matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,585
- 15,366
Wakuu nimekaa kijiweni najiuliza hawa mabwana wana mchango gani katika maendeleo ya nchi yetu?
Wanakakanisa pale karibu na BOT, ila tofauti na makanisa/misikiti mingine sijawahi kusikia wanafanya mikutano ya hadhara (huamasisha amani).
Kutoa misaada kwa jamii (Yatima, wagonjwa na walemavu).
Kusomesha wasiojiweza.
Pia inasemekani ni watu wenye pesa mingi sana na akili nyingi sana, kwa nini nchi hii iendelee kuwa masikini ikiwa wababe hawa wanapatikana nchini?
tunafeli wapi kuwatumia ili watupige tafu tuweze kuwa donor country.
NOTE: Simaanishi Waganga, na wale matapeli mabarabarani wanaojiita freemasons hapa namaanisha wale wababe wasomi, watu wakubwa duniani ambao kiongozi wao alikuwa ni Mzee Chande.