The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 1,876
- 5,443
Peace,
Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali.
Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na kusema hadharani "mama yenu ni mwizi kama wezi wengine" au pia "huyu rais ni akili matope?!" nk ila wote ni mashahidi hakuna aliyejisogeza kumkamata wala kumfungulia kesi yoyote kama juhudi za kumnyamazisha kama wakosoaji wengine wa mkataba wa bandari ila kwa ushenzi zaidi aliitwa na kwa jeuri jamaa hakwenda na hawajamfanya chochote.
1. Je, tunaweza kukubaliana ya kwamba mamlaka zinamuogpopa Lissu?
2. Je, ni sahihi kuwaza ya kwamba mamlaka zinajua kumgusa Lissu ni kujitafutia kuvuliwa nguo hadharani?
3. Je, kuna ukweli wowote juu ya nadharia kua mwanasheria huyu mbobezi hakuna kichwa cha kumchallenge ndani ya serikali?
4. Je, upo uwezekano wowote wa mamlaka hatimae kushawishika kutumia mbinu kama ya mwendazake katika juhudi za kumkabili huyu "zimwi" Lissu?