ni sawa na kuwataka washinde kwenye starehe huku watoto wakidhalilika kwa kutokwenda shule."
 
Mbona yeye ndo anayoyafanya kila siku maana anafanya kazi na kula bata labda hajaelewa maana ya kula bata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii unatania au upo serious mleta Maada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hovyo kweli kweli, na wanapo hamasisha utalii wa ndani tunakwenda kule kufanya kazi gani mbugani? Waziri wa TAMISEMI alipokuwa ziarani Iringa alishauri watu wawe wanakwenda mapumziko kurelax ili akili apate mapumziko warudipo kazini wachape kazi kwa ufanisi, huru Bashiru anafikiri BATA ni nini mpaka ashangae? Mwambieni hata zamani walikuwa wanakula bata kwa kunywa pombe za kienyeji na kucheza ngoma, walikuwa wanakula faida sana tu baada ya mavuno.. Huwezi kufanya kazi tu bila kuburudika..
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula Bata ambayo imeratibiwa na Mbunge wa Kighoma Mjini Zitto Kabwe na kusema kauli hiyo itachangia kuzorotesha uchumi wa Taifa.

Dkt. Bashiru amesema kuwa, katika nchi ambayo wananchi wanapambana kujikomboa kiuchumi, hasa katika nchi zetu za Afrika ambazo bado tupo nyuma kimaendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla, kutokea kiongozi mmoja kuwaambia watu wafanye kazi kwa starehe ni usaliti mkubwa wa mapambano ya kiuchumi.

“nchi hii ambayo tunaongoza mapambano ya kujikomboa kiuchumi, inamuhitaji kila mtu kwa nafasi yake kuhimiza kufanya kazi kwa bidii, na huku CCM kuna kauli mbalimbali za kuhimiza kazi zikiwemo, Hapa Kazi tu, Kazi na Maendeleo, Uhuru na Kazi na Kazi ni Utu, ila kuna baadhi ya Vyama wao wanahubiri kazi na starehe, na huo ndiyo utofauti wa Chama kiongozi na Vyama vya uchaguzi.’’ Dkt. Bashiru

"Unaposema kazi na bata, maana yake ni kudharirisha wanawake na mama zetu ambao wakati wote wamekuwa wakifanya kazi kusomesha watoto wao, wakifanya kazi kulisha familia zao, na sote hapa ni matokeo ya juhudi kubwa za mama zetu, ambao kuwambia wale bata, ni sawa na kuwataka washinde kwenye starehe huku watoto wakidhalilika kwa kutokwenda shule."

Kwaiyo hata bia tusinywe aaaaah jaman
 
Mbona yeye anakula bata wakati wote, anatembelea V8 za kubadilisha, Ofisi na nyumba full kiyoyozi

Magufuli anakula bata hadi anatembea na mabulungutu ya hela na kugawa hovyo kwa watu wanaomsifia

Bashite anakula bata anajenga tu maghorofa kila mahali
 
Kama anataka kufanya kazi bila ya kuwa na mazingira ya starehe, aombe:

1) CCM wachukue VX anayotembelea, wakauze. Yeye wamnunulie suzuki 4WD

2) Aukatae ule mshahara wa 12m (mshahara wa kuku na bata), wampe 1m (mshahara wa hapa kazi tu)

CCM imejaa watu wanafiki. Wanataka watu waishi kwenye mateso kwa hadaa ya uzalendo, huku wao wakiogolea kwenye starehe.
 
Kwa hiyo hao Wanawake na Mama zetu wasahau kabisa kula Bata??. Kula Bata nako ni swala la kupangiwa na Dr. Bashiru???

Back
Top Bottom