UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,800
71,220

Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.

Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.

Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa CHADEMA kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?

Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
 
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayo tokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao Wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari?
Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.

Haya sasa, Rais wa chato katoa tamko, je Rais wa Tanzania na vyombo vya ulinzi na usalama wanajua kuwa chato imeshajitenga toka Tanznia na kuwa nchi, na wanamamlaka ya kumzuia mtu kuingia chato bila kibali chao?

Nilisema mambo ya mkataba yana vinasaba vya ccm, na yanayojiri huko chato yana baraka zote toka kwa serikali ya ccm, ndiyo maana hao vijana, japo mimi naowaona kama vibaka wanasauti hivyo.
 
Ndio waliochoma gari ya Chadema hao CCM mnakosea sana!
 
Hii NCHI ipo mbioni kupasuka ni suala la muda. Kuna mpasuko Mkubwa wa kidini, kisiasa na kiitikadi.
Afadhali kama umeling'amua hili...Kama Taifa hatuna ideology inayoendesha vyama, hata chama changu CCM Kuna mabepari na wajamaa mumo humo, na as if Kila mtu ana godfather wake anayemwezesha na laiti kama uwezeshaji huo ni Kwa maslahi ya taifa, lahh watu wameunga juhudi binafsi wakitumiwa kama ma dalali fulani hivi huku wakiuza raia wenzao Kwa pishi la mchuzi wa dengu, what a betrayal to our utaifa?...Ukitafakati sana unajihurumia kama raia na hujui hatima ya yote haya ni nini...God of mercy remember my country!
 
Haya sasa, Rais wa chato katoa tamko, je Rais wa Tanzania na vyombo vya ulinzi na usalama wanajua kuwa chato imeshajitenga toka Tanznia na kuwa nchi, na wanamamlaka ya kumzuia mtu kuingia chato bila kibali chao?

Nilisema mambo ya mkataba yana vinasaba vya ccm, na yanayojiri huko chato yana baraka zote toka kwa serikali ya ccm, ndiyo maana hao vijana, japo mimi naowaona kama vibaka wanasauti hivyo.
Nakuhakikishia kwa hili serikali wamebugi sana. Maana wasipotoa tamko kali SANA tena leo hii, basi UVCCM kila mahali watatangaza kama Chato kuwapiga marufuku viongozi wa upinzani kufika wilaya zao.
Na hapo ndio vijana wa upinzani na wale wengine (wahalifu wakiwemo) watatumia mwanya huo kuleta purukushani.
NCHI INAINGIA KWENYE MACHAFUKO.
 
God forbid this...Mbona kama watu wamekata tamaa na is as if they have nothing to lose because have lost all?

Mungu ingilia kati maana huu uchochezi si bure...
 
Nakuhakikishia kwa hili serikali wamebugi sana. Maana wasipotoa tamko kali SANA tena leo hii, basi UVCCM kila mahali watatangaza kama Chato kuwapiga marufuku viongozi wa upinzani kufika wilaya zao.
Na hapo ndio vijana wa upinzani na wale wengine (wahalifu wakiwemo) watatumia mwanya huo kuleta purukushani.
NCHI INAINGIA KWENYE MACHAFUKO.

Naona hizi ni mbinu za kuzuia mikutano ya vyama wanavyoviita pinzani.
 
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.

Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.

Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa Chadema kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?

Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Daaaa!Binadamu omba Sana MWENYEZI Mungu akupe akili na utashi. Hawa Jamaa Uvccm akili hakuna na utashi hakuna
 
Back
Top Bottom