uchumi

  1. Hazina

    JamiiForums Tanzania Philip Mpango: Hali ya Uchumi wa Taifa Mwaka 2019 na Tathimini wa Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu Mwaka wa Fedha 2019/20

    December 31, 2019 Dodoma, Tanzania Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu ya Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20 By Dkt. Philip Mpango (Mb.) Waziri wa Fedha & Mipango 31 Desemba, 2019 - DODOMA 1...
  2. Chereko tena

    JamiiForums Tanzania Uchumi Bila siasa ya vyama vingi

    Hakuna haja yeyote ya kuwa na vyama vingi nxhini huku tukipoteza bilions of money katika shughuli za kampeni badala ya kuziwekeza katika kukuza uchumi na Pato la taifa, itungwe katiba yenye kuonesha dira ya taifa na Kila kiongozi aifuate na aiheshimu vinginevo awajibishwe tuachane na mfumo wa...
  3. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunawezaje/tufanye nini ili kufaidika na ukuaji wa uchumi wa China?

    Ni hao wakuu. Wandugu uchumi wa China na ukuaji wake ni jambo la kuogopesha sana kwa ukubwa wake. Miaka michache ijayo China itaongoza kiuchumi karibu kwenye kila sekta. Kwa huo uchumi mkubwa China amekuwa mtumiaji mkubwa wa malighafi duniani . Pia ukuwaji huo umetengeneza mamilioni ya...
  4. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania Ilianza Kama mzaha kwa Vikaratasi vya Bashite, hatimaye ni Kawaida sasa kutekwa, kuteswa, kupigwa risasi, kupewa kesi za Uhujumu Uchumi

    Ilianza Kama mzaha na vikaratasi vya Daudi Albert Bashite, the Prince...kuchafua watu kiujumla jumla kuwa wanauza madawa ya kulevya... Tukajua Mzaha, Sasa ni Kawaida watu kutekwa, kuteswa, kupigwa risasi ama kukatwa mapanga mchana kweupe, kunyongwa shambani huko Kisarawe ama Rufiji...ama...
  5. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serekali ya Kenya Iuze baadhi ya Kampuni inazo miliki ili Kushtua Uchumi au La?

    Miaka ya 70's Serekali ya Kenya iliamua kuuza baadhi ya hisa za kampuni za kiserekali ambazo zilikua hazifanyi vizuri kama KQ ambapo ilifanyikiwa kuleta faida kwa Serekali kwa karibia miaka 20 kabla KQ kuanza kupata hasara kuanzia 2015 hadi sasa, jambo ambalo limefanya GoK kuamua kununua hisa...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru awashangaa wapenda ‘Kazi na Bata’. Asema kauli hiyo inachangia kuzorotesha Uchumi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula Bata ambayo imeratibiwa na Mbunge wa Kighoma Mjini Zitto Kabwe na kusema kauli hiyo itachangia kuzorotesha uchumi wa Taifa. Dkt. Bashiru amesema kuwa, katika nchi ambayo wananchi...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Daktari anayetuhumiwa kwa utoaji mimba ashitakiwa kwa Uhujumu uchumi

    Daktari wa Dental Clinic iliyoko Sinza Mori, Dr Awadh Juma mkazi wa Kunduchi ambaye anatuhumiwa kwa utoaji mimba ambao ni kinyume cha sheria za nchi , amefikishwa kwenye Mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu akishitakiwa kwa makosa 7 likiwemo la utakatishaji wa kitita kikubwa cha pesa za...
  8. Bams

    JamiiForums Tanzania Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Mara nyingi binadamu walio wengi, wanapoyasikia mabaya, kama hayawagusi moja kwa moja, ni rahisi kufikiria kuwa hayawahusu, na wale wanaopatwa nayo wanawaona ama ni wajinga ama hawana uthamani kama walio nao wao. Leo hii, kama kuna mtu au anakuwa ametekwa au kukamatwa na vyombo vya usalama...
  9. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Prof Assad ndie anaefuata katika listi ya wahujumu uchumi

    Baada ya kutishiwa, kuteswa na kushikiliwa kwa muda wa zaidi ya masaa 48 atafikishwa mahakamani chini ya Ulinzi mkali mithiri ya mshirika wa Osama akituhumiwa kuhujumu uchumi, kukwepa kodi na kutakatisha fedha. Pia matumizi mabaya ya Ofisi na mamlaka atanyimwa dhamana na atarudishwa Segera...
  10. The only

    JamiiForums Tanzania Sherehe za mwisho wa mwaka 2019 kudorora/kutochangamka: Je yaweza kuwa kigezo cha uchumi kudorora?

    Enzi za Nyerere sijaziishi ila skukuu za kuazinzia awamu wa mwinyi hadi kikwete siku hizi zilikuwa na vurugu nyingi wananchi walistarehe sana. Kwa mkoa wa Dar mitaa kama Sinza ilikuwa shangwe la hatari, kila rafiki ukimpigia amelewa chakari au wasio tumia kileo yuko mahotel makubwa leo...
  11. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

    Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi...
  12. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Serikali yafungua akaunti maalum ya Uhujumu Uchumi

    Serikali imefungua akaunti maalum ambayo watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokiri makosa yao wataweka fedha wanazotuhumiwa kuhujumu, ili kuachiwa huru. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania, Biswalo Mganga jana Alhamisi October 3. DPP hakuna fedha itakayolipwa kwenye...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TITO MAGOTI kufunguliwa kesi ya kutakatisha fedha na Uhujumu uchumi ??

    Kama ilivyokawaida kwa serikali kandamizi ya Tanzania kukandamiza haki na uhuru wa kujieleza leo watu wasiojulikana baada ya kumchukua Tito Magoti na baadae kujulikana kua yuko na Polisi wakimhoji na ni siku chache tu baada ya Tito kuhoji kuhusu Bodi ya Mikopo kutowapa pesa wanafunzi wa Elimu ya...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Uchumi unakuwa kwa 7% huku wananchi wako katika hali ngumu?

    Wanajamvi, leo nimeona niandike kidogo kuhusu hili swala ambalo kwa muda mrefu watu wamekuwa wakililalamikia hata kufikia hatua ya kukataa ukuaji wa uchumi ambao unatangazwa na NBS. Lakini ni vyema kujua kuwa, wanaposema uchumi umekuwa, ni kweli uchumi umekuwa, kitu ambacho mwananchi anaweza...
  15. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Achilia mbali ruzuku na michango, CHADEMA ina vyanzo gani vya mapato?

    Binafsi naamini kuwa chama cha siasa ni taasisi. Naamini hivyo pamoja na kutowahi maishani mwangu kujiunga na chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko. Kama taasisi, chama hujiendesha kwa gharama. Kuna kuwalipa waajiriwa wa chama, kugharimia shughuli za kila siku za chama,kugharimia...
  16. Elisha Chuma

    JamiiForums Tanzania Hatua ya kwanza ya kusimamia uchumi wako na mafanikio

    Watu wengi wanaishi bila kuwa na mipango,mambo yao wanapeleka mambo kwa kufuata mkumbo na bora liende hiyo ni hatari kubwa,mafanikio hayaji kama ajali yanatengenezwa na jitihada,umakini,ustahimilivu na imani,vivyo hivyo kwa upande wa mafanikio ya kiuchumi. Sheria na kanuni zake ni zile zile...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya dunia yasema ukuaji wa uchumi wa Tanzania utaongezeka 2020 kwa 5.8% na si kwa 7%

    Uchumi wa Tanzania utakuwa kwa asilimia 5.8 mwaka 2020 ikilinganishwa na makadirio ya asilimia 5.6 mwaka huu na ukuaji utaongezeka hadi asilimi 6.1 mwaka 2021, kulingana na ripoti ya benki ya dunia siku ya Jumanne. Matarajio ya benki ya dunia yapo chini ikilinganishwa na makadirio ya asilimia...
  18. Lager

    JamiiForums Tanzania Wataalum wa uchumi kimewashinda nini kuikomboa thamani ya fedha yetu?

    Sitaki kuamini kuwa tunaenda kwa mwendo huu, mwendo wa fedha yetu kukosa thamani na kuzidi kudidimia chini. Ni ajabu wana uchumi kashindwa kuikomboa fedha yetu, wazee wetu wanatuambia hapo kabla fedha ilikuwa imara lakini hivi sasa inakuwa mdebwedo. Dola moja ni sawa na Tshs elfu 2000 na kitu...
  19. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Vita ya uchumi yapelekea kukamatwa kwa ndege

    Kinachoendlea kwa taifa letu la Tanzania ni mpango mkakati wa vita ya kiuchumi, Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani imetekeleza na kufanya mambo mengi sana ambayo ni vichocheo katika kukuza uchumi wa nchi yetu. Hali hii imewafanya wafanyabiashara wengi kutoka hapa nchini na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono sasa ni uhujumu Uchumi, ukikamatwa hakuna faini, ni kifungo miaka 20

    Habari wakuu, Leo TAKUKURU imefanya Kikao na Wadau wa habari kuhusu kampeni ya kupambana na rushwa ya ngono ijulikanayo kama Vunja Ukimya Kataa Rushwa ya Ngono. Akiongea katika kikao hicho, Mwasheria wa TAKUKURU, Imani Nitume amesema kwamba kifungu Cha 7 cha PCCA kimeainisha majukumu ya...
Back
Top Bottom