Ilianza Kama mzaha kwa Vikaratasi vya Bashite, hatimaye ni Kawaida sasa kutekwa, kuteswa, kupigwa risasi, kupewa kesi za Uhujumu Uchumi

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,348
2,000
Ilianza Kama mzaha na vikaratasi vya Daudi Albert Bashite, the Prince...kuchafua watu kiujumla jumla kuwa wanauza madawa ya kulevya...

Tukajua Mzaha, Sasa ni Kawaida watu kutekwa, kuteswa, kupigwa risasi ama kukatwa mapanga mchana kweupe, kunyongwa shambani huko Kisarawe ama Rufiji...ama kupotezwa kwa Siku kadhaa halaf unakuja kuokotwa Siku ya 5 ukiwa Ofisini kwako Ukiwa uchi wa mnyama, Umekufa na kuoza..

But yote Ilianza na Vikaratasi vya Daudi Albert Bashite kama hiki hapa:

Kikaratasi-cha-majina-ya-watuhumiwa-mbalimbali-65-wa-biashara-haramu-ya-dawa-za-kulevya-waliot...jpg
 
impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,133
2,000
Ilianza Kama mzaha na vikaratasi vya Daudi Albert Bashite, the Prince...kuchafua watu kiujumla jumla kuwa wanauza madawa ya kulevya...

Tukajua Mzaha, Sasa ni Kawaida watu kutekwa, kuteswa, kupigwa risasi ama kukatwa mapanga mchana kweupe, kunyongwa shambani huko Kisarawe ama Rufiji...ama kupotezwa kwa Siku kadhaa halaf unakuja kuokotwa Siku ya 5 ukiwa Ofisini kwako Ukiwa uchi wa mnyama, Umekufa na kuoza..

But yote Ilianza na Vikaratasi vya Daudi Albert Bashite kama hiki hapa:

View attachment 1307627
Kila chenye mwanzo kina mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HizMAJESTY

Senior Member
Aug 6, 2019
130
500
Pamoja kuwa siungi mkono uharifu ulioorodhesha, ila nina mashaka iwapo kila ovu bashite anakuwa mratibu mkuu! Kama ni kweli amehusika kiasi hicho atakuwa bonge la shetani anayeishi. They say it in Portugal "Omubi niwe anyampa omurufu"

May be in some scandals he is not involved. Though the guy is bad indeed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
9,956
2,000
Nyuzi za namna hii tumezichoka bwana! CHADEMA! Hanna jipya? Mwaka unaisha kila siku yaleyale??? Khaaa??? anza 2020 na fikra mpya!
Mabaya ni sahihi kukemewa wakati wote. Ungeonesha busara kama ungesema umechoshwa na uhayawani wa kuteka na kubambikia watu kesi. Cha ajabu huchoshwi na ushetani unaofanyika ila unachoshwa na wanaochukizwa na ushetani.
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
47,263
2,000
Huyu Babu huwa ananiacha hoi sana kujifanya mcha MUNGU kila siku kuonekana na camera kibao makanisani huku matendo yake yakiwa mabaya kupita kiasi
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,777
2,000
Nyuzi za namna hii tumezichoka bwana! CHADEMA! Hanna jipya? Mwaka unaisha kila siku yaleyale??? Khaaa??? anza 2020 na fikra mpya!
Kumbe na wewe ni bwege kiasi hicho? Hiyo post ni official statement ya Chadema? Unahusishaje mawazo ya mtu tena humjui na chama cha siasa.
Au unachukulia kwa vile nyie mnatumwa mitandaoni na chama chenu basi na wengine wanatumwa?
Heshimuni mawazo binafsi ya watu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom