Tundu Lissu ataja wabunge wafanyabiashara wakubwa wanaoshusha bei ya pamba

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,463
2,289
Kisesa - Luhaga Mpina, Mbunge, CCM

Kishapu - Emmanuel Cherehani, Mbunge CCM

Bariadi - Njalu Silanga, Mbunge CCM

Tabora - Hamisi Kigwangala, Mbunge CCM

Ushetu ( Tumbaku) - Hussein Bashe, Mbunge Waziri Kilimo, CCM

View: https://youtu.be/wd32n_m2zsI?t=7105

Toka mwaka jana mpaka leo Pamba imeshuka bei by 100%, bei ni nusu ya bei ya awali.

Ili mfanyabiashara atajirike anahitaji bei ya pamba ishuke, wewe unataka bei ipande upate nafuu ya maisha

Yeye ni mbunge, chama kimoja, lao ni moja, wanakaa wanapunguza bei.... Huna pa kwenda! Nani anaekusemea ? Ukilalamika serikalini nani anaekusikiliza

Ndio maana mnakuwa masikini, umasikini wa kutengenezwa na CCM
 
Kisesa - Luhaga Mpina, Mbunge, CCM

Kishapu - Emmanuel Cherehani, Mbunge CCM

Bariadi - Njalu Silanga, Mbunge CCM

Tabora - Hamisi Kigwangala, Mbunge CCM

Ushetu ( Tumbaku) - Hussein Bashe, Mbunge Waziri Kilimo, CCM

View: https://youtu.be/wd32n_m2zsI?t=7105

Toka mwaka jana mpaka leo Pamba imeshuka bei by 100%, bei ni nusu ya bei ya awali.

Ili mfanyabiashara atajirike anahitaji bei ya pamba ishuke, wewe unataka bei ipande upate nafuu ya maisha

Yeye ni mbunge, chama kimoja, lao ni moja, wanakaa wanapunguza bei.... Huna pa kwenda! Nani anaekusemea ? ?Ukilalamika serikalini nani anaekusikiliza

✔️
 
MWALIMU NYEREREANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Kisesa - Luhaga Mpina, Mbunge, CCM

Kishapu - Emmanuel Cherehani, Mbunge CCM

Bariadi - Njalu Silanga, Mbunge CCM

Tabora - Hamisi Kigwangala, Mbunge CCM

Ushetu ( Tumbaku) - Hussein Bashe, Mbunge Waziri Kilimo, CCM

View: https://youtu.be/wd32n_m2zsI?t=7105

Toka mwaka jana mpaka leo Pamba imeshuka bei by 100%, bei ni nusu ya bei ya awali.

Ili mfanyabiashara atajirike anahitaji bei ya pamba ishuke, wewe unataka bei ipande upate nafuu ya maisha

Yeye ni mbunge, chama kimoja, lao ni moja, wanakaa wanapunguza bei.... Huna pa kwenda! Nani anaekusemea ? ?Ukilalamika serikalini nani anaekusikiliza

Ndio maana mnakuwa masikini, umasikini wa kutengenezwa na CCM

Hizo bei hupangwa na wabunge au na soko? Kama hivyo ndivyo Kwa nini Bodi za pamba zisiondolewe Ili Kila mkulima auze anapoweza?
 
Luhaga Mpina haijihusishi na ununuzi wa pamba, hapo kadanganya kamanda.
 
Kisesa - Luhaga Mpina, Mbunge, CCM

Kishapu - Emmanuel Cherehani, Mbunge CCM

Bariadi - Njalu Silanga, Mbunge CCM

Tabora - Hamisi Kigwangala, Mbunge CCM

Ushetu ( Tumbaku) - Hussein Bashe, Mbunge Waziri Kilimo, CCM

View: https://youtu.be/wd32n_m2zsI?t=7105

Toka mwaka jana mpaka leo Pamba imeshuka bei by 100%, bei ni nusu ya bei ya awali.

Ili mfanyabiashara atajirike anahitaji bei ya pamba ishuke, wewe unataka bei ipande upate nafuu ya maisha

Yeye ni mbunge, chama kimoja, lao ni moja, wanakaa wanapunguza bei.... Huna pa kwenda! Nani anaekusemea ? ?Ukilalamika serikalini nani anaekusikiliza

Ndio maana mnakuwa masikini, umasikini wa kutengenezwa na CCM

Mwalimu Nyerere alionya kuwa nchi ikiwa na mawaziri wafanyabiashara hawatawasikiliza wananchi, watajali maslahi yao tu.
 
Kisesa - Luhaga Mpina, Mbunge, CCM

Kishapu - Emmanuel Cherehani, Mbunge CCM

Bariadi - Njalu Silanga, Mbunge CCM

Tabora - Hamisi Kigwangala, Mbunge CCM

Ushetu ( Tumbaku) - Hussein Bashe, Mbunge Waziri Kilimo, CCM

View: https://youtu.be/wd32n_m2zsI?t=7105

Toka mwaka jana mpaka leo Pamba imeshuka bei by 100%, bei ni nusu ya bei ya awali.

Ili mfanyabiashara atajirike anahitaji bei ya pamba ishuke, wewe unataka bei ipande upate nafuu ya maisha

Yeye ni mbunge, chama kimoja, lao ni moja, wanakaa wanapunguza bei.... Huna pa kwenda! Nani anaekusemea ? ?Ukilalamika serikalini nani anaekusikiliza

Ndio maana mnakuwa masikini, umasikini wa kutengenezwa na CCM

Kweli tupu
 
Hizo bei hupangwa na wabunge au na soko? Kama hivyo ndivyo Kwa nini Bodi za pamba zisiondolewe Ili Kila mkulima auze anapoweza?
hupangwa na soko, hawa wabunge ndio wanunuzi wakubwa wa pamba, wana control soko
 
huo mtiti utaotokea bashe dealer wa ushetu na bashe waziri wakikutana kwenye mnada wa tumbaku, bashe dealer lazima awe bosi na hatuwezi mfanya kitu, tutakusimanga hadi ukome hon bashe, mama amesemwa wewe nani ni masimango kwenda mbele hauwezi ukawatumikia mabwana wawili, uongozi na udalali wa mazao, fanya biashara nyingine, kumalizia, uendelee kujifunza hon bashe usiyumbishwe na kelele zetu.
 
Hapa Lissu anabugi kwa sababu Sisi kama taifa pamoja na wakulina.

Tuna control Quality na Content.
Sasa Lissu kabla ya kubwabwaja angetaja bei iliyoko Sokoni kwa sasa .
Pia angetaja bei ya Pamba inayonunuliwa kwa nchi za jirani yetu na hapo ndio angeweza kuwa mkweli.otherwise anajishushia heshima kwa kukosa hoja na kubaki kushambulia watu binafsi majukwaani.
Hiyo sio siasa safi bali ufitinishi.
 
Lakini Conflict of interest ni lazima, na itungwe sheria itakayodhibiti?.

Chama changu cha CHADEMA sijui kinaongeleaje hapo na kwasababu sisi sio Wasocialisti kama CCM na ACTwazalendo.
 
Back
Top Bottom