Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,115
Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la kulichoma moto likiwa limepaki na magari mengine eneo la Twiga Lodge.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lillifika eneo la tukio na kuzima moto kabla hayajatokea madhara zaidi.

=====

Taarifa za awali, Gari ya matangazo (PA) M4C T 658 DQL niliyotangulia nayo kwaajili ya matangazo imenusurika kuteketea kwa moto baada ya ccm kufanya jaribio la kuichoma kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu usiku huu saa 1:10 Usiku.

Gari husika baada ya kumaliza mkutano uliofanyika Jimbo la Mbogwe jioni niliondoka nalo kuelekea chato na kuanza matangazo baada ya matangazo lilihifadhiwa TWIGA LODGE ambapo yapo magari ya watu tofauti zaidi ya matano (5) yaliohifadhi pia ila yote yako salama isipokuwa M4C ya chama.

Jeshi la zima moto na uokoaji lilifika eneo la tukio na kuzima moto husika kabla hayajatokea madhara zaidi.

Kinachoendelea sasa ni mimi, DJ Othuman na Dreva Ally kutafutwa hapa chato muda huu kila Lodge wanagonga chumba kwa chumba at wakisema ni zamu yetu kuchomwa moto.

Upuuzi huu unafanywa na Dola + Uvccm.

Yohana Kaunya
KM - Bavicha Taifa ,
Chief of staff Team ya Makamu Mwenyekiti chadema (Mhe. Tundu lissu)
Saa 1:30 Usiku (Chato)
02,Augost 2023.
________

1690939989465.png

1690940014390.png

1690940044807.png

Pia soma: Tundu Lissu: Gari yetu ta matangazo imechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea
 
Kwa picha hizo limenusurika vipi hapo, mbona kama limeungua tayari.

UVCCM Chato walipiga mkwara eti asiende kwenye kaburi la Magufuli; utadhani wao ndio wamekuwa wasemaji wa familia yake.

UVCCM ambao awakwenda hata kwenye misa ya kumbukumbu yake, mtu pekee aliekuwa kavaa nguo za CCM siku ya kumbukumbu ya Magufuli ni kale ka binti ka Samia ndio kiliwakilisha UVCCM kamekaa peke yake. Wenyewe UVCMM Chato hawakufika leo wanajifanya wanaumia sana na kaburi lake.

Kiwango cha unafiki wa CCM kinapitiliza swala la Lissu kwenda kwenye kaburi la Magufuli ni uamuzi wa mjane wake na familia yake; sisi wengine alituhusu.
 
Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la kulichoma moto likiwa limepaki na magari mengine eneo la Twiga Lodge.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lillifika eneo la tukio na kuzima moto kabla hayajatokea madhara zaidi.

View attachment 2705711
View attachment 2705712
View attachment 2705713
MUNGU ibariki Chademq
 
FB_IMG_1690933738760.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la kulichoma moto likiwa limepaki na magari mengine eneo la Twiga Lodge.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lillifika eneo la tukio na kuzima moto kabla hayajatokea madhara zaidi.

View attachment 2705711
View attachment 2705712
View attachment 2705713
Huyo ndiye Samia
 
Msifieni na mpeni umwamba na ukubwa wa kijinga tu. Mshaurini aache tukana viongozi.
Unaweza kuweka bayana matusi aliyowatukana viongozi?
Matusi ni kosa kisheria na mtukanaji anafaa kushtakiwa mahakamani Kwa mujibu wa sheria hizo hizo walizotunga unaowaita viongozi, imeshindikana Nini kutekeleza sheria hizo kumkamata na kumshtaki ili apate adhabu stahiki?
Au ipo tafsiri yako binafsi kwamba yapi ni matusi na yapi sio matusi na Kwa maana hiyo una wajibu wa kusema hili ni tusi.

Mh Spika akiwahutumia watu huko Mbeya aliwashukia vikali watu wanaohoji madhaifu ya IGA, Kwa kuwaita wajinga na wapumbavu, ukiwahi kujitokeza kumtaka atumie lugha ya staha mbele ya umma Kwa sababu yeye ni kiongozi mkubwa katika nchi hii?

Kama hukuona dhihaka na matusi katika maneno na matamshi yake au Yale aliyotoa Bwana Msando mshika k ya gigi money(video zipo) na Lisu basi hajaona tusi kusema waliingia makubaliano tata juu ya Rasilimali za nchi kuwaita wezi!
 
Back
Top Bottom