uchumi

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rwanda yachukua hatua kuokoa uchumi

  2. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina mambo ya ajabu sana; Uhamiaji inanyima watu wanaotusaidia uchumi work permits, wanapofunga ofisi na kuaga Serikali inawaomba wasiondoke!

    Niliwahi kusema humu JF kwamba Tanzania ina mambo ya ajabu sana kuhusiana na utoaji wa work na residence permits hata kwa watu ambao ni wawekezaji, japo kila siku tunapiga kelele eti kuvutia wawekezaji. Wawekezaji wanapokuja wanapata shida sana kupewa work au residence permits. Kuna wawekezaji...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkaanga vikali Waziri Kamwelwe, atishia kumuweka ndani kwa Uhujumu Uchumi

    March 16, 2020 Kilosa, Morogoro Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli akiwa wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro akifanya ukaguzi wa daraja muhimu kwa taifa la Kiyegeya lililobomoka Machi 2, 2020 kufuatia mvua nyingi alionesha kutoridhishwa na utendaji wa safu za wateule wake hasa Waziri wa...
  4. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa uchumi unavyotegemea sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi

    Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania imepitia kipindi kizuri cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita na kuifanya hivi sasa kuwa moja ya chumi zinazokua vizuri katika eneo la Afrika Mashariki. Ripoti ya UK ThinkTank inaongeza kuwa mafanikio ya ukuaji wa kiuchumi Tanzania yamewezeshwa...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

    Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
  6. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tufanye yafuatayo ili kuvuna matunda ya Uchumi wa Kidijitali

    Inafahamika wazi namna gani teknolojia imesaidia nchi nyingi kuendelea kiuchumi. Hii inadhihirika wazi pia kwa nchi za Afrika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matumizi ya simu za mkononi na mtandao wa intaneti vimesaidia kukuza fursa nyingi za biashara na mamilioni ya watu. Sasa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania DPP: Zaidi ya watuhumiwa 300 wa Uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru

    Mkurugenzi wa mashtaka mh Biswalo Mganga amesema zaidi ya watuhumiwa 300 wa makosa ya uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru. DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo linafanywa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge na kwamba hisia kuwa hiyo ni njia ya kuiingizia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini chama cha CHADEMA hakifanyi tathmini ya hali ya uchumi kama alivyokuwa akifanya Prof Lipumba? Au hakina wataalamu!

    Wakati Cuf kilipokuwa ni chama kikuu cha upinzani na KUB akiwa Hamad Rashid kilikuwa kinafanya tathmini ya hali ya uchumi kila baada ya muda fulani. Na uchambuzi yakinifu ulikuwa unafanywa na mbobezi wa maswala ya uchumi duniani ambaye pia ndiye chairman wa CUF. Tangu Chadema wawe chama kikuu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Gavana wa Benki Kuu afafanua hali ya uchumi

    February 29, 2020 Prof. Florens Luoga, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) aongea na kujibu maswali mbalimbali kuhusu hali ya kiuchumi, bei za mazao, biashara na fedha Tanzania. PART I Thamani ya Shillingi ya Tanzania na exchange rate kimataifa Mfumuko wa bei unacheza 3% kwa muda mrefu Bei...
  10. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana kupeleleza wahujumu uchumi huku wenyewe wakiwa nje?

    Mbona mheshimiwa Lugola anachunguzwa yuko huru. Hebu wajuvi wa mambo tuelezeni. Kuna watu kadhaa wapo mahabusu kwa tuhuma za kesi za uhujumu uchumi bila dhamana takwa la kisheria (moja ya sheria kandamizi kwa mtazamo wa wengi). Cha ajabu waziri wa zamani mambo ya ndani kangi lugola mheshimiwa...
  11. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara na Uhuru wa Uchumi

    Hongera kwa kuongezewa mshahara! Unadhani sasa ni muda wa kuongeza simu mpya, gari ama nguo mpya? HAPANA! Usifanye hivyo aisee, jitahidi uendelee kuishi kama ulivyokuwa hujaongezewa na helauliyoongezewa itunze yote 100% baada ya miezi 12 hivi au zaiid. Uhuru wa kiuchumi unakuja namna hii...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi asie na maarifa ya katika siasa na kuendesha uchumi, ni mzigo mzito kwa chama chake na kwa wananchi wake kwa ujumla

    Kiongozi yoyote wa kisiasa asie na maarifa ya kawaida kabisa katika kuendesha uchumi na kufanya siasa,kiongozi wa aina hiyo ni mzigo kwa chama chake, na pia watu wote aliokabidhiwa jukumu la kuwaongoza. Sometimes ni bora ukamudu/ukafanya vizuri katika uchumi kwani uchumi unaweza kukubeba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Mameneja Wanaotegemewa Kuwezesha Uchumi wa Kati....

    Juzi Jumatano ilinyesha mvua iliyoambatana na upepo mkali sana ulisababisha miti na nguzo za umeme kuanguka katika maeneo kadhaa hapa Arusha. Moja ya maeneo hayo ni estate moja inayomilikiwa na moja ya mashirika ya umma. Jana vijana fulani wakaanza kukata miti (ili kuitoa miti iliyoanguka na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Zitto adai itachukua miaka kumi kurudia hali ya uchumi tuliokuwa nayo mwaka 2015

    Ni kupitia mtandao wa twitter: Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali ya Magufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2...
  15. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Sekta ya mawasiliano ya simu ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi

    Mabadiliko ya kidijitali yamekuwa moja ya chachu kubwa ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini. Juma lililopita, Umoja wa Forodha Ulimwenguni (WCO) uliweka bayana kwamba Tanzania inaweza kunufaika kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza katika teknolojia. Akizungumza jijini Dar Es Salaam, Katibu...
  16. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Profesa chuo cha Oxford asifu uchumi Tanzania

    TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi tatu zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambazo hazipo katika hatari kubwa ya kudodora kiuchumi kutokana na kuwa na kiwango cha chini cha madeni. Hali hiyo imebainishwa jijini Dar es Salaam juzi na Mchumi kutoka Chuo cha Oxford cha Uingereza, Profesa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Inasikitisha sana! Jaji ashiriki kuhujumu uchumi wa nchi. DPP chukua hatua

    Ona jinsi huyu Jaji namba 62 alivyokosa uzalendo kwa nchi yake,ni majuzi tu kijana mchapakazi,mnyenyekevu,muadilifu,higly intelligent RC Gambo alitoa amri kwa Jeshi la Polisi kuwakamata watanzania wanaotumiaka na mabeberu kuhujumu uchumi wa nchi kwa ku post kinachodaiwa eti ni barabara mbovu...
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Serikali ya Rais Magufuli kichekesho cha karne

    Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65. Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90 Wakati huo. Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna...
  19. bahati93

    JamiiForums Tanzania Tahadhari nauli ya SGR itakuwa juu

    Habari Comrade, Nimekuwa nikihisi nauli ya SGR itakuwa kubwa hivyo natoa tahadhari kwa Comrade wenzangu msije pata mshituko siku zitakapotangazwa. Waweza kuwa unajiuliza kwa nini mtu huyu anadhani nauli itakuwa kubwa?, Sababu ni hizi UCHUMI kutokana na shilingi kupoteza thamani itakuwa na...
  20. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya Mbinu za Kupiga hela na kujenga uchumi

    Katika ulimwengu wa biashara kuna fursa nyingi ambazo mtu aweza kuzitumia ili kupiga hatua maishani.Baadhi ya mbinu hizo ni pamoja na hizi hapa chini: Kuwa reseller wa huduma au bidhaa.Katika eneo hilo unaweza kununua bidha kwa bei ya jumla na kuuza kwa bei ya rejareja kulingana na mtaji.Ila...
Back
Top Bottom