uchumi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za Uchumi wa wananchi katika nyimbo za Nigeria na falsafa ya "Nchi iliyopata MAENDELEO fedha haina samani"

    Afrika ni nchi kubwa ambayo kwa uhalisia wake inawatu wanaotumiana sana kwa sababu ya housing "Afrika" lakini ni wagumu kuingiza siasa ya kuboresha maisha kwa sababu ya AIBU (hapa ndipo Pana Go and return ticket" Hebu check wimbo huu unaweza sema alikuwa namwimbia mwanamke lakini kiuhalisia...
  2. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tigo na Zantel utakuza uchumi kupitia soko la mawasiliano ya simu

    Ilitangazwa siku za karibuni kuwa Tanzania imepanda toka nafasi ya 144 hadi ya 141 katika taarifa ya Benki ya Dunia kuhusu ubora wa mazingira ya kufanya biashara. Hii inaifanya Tanzania kuwa nafasi ya nne katika eneo la Afrika ya Mashariki ukitazama nchi 190 duniani ambazo ripoti hiyo...
  3. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Nini Tafsiri sahihi ya Uchumi wa Kati?Je, nini faida ya kuwa nchi ya uchumi wa kati?

    Kuna msemo maarufu ambao unatumika sana na viongozi wetu wa kisiasa kuhusu lengo la taifa letu kuwa taifa la uchumi wa kati.Katika vipimo vya uchumi wa dunia nchi ya uchumi wa kati ni nchi ambayo raia wake wanalo pato la TZS 3,000,000 kwa mwaka hadi TZS 30,000,000 ambayo ni sawa na pato la kati...
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

    Msanii Idris Sultan amefika Kituo cha Kikuu cha Polisi (Central) muda wa saa 5 asubuhi kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda Anaendelea kushikiliwa kituoni kwa mahojiano, Inadaiwa anahojiwa kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, kifungu cha 15 na 16 UPDATE: Polisi wameelekea...
  5. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Serikali ilikuwa sahihi kukataa taarifa ya IMF ya utabiri wa ukuaji uchumi na mfumuko wa bei?

    Naomba maoni yenu wadau kuhusu taarifa mbili za kasi ya ukuaji uchumi wa Tanzania kama zilivyo ripotiwa na Reuters, moja ya mwezi April 2019 iliyotolewa na IMF kisha kupingwa na serikali, na nyingine ya mwezi October 2019 iliyotolewa na serikali. Mwanzo IMF walitabiri (forecast) uchumi utakuwa...
  6. Dua

    JamiiForums Tanzania Tanzania Q2 GDP growth rises to 7.2 pct v 6.1 pct

    Tanzania Q2 GDP growth rises to 7.2 pct v 6.1 pct -statistics bureau (Reporting by Fumbuka Ng’wanakilala Editing by Maggie Fick) Huwezi ukabeza juhudi za JPM anayeongoza Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya chama shupavu cha CCM. Hapa Kazi Tu. === Tanzania Q2 GDP growth...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ndege hizi zinazonunuliwa cash zina faida gani kwa Mtanzania?

    *Na Emmanuel J. Shilatu* Tangu Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli iingie madarakani imekazania kununua ndege kwa ajili ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL). Baadhi ya Watu wanahoji kwanini pesa hizo za kununulia ndege aina...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Urusi majigambo tu uchumi mdogo, matumizi makubwa na rushwa nyingi

    https://www.investopedia.com/insights/worlds-top-economies/
  9. kilam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yafuata nyayo za Tanzania kwa wahujumu uchumi

    Graft suspects who return money can enter plea bargain — Haji 25 October 2019 - 00:00 Director of Public Prosecutions Noordin Haji has asked leaders and civil servants facing corruption allegations to return the stolen money threefold or face the consequences. Haji revealed that the move is...
  10. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Sekta ya mawasiliano yachangia ukuaji wa uchumi Tanzania

    TANZANIA kwa muongo mmoja uliopita imekuwa ni nchi ambayo uchumi wake umekuwa ukiimarika na pato lake la taifa likikua kwa wastani wa asilimia nane. Hayo yamebainishwa katika takwimu za Benki ya Dunia ambazo zinaonesha kuwa Tanzania kwa muongo mmoja uliopita imekuwa na uchumi imara na ukuaji...
  11. Midimay

    JamiiForums Tanzania Point 4 za Dambisa Moyo (Mwandishi wa Kitabu cha Dead Aid) na Uchumi wa Rais Magufuli

    Habari za Mchana wakuu! Mimi nimejijengea tabia ya kutokuwa debe tupu pale unapotaka kushauri, kukosoa au kusifia jambo lililo au linalo au litakalo fanywa na mtu, kikundi cha watu, taasisi binafsi, taasisi ya umma, serikali za mitaa au serikali kuu. Mojawapo ya kitabu nilichosoma katika...
  12. simonsize

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu jinsi ya kununua hisa?

    Jee'! Utafanya nini ili uweze kununua hisa katika makampuni? Jee'! Website gani ya kununua hisa kupitia website gani?
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Tuliofunga gesi kwenye magari njooni tupongezane, bajeti ya mafuta kutoka 900,000/= hadi 200,000/= kwa mwezi

    Wenye V6, V8 na Uber meno yote nje, hongereni DIT https://www.jamiiforums.com/threads/cng-kuwaangamiza-waarabu-tanzania-yalamba-bingo-nzito-gesi-asilia-toka-kusini.1606464/ https://www.jamiiforums.com/threads/gesi-yaokoa-mamilioni-ya-pesa-za-madereva.1659452/ Update: 09/07/2021...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini takwimu rasmi kuhusu uchumi kwa mwaka 2018 bado hazijatoka mpaka leo hii?

    Habari za jioni wanajamvi. Moja kwa moja kwenye mada. Nimefanya kazi moja leo kupitia tovuti rasmi za National Bureau of Statistics (NBS - http://www.nbs.go.tz), Office of Chief Government Statistician, Zanzibar (https://www.ocgs.go.tz/), Bank of Tanzania (BoT - https://www.bot.go.tz/) na...
  15. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Socio-Economic Intelligence na hatma ya Taifa

    UTANGULIZI Tokea tumepata uhuru bara letu la Afrika tumekuwa na changamoto zinazofanana ambazo sio tu zimetuacha maskini bali tumerudi nyuma kimaendeleo kuliko hata kipindi cha ukoloni. Na matatizo haya yameshazoeleka kiasi kila mtu haoni kama yana ufumbuzi na wanabuni msemo "Miafrika ndivyo...
  16. Zitto

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

    Na Kabwe Z. Ruyagwa Zitto, Mb (Makala haya kwa sehemu kubwa yametokana na makala iliyoandikwa na mtu mwengine [....]. Mimi nimeiboresha tu Katika baadhi ya maeneo) Juzi Serikali imetangaza bungeni kuwa Mradi mkubwa wa Ukanda Maalumu wa Kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) wa thamani ya Dola za...
  17. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Is Tanzania discarding Nyerere’s freedom-fighting legacy?

    Tanzania Palestine: Former Palestinian leader Yasser Arafat with Tanzania’s former President Julius Nyerere. Tanzania’s stance on Palestine suggests its history of fighting global injustice could be making way for a more pragmatic “economic diplomacy”. In November 2018, representatives of...
  18. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

    Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?! Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa. Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ili uchumi ukue, tukubali Rais aongezewe muda hata miaka 20 Ili amalizie miradi yake yote

    Hapa leo tuelewane, maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja. Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli. Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya barabara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza katika viwanda ni kumuenzi Baba wa taifa-Samia

    Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuwekeza katika viwanda kuwezesha taifa kurudi katika uchumi wa kutegemea uzalishaji unaotokana na bidhaa za viwandani. Samia ametoa ushauri huo katika uzinduzi wa wiki...
Back
Top Bottom