Serekali ya Kenya Iuze baadhi ya Kampuni inazo miliki ili Kushtua Uchumi au La?

Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
7,212
6,972
Miaka ya 70's Serekali ya Kenya iliamua kuuza baadhi ya hisa za kampuni za kiserekali ambazo zilikua hazifanyi vizuri kama KQ ambapo ilifanyikiwa kuleta faida kwa Serekali kwa karibia miaka 20 kabla KQ kuanza kupata hasara kuanzia 2015 hadi sasa, jambo ambalo limefanya GoK kuamua kununua hisa zote ili kampuni hio irudi 100% mikononi mwa serekali. Huu si mfano mzuri...

Lakini mfano mzuri ni ule wa Telkom Kenya ambapo ilikua inamilikiwa 100% na serekali ya Kenya kabla serekali kuamua kuuza baadhi ya hisa kwa wawekezaji.... Baada ya hisa za Safaricom kununuliwa kwa wingi zaidi ya matarijio, ilisababisha mwamko mpya wa biashara na makampuni hapa Kenya, kila kampuni iliokua inatafuta hela za kupanua biashara ilikua inauza hisa kadhaa ili wapewe ufadhili.. Kampuni ya Safaricom ndo mlipakodi mkubwa zaidi hapa Kenya, Safaricom pale ilipofika ina thamani ya $11 Billion ! Sidhani kama kuna kampuni nyengine hapa Kenya inaifikia kwa thamani.


Kuna hii habari inasema labda tukiuza hisa za kampuni kadhaa za serekali tunaweza kupata Safaricom nyengine
---------------------------------------------------------------------------------

Kenya Needs Privatization to Spark Wave of IPOs
By
Eric Ombok
December 23, 2019, 2:41 PM GMT+3 Corrected December 24, 2019, 10:54 AM GMT+3

Delays in the privatization of state assets are holding up a potential flood of initial public offerings on the Nairobi Securities Exchange, according to Paul Muthaura, outgoing chief executive officer of the country’s Capital Markets Authority.
The East African nation’s last privatization was in 2008, when the government sold part of its stake in mobile phone company Safaricom Plc, according to data from the regulator. Plans by the government to sell stakes in each of five state-controlled sugar companies have been delayed since 2010, and the planned disposal of shares in eight hotels including the five-star Hotel Intercontinental Nairobi have also stalled. ( Sikujua Serekali ya Kenya ina miliki hisa ndani Intercontinental Hotel, Ndo maana marais, PM na wana diplomasia wengi hua wanalala hapo wakija ziara Kenya)
“When we talk to companies, there is actually no shortage of a pipeline of new listings but they are all waiting for the right time,” Muthaura said in an interview in the Kenyan capital, Nairobi. The regulator’s data indicate that each privatization tends to trigger three to six new listings, he said.

The last IPO by a Kenyan company on the NSE was Deacons East Africa Plc in 2016, according to data compiled by Bloomberg. While at least six companies have indicated since then that they’re planning share sales, none has materialized. Instead, a number of companies have delisted, including National Bank of Kenya Ltd., KenolKobil Plc, Access Kenya Ltd. and CMC Holdings Ltd.

The Kenyan exchange has 73 listed companies, with a combined market capitalization of about $23 billion. Muthaura, who joined the regulator 14 years ago and has served as legal head, director of regulation and strategy and chief executive, is stepping down on Dec. 31.

During Muthaura’s tenure as acting and later permanent CEO of the regulator from 2012, the Kenyan stock exchange was demutualized and it introduced new instruments and processes, including real-estate investment trusts, derivatives, exchange-traded funds, mobile-phone-based trading of treasury bonds, online forex trading, green bonds and short selling.

“Throughout the period, we had a core focus on driving market development and enforcement to support continuous market deepening and diversification,” Muthaura said. “Each of the different products were targeted as responding to a different kind of fundamental need.”

Initiatives in the works include depository notes, margin trading, a recovery board for companies that aren’t adhering to minimum-eligibility requirements or are technically insolvent, trading bonds in foreign currencies, and a commodities exchange.

The NSE All Share Index gained 0.7% on Monday to a six-week high, bringing its advance this year to 18%.

 
2020 itakua ni wakati mzuri kwa GoK kuuza baadhi ya haya makampuni, haswa yale ambayo tumeshindwa kuandesha vizuri kama makampuni ya Sukari, Nyama, Maziwa, chuma Serekali haifai kujisumbua sana, Uza angalau 40% na uachie hao wanaomiliki hio 40% kuendesha kampuni bila kusumbuliwa na bureaucracy ya kufanya kazi serekalini.

Kwa mfano kampuni ya Serekali kama Numerical Machining Complex

Numerical Machining Complex is an ISO 9001 : 2008 Certified engineering firm incorporated under the companies Act as a limited liability company. NMC was formed for the purposes of manufacturing motor vehicles, vehicle spare parts and metal-based engineering products. The company offers mechanical and engineering services to the Agricultural, Industrial and Automotive sectors in the East Africa market. NMC is equipped with Computer Controlled (CNC) machines, a foundry with a modern disamatic sand-moulding machine, heat treatment and Computer Aided Design
Kama ingekua tuliuza 45% ya hii kampuni kwa kina Toyota, Isuzu, VW, ForD, GMC.... wakati ule ule tuliuza Safaricom, ingekua Spare parts zote za magari hapa Kenya zinatengenezwa hapa hapa ndani ya nchi....
 
Habari inayohusiana na hii ni kwamba takwimu za miaka kumi zinaonyesha NSE (Nairobi stock exchange) ndo stock exchange pekee ambayo ilifanyikiwa kuongeza thamani yake. Kwahivyo tunaweza kutumia sifa hizi mpya kuvutia wawekkezaji zaidi kununua hisa kwa IPO's za kampuni mpya zinajiunga na NSE mwaka wa 2020.


bc-kenyan-stocks-beat-african-peers-in-decade-of-dwindling-listings.png


Among sub-Saharan African stock markets, Kenya’s proved the best performer over the past decade, joined only by South Africa in producing dollar-based gains since 2010 as currency depreciation ravaged returns for investors.

Nairobi’s benchmark gauge climbed 74% since the decade opened, with Johannesburg’s benchmark up just short of 9%. The Zambian and Nigerian stock markets have retreated almost 50%. MSCI Inc.’s gauge of developing country stocks has gained 13%, while its frontier-markets index has advanced 12%.

Aside from the weak showing from equity benchmarks, the period was characterized by a dwindling number of listed companies on the region’s major exchanges, from Lagos to Johannesburg. Nigeria has the fewest number of listed companies since 2004, while in South Africa the tally hasn’t been this low in 16 years.

“Traditionally, private equity firms have been exiting through the stock exchanges,” Karim Hajji, president of the African Securities Exchanges Association, said in a phone interview. “But in recent years we have witnessed a different trend, where private equity firms are selling to other private equity funds or they are making straight sales to industries that are in the same sector.”
 
Ok ila hilo linahitaji uangalifu mkubwa mno,hasa kwa nchi kama kenya ambayo sehemu kubwa ya uchumi ipo kwenye mifuko ya wachache, hakuna ubishi kuwa bajeti ya kenya ni kubwa kwa karibu mara mbili ya bajeti ya nchi kama Tanzania,lakini bado kenya ina struggle kuonyesha kuwa kina kitu kinafanyika,sasa musije kumuuzia bwanyenye mmoja %60 ya hisa ya kampuni kubwa halafu mkakaa msubiri faida!! Hapo tegemeeni figure za hasara mara dufu,zingatia kuwa kenya hakuna msamiati wa Uzalendo,kwani makampuni yanayomilikiwa na familia ya Kenyatta nayo yana hali mbaya? Akili kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom