Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,152
- 20,324
Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti.
Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
Anasema yeye alisimamia haki kipindi chote cha Awamu ya tano pamoja na shida na taabu walizopata.Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali.imekuwa yofauti.
Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
Na poleee... ila Lissu kapoteza nguvu na jasho lake sana kuipigania kanda ya ziwa ndo maana anaeleweka na kukubalika sana! CCM haina ubavu wa kuita mikutano nane na ikajaa kwa siku...Anasema yeye alisimamia haki kipindi chote cha Awamu ya tano pamoja na shida na taabu walizopata.
Mwitikio wa wananchi ni makofi na kumwambia Hongera sana.
Hii inawavunja moyo mahasimu wao.
Aisee hii program inayoemdelea imempa fursa Tundu Lissu kujisafisha uchafu woote aliovikwa eti ni Dalali wa mabeberu. Amefutilia mbali.Na poleee... ila Lissu kapoteza nguvu na jasho lake sana kuipigania kanda ya ziwa ndo maana anaeleweka na kukubalika sana! CCM haina ubavu wa kuita mikutano nane na ikajaa kwa siku...
Aiaee abarikiwe sana. Kumbe watu wa kanda ya Ziwa wanamjua tangu kitambo sana.Mungu mbariki Lisu
Tangu zamani uchaguzi wa mwaka 2010 ambao ulikuwa a litle fair Kata na vijiji zaidi ya 50% zilienda Upinzani.nionavyo majimbo mengi sana kanda ya ziwa yatakwenda upinzani
Ni Kweli anapata mapokezi makubwa,Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali.imekuwa yofauti.
Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
Wapo wengi walisusa hata kuhesabiwa sensa,wengine walisusia zoezi la Nida vile vile.
Kwa hili nakataa. Umesahau Mabox yaliibwa na Mawakala kuzuiwa vituoni? Au mwenzetu hukua Nchini?Lissu akipata kura chache sana 2020 sababu kuu ni vijana kususia uchaguzi.
Ndo tusiishie kufurahia mikusanyiko ya WAZI mikutanoni ilhali siku ya Uchaguzi wanaotumia kulewa!!!Vijana wengi walishachoka vituko vya ccm iliyochoka
Kwa hili sina wasi wasi na vijana.Ndo tusiishie kufurahia mikusanyiko ya WAZI mikutanoni ilhali siku ya Uchaguzi wanaotumia kulewa!!!
Waambiwe hadharani kuwa, wakiendelea kususia jambo Hilo muhimu, watakula walipopeleka mboga!!! Cc Tindo.
Nakubali zoezi lilichafuliwa,Kwa hili nakataa. Umesahau Mabox yaliibwa na Mawakala kuzuiwa vituoni? Au mwenzetu hukua Nchini?
Vijana wakijitokeza hayupo wa kuwazuia.Kwa hili sina wasi wasi na vijana.
Shida yangu ni mafisadi ndani ya nchi.
Shida yangu ni vyombo vilivyopewa mamlaka ya kusimamia maslahi ya Nchi/ Taifa lakini vinasimamia maslahi binafsi ya kikundi cha watu
😅😅😅Vijana wakijitokeza hayupo wa kuwazuia.
Imekuwa kawaida, vijana kusubiri wapewe mafuta kumsindikiza Mwanasiasa Viwanjani kisha wanarudi kwenye ajira zao za boda na wasisikize ujumbe!!!
Tujitokeze kushiriki mustakabali wa Nchi yetu.
Amen.
Wasimamizi wa ccm wengine walikiri kuwa walilabidhiwa maraketi ya Ticket feki na kwenda kutumbukiza kwenye masanduku.Nakubali zoezi lilichafuliwa,
Na tuliona wazi kura feki,
ngoma ikivuma sana...Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti.
Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
Nikwambie Kweli,Wasimamizi wa ccm wengine walikiri kuwa walilabidhiwa maraketi ya Ticket feki na kwenda kutumbukiza kwenye masanduku.
Ktk hali kama hii unashindaje?