tundu lissu

  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga pesa Novemba 2023. Tundu Lissu amesema Abdul hakutaja kiwango cha pesa, na alitaka aende usiku kwenye...
  2. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Mimi nilikuwa Mwanachama wa CCM kwa lazima siyo kwa kupenda, nilipoingia Chuo Kikuu nikatupa kadi sitaki Kuwa Dalali wa rasilimali!

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu amesema kamwe hawezi kujiunga CCM kwa sababu yeye ana AKULI TIMAMU Lisu amesema yeye aliwahi Kuwa Mwanachama wa CCM Kwa mujibu wa sheria Ili ajiunge JKT na baadae Chuo kikuu Lisu amesema alipoingia tu Chuo kikuu na kusajiliwa rasmi aliitupa KADI...
  3. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiona Mbali: Lissu anaihitaji CHADEMA, CHADEMA haimuhitaji Lissu

    Kama alivyosema Mwanafalsafa Prof. PLO LUMUMBA kwamba Mnenguaji mzuri lazima ajue ni wakati gani wa kushuka kwenye Jukwaa ("A good Dancer must know when to leave a stage") imekuwa tofauti kwa Mwanasiasa Tundu Lissu ndani ya CHADEMA. Akihojiwa na moja ya Chombo cha Habari hivi Karibuni, TUNDU...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akihojiwa na Mwandishi Nguli Salimu Kikeke

    https://youtu.be/etmvlmuAWEs?si=NY8xteUIILZEaTdz
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?

    LISSU: NIMEANDIKA BARUA YA KUTIA NIA KUWANIA URAIS WA NCHI KUPITIA CHADEMA Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema ameshaandika barua ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Mkamu wa Rais wa CHADEMA nafasi anayoishikilia kwa sasa pamoja na nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia chama...
  6. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA tumekamatwa sana tangu enzi za Mkapa, hajawahi tokea kiongozi wa CCM kusema tuachiwe

    "....Viongozi na wanachama wa CHADEMA, tumekamatwa sana toka enzi za Mkapa, Kikwete na Magufuli na haikuwahi kutokea kiongozi wa CCM kusema hadharani tuachiwe mara zote walikuwa wanashindilia zaidi kwamba sheria ichukue mkondo wake.” Lissu akihojiwa Crown na Kikeke. Maoni yangu: Haya kina...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania CCM kumchangia mil. 5.320,000/= Tundu Lissu ni dhahiri shairi kuwa CCM inaziishi 4R za Rais Samia Suluhu Hassan kwa vitendo

    Kalamu ya: Leah D. Mbeke Kutoka: CCM Makao Makuu Neno falsafa ni neno la Kigiriki, ambapo mwanafalsafa ni mpenzi au mfuasi (philia) wa hekima (sophia). Mtu anayefanya kazi katika uwanja wa falsafa anaitwa Mwanafalsafa. Mwanafalsafa ni aina ya mtu wa fikra na mtafiti. Rais Samia Suluhu Hassan...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inadaiwa Lissu atanunuliwa gari jipya na CCM

    Licha ya kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na waTanzania, kwajili ya kununua gari jipya ya kufanyia shughuli zake binafsi za kisiasa, lakini pia pesa nyingine kwaajili ya matengenezo ya gari lake lililohusuka katika assassination attempt miaka kadhaa iliyopita pita, pamoja na mafuta...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Professa Palamagamba Aidan Kabudi mwalimu wa Tundu Lissu mwaka wa kwanza sheria, atasimama mahakamani kumwakilisha CP Awadh dhidi ya vibaraka

    Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake hata umuamshe asubuhi Kabudi anajua. Prof Kabudi Waziri wa Sheria na Katiba amesikia kwenye mitandao...
  10. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu na CHADEMA wasikubali kejeli, dhihaka na dharau za kuchangiwa na CCM

    Katibu mkuu wa CCM na anayejiita mchungaji ambaye amehama CHADEMA na kujiunga na CCM kisha kuanza kuishambulia CHADEMA wameanza kumfanyia LIssu na CHADEMA dhihaka, dharau na kejeli kwa kujifanya wanamchangia Lissu kile walichokiita kutwngeneza gari lake. Mimi namshauri Lissu na CHADEMA...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi Milioni Tano Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Tundu Lissu ili kufanyia matengenezo gari yake. Pia...
  12. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu mgonjwa hafai kugombea Urais 2025

    Viongozi wa Chadema na Wanaharakati waliochukizwa na kina Mbowe, Lissu, Mnyika, Sugu na wanachama wao wamelalamika kwamba Lissu ni mgonjwa. Anatumia dawa muda wote lakini Polisi walimkatalia kutumia dawa zake. Huu ni ushahidi usio na shaka kwamba mwamba ni mgonjwa. Kama muda wote ni kama gari...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnaolia leo katika Awamu ya Hayati Magufuli mlimsema sana kuwa anawapiga na kuwatesa na kumtetea wa sasa, ila naye leo kawageuka!

    Kwanini sijaumia kwa Taarifa nilizosikia sababu ni kwamba hawa hawa wanaolia leo na kulalamika wakiwa Matibabuni Hoi ndiyo walikuwa wakimsema Hayati Magufuli na wa sasa alipoingia wakawa wanampamba kwa gharama za Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Magufuli. Pia soma: Thread 'CHADEMA: Tutafungua...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Swali: Ujasiri wa kumburuta Tundu Lissu mnautoa wapi?

    Salaam, Shalom!! Wote tunajua masaibu yaliyomkuta TUNDU Lissu, Hadi tunavyoongea risasi Moja haijatolewa mwilini mwake. Hakuna askari Nchi hii asiyemjua TUNDU Lissu na Hali yake kiafya na ulemavu aliosababishiwa, mliowatuma askari kumburuta TUNDU Lissu mtetezi wa Haki za wananchi mnalenga...
  15. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Mwabukusi: Anayemshikilia wakili mwenzetu Tundu Lissu atawajibika binafsi kwa Madhara yoyote atakayopata

    Wewe unayemshikilia Adv.Tundu Antipas Lissu bila kuzingatia Mahitaji yake ya Kiafya utawajibika binafsi kwa Madhara yeyote yatakayo mfika. Hakuna kosa lolote alilotenda. Yeye na Wenzake waachiwe Maramoja. Usalama wa Wakili Mwenzetu na wote waliokamatwa ni kipaumbele chetu. Pia soma=> Lissu...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427

    https://www.youtube.com/live/Lw1Orezvek4 Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa mchakato wa kuwakamata Wanachana na Viongozi wa Chama hicho unaendelea. Akizungumza na JamiiForums amesema “Hadi kufikia leo Asubuhi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa haijulikani wapi Tundu Lissu alipo

    Mpaka sasa jeshi la polisi halijatoa taarifa rasmi wapi Tundu alipo. Wananchi wanahofu kubwa juu ya usalama wa kiongozi huyu mkubwa wa chama cha upinzani nchini. Hata hivyo taarifa za awali zinasema kuwa alikamatwa na jeshi la polisi. Wananchi mbalimbali wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu sana...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limewakamata watu wote waliokuwa ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu. John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda Joseph Mbilinyi (SUGU) pamoja na viongozi wa BAVICHA. Pia soma: Jeshi la Polisi lapiga...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi

    Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana. Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa Pia soma: Kuelekea 2025 - Msajili...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla amkaribisha Lissu CCM, ajibu kuna nini mpaka ahamie huko?

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amemkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kujiunga na chama hicho akidai tayari chama chake kimeacha misingi yake. Makalla ameeleza hayo Agosti 9, 2024 kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
Back
Top Bottom