Mjadala kuhusu kodi za nyumba, gharama za maisha na hali ya uchumi

small mind

Member
Jun 1, 2012
79
125
Nianze kwa kusema kwamba suala hili sasa imefika wakati liwe na mjadala wa kitaifa ili tuweze kufanya sekta ya makazi iweze kuwa rasmi na zaidi ili kuhakikisha kwamba wananchi wanapewa makazi bora na wanaishi katika mzingira rafiki.

Kuna ambao wanaweza wakafikiri kwamba watanzania wengi wana nyumba ila takwimu zinaonesha kwamba kwa maeneo ya mjini 75% ya watanzania ni wapangaji huku kwa vijijini zaidi ya 85% wakiishi katika nyumba ambazo ni za hali duni. Hivyo basi hitaji la nyumba bora bado ni changamoto katika nchi yetu.

katika gharama za maisha kwa uwiano wa GDP watanzania wanatumia zaidi ya 50% ya pato la wastani katika kulipa kodi za nyumba huku wenye nyumba wengi wakiwa sio walipa kodi kwa hivyo basi katika soko hili la nyumba za kupanga serikali inapoteza pato la wastani la zaidi ya TZS bili 2.5 kwa mwezi kwa wastani wa kodi ya TZS 2500 kwa kila kodi ya nyumba inayolipwa kwa mwezi.

Kwa maana hio basi kama ukiweka utaratibu mzuri wa kukusanya kodi hizi zinazotokana na kodi za nyumba serikali inaweza kukusanya zaidi ya TZS bilioni 10 kwa mwezi nchi nzima.

Hivyo basi kama mwananchi ninapendekeza kwanza kuwepo na bodi maalum kwa ajili ya kusimamia huduma hii ya nyumba za kupanga ikiwa ni kuweka madaraja ya nyumba,kiwango cha kodi na kuwapa watu vibali vya kumiliki nyumba za kupanga na kusimamia kwamba wanalipa kodi stahiki kwa maendeleo ya nchi.

Karibuni kwa mjadala.
 
Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
9,578
2,000
IPO kodi inaitwa withholding Tax,wenye nyumba za kupangisha wanalipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jkipaji

JF-Expert Member
Sep 22, 2019
228
250

Hizo kodi zikiwekwa na Serekali atakaeumia zaidi ni mpangaji!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom