tundu lissu

  1. Erythrocyte

    Oparesheni 255: Tundu Lissu afanya mikutano 5 Bariadi Vijijini

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo amevurumisha mikutano 5 mfululizo kwenye jimbo moja tu la Bariadi Vijijini Kama Kawaida yake, Lissu amewaomba Wananchi waunge mkono chama chake ili Katiba mpya ipatikane sasa badala ya porojo za viongozi wa serikali...
  2. T

    Tundu Lissu ataja wabunge wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha bei ya pamba

    Kisesa - Luhaga Mpina, Mbunge, CCM Kishapu - Emmanuel Cherehani, Mbunge CCM Bariadi - Njalu Silanga, Mbunge CCM Tabora - Hamisi Kigwangala, Mbunge CCM Ushetu ( Tumbaku) - Hussein Bashe, Mbunge Waziri Kilimo, CCM https://youtu.be/wd32n_m2zsI?t=7105 Toka mwaka jana mpaka leo Pamba imeshuka...
  3. U

    Mbunge wa Kahama mjini ndugu Kishimba ahudhuria mkutano wa Tundu Lissu (CHADEMA) uliofanyika kata ya Isaka

    Huyu umwonaye hapo☝️☝️☝️katikati ya umati (mwenye kapelo) ni mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini [CCM] maarufu kama Prof. Jumanne Kishimba.. Leo (kama anavyoonekana pichani alikuwa miongoni mwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa mwisho siku ya leo wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa...
  4. U

    Kama Tundu Lissu ni mchochezi hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake, la sivyo serikali ijibu hoja yake

    Ukiachilia mbali mkataba wa bandari ambao Serikali imesaini kuwapa bure waarabu wa Dubai bandari zote za Tanganyika za bahari na maziwa makuu, kumbe pia; 1. Inadaiwa serikali imeingia na kusaini mkataba wa kuwapa waarabu hawahawa hekta za misitu ya Tanganyika milioni 8 eti watusaidie kutunza...
  5. 5

    Tundu Lissu amerudi Ubelgiji kwa daktari wake?

    Baada ya kamata kamata ya makosa ya uhaini na uchochezi tunaona Tundu Lissu amekuwa kimya na hasemi chochote., tunaulizana kama labda amerudi kwa daktari wake belgium kupata matibabu maana tumemzoea akichakarishiwa kidogo anapita mlango nyuma kisingizio ni daktari wake amempigia simu arudi...
  6. The unpaid Seller

    Kulikoni kukamatwa na kupewa kesi kina Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa wakati Lissu ndiye anaupinga mkataba kwa lugha kali zaidi?

    Peace, Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali. Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na...
  7. M

    Kuna ugumu gani kuwakamata waliomteka Mo Dewji na kumpiga risasi Tundu Lissu?

    Watanzania mwenzangu nawasalimu. Kwanza nilipongeze Jeshi letu la Polisi kwa baadhi ya kazi zake nzuri na pia nitoe masikitiko yangu juu ya baadhi ya matukio ya muda mrefu ambayo pamoja na intelejinsia yake limeshindwa kutupa majibu Watanzania. Mambo ambayo Jeshi letu yanaonekana limeshindwa...
  8. B

    Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

    Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema. Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita. Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja...
  9. B

    Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

    Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti. Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
  10. Kamanda Asiyechoka

    Tundu Lissu atembelea kaburi marehemu Alphonce Mawazo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameitembelea familia ya aliyekuwa wanachama wa chama hicho marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Chikobe Wilaya ya Geita mkoani Geita. Pia soma > TANZIA - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa...
  11. U

    Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

    Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100)...
  12. R

    Mambo matatu muhimu ambayo Tundu Lissu hayafahamu

    Haya ni mambo matatu ambayo mlio karibu na Tundu Lissu mumfahamishe; 1. Ukitoa Waalimu baadhi ya watumishi wa Serikali Watanzania wengi bado wanaamini na wanakubali falsafa ya Hayati Magufuli. Hivyo kumchafua Hayati Magufuli ni kujiweka mbali na kuingia Ikulu. 2. Kamwe hawezi ingia Ikulu kwa...
  13. W

    Naomba picha za Tundu Lissu akihiji kaburi la marehemu Hayati Magufuli

    Kama tujuavyo kuwa mheshimiwa sana upande ule, ndugu Tundu Lissu, aliitangazia nchi kuwa anaenda Chato kuhiji kaburi la JPM. Hilo lilitokea juzi kama sio majuzi. Alisema 'lazima' afike. Baadae tukasikia UVCCM imepiga marufuku 'madange' hayo na kutoa tamko kwa chadema kuwa 'mdako' huo au 'kidali...
  14. Mwl.RCT

    Tundu Lissu Aelezea Madhara ya Kukosoa Serikali ya Magufuli: Risasi 16 na Jaribio la Mauaji

    = Hotuba kamili ya Mh. Tundu A. Lissu Anzia dakika ya 18 👇🏻👇🏻
  15. Ileje

    CHADEMA watashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 bila katiba mpya

    Tundu Lissu amewarai wananchi kuichagua CHADEMA katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025 ili tuweze kupata katiba mpya itakayolinda rasilimali zetu na kumuwajibisha Rais asiyezingatia kiapo chake cha kulinda katiba na sheria za nchi. Hayo ameyasema alipowahutubia wananchi...
  16. U

    Mkutano wa Freeman Mbowe M/Kiti - CHADEMA Taifa (Nyehunge - Buchosa Sengerema) na Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti kule Chato inatoa ujumbe muhimu sana!

    Nimefuatilia kwenye Online TVs za YouTube mikutano ya CHADEMA leo J'tano ya kuimarisha chama chao waliyoipa jina la Operesheni +255 - Katiba mpya na Okoa bandari zetu.. Leo Freeman Mbowe, Mwenyekiti Taifa (CHADEMA) amehitimishia mikutano yake mji mdogo wa Nyehunge Jimbo la Buchosa Wilaya ya...
  17. Chakaza

    UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

    Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini. Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao. Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia...
  18. Kamanda Asiyechoka

    Tundu Lissu: Gari letu la matangazo limechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea

    Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato. Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa Tundu...
  19. Nyendo

    Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

    Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la...
  20. U

    Operesheni +255 CHADEMA & Rejesha bandari zetu: Kesho tarehe 2/8/2023 Tundu Lissu ndani ya Chato, Geita...

    Leo mzee wa kuwachapa za uso na za kichwa tu, Tundu Lissu - Makamu Mwenyekiti CHADEMA (Taifa) leo tumefungia siku katika mji mdogo wa Mbogwe. Kesho J'tano tarehe 2/8/2023 operesheni inaingia Wilaya Chato mkoani Geita na Tundu Lissu atahutubia mkutano mkubwa katika mji wa Chato na ratiba...
Back
Top Bottom