Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje CHADEMA John Mrema amesema Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu hajasema anahama CHADEMA bali alitumia kauli ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kusisitiza siku CHADEMA ikiondoka kwenye misingi yake na Yeye ataondoka
Mrema amesema hata yeye hatakuwa na...
Nakushauri Tundu Liissu utaje mapema iwezekanyo hio orodha ya wanachama wa CHADEMA walionunuliwa pamoja na huyo kiongozi kuliko kusuburi waanze kuondoka na kuanza kukipkaa chama matope kama anavyofanya sasa Msigwa ndio muanze kuwajibu kwani itakuwa ni too late.
Kuna faida kubwa sana kuwaanika...
Akizungumza kupitia mtandao wa ClubHouse, Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema;
Kama kuna walimu wanachanga hela kumchangia @SuluhuSamia kugombea kupitia CCM, sisi wengine tusio na upande ndani ya vyama lakini tunajua Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mkiti...
Wawili hao ni miongoni mwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema waliokutana kwenye kikao Muhimu kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam
Salaam
Lissu nilikuwa nakuheshimu sana.
Umepigwa risasi sababu ya CHADEMA, umefungwa sababu ya CHADEMA, huishi kwa amani sababu ya CHADEMA.
Leo unakataa ngawila sababu ya CHADEMA. Umelogwa au? Dunia Mungu akupe nini?
CHADEMA Mbowe alishaiuza kwa Lowassa, sasa kaipiga mnada kwa Samia.
Hadi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina la Abdul, alikwenda nyumbani kwake kwa lengo la kumhonga fedha ili aondoke CHADEMA na kujiunga CCM...
TUNDU LISU YUPO SAHIHI, TUNAPINGA UMUNGU MTU NDÀNI YA VYAMA VYETU SIÔ CHADEMA TUU BALI HATA CCM.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watu aina ya LISSU wàpo vyama vyote sio CHADEMA tuu, wàpo Mpaka CCM na vyama vingine vidogo.
Ndàni ya nchi yetu kûna tatizo la umungu Mtu, umungu taasisi, Jambo...
Kwa namna Mch Peter Msigwa kada mpya wa CCM anavyoieleza CHADEMA ilivyo.
Mhe Tundu Lissu sioni haja ya wewe kuendelea kujitesa ndani ya CHADEMA wakati wewe kwenye Taifa hili ni hazina Kila mmoja anajua na kukubaliana na hili.
Mhe Tundu Lissu siku ukija CCM utapokelewa na marafiki zako...
Nimekusikia ukinukuu BUSARA za Mwalimu Nyerere, lakini Mwalimu Nyerere busara zilimuongoza mambo mengine kuyazungumza in Camera na si hadharani. Nilitegemea majibu ya busara zaidi kuliko ulivyojibu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Tuhuma za Msigwa kwa CHADEMA zichunguzwe, sisi si...
Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM
Kwa hali ilivyo,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa
Huenda CCM...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya CHADEMA zinapaswa kuchunguzwa kwasababu CHADEMA si malaika kwamba wasikosee.
"Inategemea hayo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu amsema iwacha CHADEMA itaacha misingi yake ailiyomfanya ajiunge na chama hicho basi ataondoka katika chama hicho na sio dhambi kufanya kuvyo kwani Chama cha Siasa sio mama yake wa dini yake
Akizungumza kupitia Mtandao wa Clubhouse amesema "Mwalimu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse hivi karibuni amesema CHADEMA hakuna utaratibu unaotaka kiongozi awe na ukomo wa Uongozi kwa muda maalumu isipokuwa anatakiwa kugombea na sio kuwa kama mwenyekiti...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amenukuliwa akisema
"Kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi, yeyote anayesema hakuna tatizo anatudanganya, kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi na rushwa ya uchaguzi ya...
Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, Tundu Lissu ametoa taarifa za Michango ya Kununua Gari lake ambayo inatolewa na Wananchi ambapo amesema hadi sasa imefika zaidi ya Tsh. Milioni 104.
Lissu ameandika kupitia Mtandao wa ax (Twitter) kuwa
"Mchango Update Latest: Nilitoa update mara ya mwisho tarehe 13...
Hakika furaha haijifichi. Baada ya kumfanyia endorsement Wakili Mwabukusi kuwa Rais wa TLS na hatimaye kushinda uchaguzi huo, furaha ya Mwanasheria nguli nchini na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu haikufichika.
Hapa anasakata lumba kama kawaida. Mcheki!
Pia soma:Boniface...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameshiriki kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) unaoendelea jijini Dodoma huku akikumbushia namna alivyopigwa risasi miaka saba iliyopita.
Lissu ambaye ni mwanasheria, amesema hayo leo Ijumaa Agosti 2, 2024 jijini...
Sasa imekuwa Kama desturi kwa viongozi wakuu wa CHADEMA kuchangisha watu pesa na kutokomea nazo kusiko julikana mpaka Sasa; Ni Kama Wanatembelea chama kufanya Mambo yao mfano;
1. Hela za join the chain hazijulikani zilipo hii ilikuwa chini ya mwenyekiti wa chadema Taifa.
2. Hela za Lissu nazo...
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja
Wagombea halaii waliopitishwa kupigiwa kura kwenye nafsi hiyo ni sita kati ya hao Wakili machachari Boniface Mwambukusi ni...
Ki ukweli kutokana na uhuni unaofanyika kwenye uchaguzi mkuu hasa wizi wa kura nimeapa kutokuja kupiga kura tena.
Mimi nimpenda demokrasia kwamba napenda nione nchi hii inakuwa na utaratibu mzuri kuruhusu hata upinzani kuongoza nchi.
Kwa mfumo huu wa uchaguzi naona Tundu Lissu ana uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.