Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameitembelea familia ya aliyekuwa wanachama wa chama hicho marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Chikobe Wilaya ya Geita mkoani Geita.

Pia soma > TANZIA - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

m1.jpg
m2.jpg
 
Walimshambulia kwa mapanga, akavuja damu nyingi mpaka akakata roho kwa kucheleweshwa kupelekwa hospitali, pale siasa inapogeuzwa vita vya mwilini badala ya hoja, na bahati mbaya kwasababu wao wanazo silaha za kudhuru miili mpaka kutoa uhai, ushindi unakuwa kwao.

Iko siku hizi damu wanazozimwaga zisizo na hatia, zitawageukia wao na vizazi vyao, wapatwe na majanga wasijue sababu, haki ya mtu haipotei bure.
 
Back
Top Bottom