Nimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.
Nilikuwa mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi
Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. Kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala...
TUNDU LISSU ANASEMA HAJAONA PALIPOANDIKWA MIAKA 100,SASA MUULIZENI MKATABA USIOVUNJIKA BAADA YA KUSAINIWA MAANA YAKE NINI?
Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha...
Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science.
Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
Kitu kimoja ninachompendea Tundu Lissu ni kuwa Mtu wa msimamo Thabiti kama Nabii Danieli. Kwake black is black and
white can never be red.
Huyu bwana yuko very persistent, determined and self motivated.
Hatimaye na wao wameona wasipitwe isije kuwa Maua wakapewa wengine na wao kwakakosa hata...
Mheshimiwa Tundu Lissu kufanya siasa bila kuungwa mkono na watu (popular support) ni kazi bure. Siasa ni watu.
Tundu Lissu tambua kuwa tofauti kati ya watu zipo lakini sio lazima ziwe sababu ya migawanyiko na mafarakano.
Kila wakati jaribu kukwepa mitafaruku hata kama sababu za mitafaruku...
Huo ndio Ukweli japo ni mchungu
Mikutano ya CHADEMA inajaza Watu bila ya uwepo wa Msanii Maarufu yoyote
Wananchi hujitokeza kwa wingi kumsikiliza Msema kweli Tundu Antipas Lisu na siyo kuona maigizo
Tukubali tu kuna maeneo CHADEMA wako vizuri hasa ya " Mvuto"
Jumatano iwe Njema kwako, amen!
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, kile chama pekee cha siasa nchini Tanzania chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara, baada ya kumaliza ziara yake Mkoa wa Kigoma kwa mafanikio ya kutukuka, leo kimeingia Mkoa wa Katavi, na kwa kuanzia kitavurumisha mkutano kabambe kwenye Jimbo la Mpanda...
Mbowe na wenzake wote wanaolamba asali wanazunguka Tanzania nzima kuandaa mazingira ya kurudi bungeni. Lakini hii wewe umeishutukia maana 2025 chochote kinaweza kutokea. Wananchi ndio tutaamua. Hata huyo aliyewadanganya kuwapa ubunge anajua vizuri kuwa wananchi tukiamua hawapati alichowaahidi...
Habari JF,
Nionavyo mimi huyu mwamba huko CHADEMA ni kama anatumiwa kuhalalisha kinachodaiwa chama kinafanya kazi na mikutano kwa maelekezo kutoka Chama Tawala.
Mlio karibu na Lissu mshaurini aungane na Mbatia NCCR Mageuzi, sisi wazalendo wa hili Taifa tutawaunga mkono.
Nasema NCCR Mageuzi...
Akifundisha somo la Katiba Mpya kwenye jimbo la Buhigwe, ambalo Mbunge wake alikuwa Phillipo Mpango, kwenye Mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Umati wa Wananchi, Tundu Lissu amedai kwamba, mkoa huo ulitelekezwa kwa miaka mingi kwenye ujenzi wa barabara.
Hata hivyo mara baada ya Dr Mpango kuwa...
Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma...
Ni dhahiri Lissu ni mwanasiasa wa matukio, na huwa anapata nguvu panapokuwa na misuguano kati yake na viongozi wa juu. Na yeye amegundua hilo, kwamba ana thrive kisiasa katika mazingira ya ugomvi na kutukanana.
Ndio maana anaona kwamba wenzake wanapoenda katika maridhiano, ni kama "wanamchimbia...
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga.
Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amekwishafika Mkoani Kigoma kwa ajili ya Uzinduzi wa ile Kampeni kabambe ya 255, ambayo itaendeshwa kwa njia zote ikiwemo ya ardhini na anga, huku ikidaiwa kutumia magari, farasi na punda ili mradi kuwafikia wananchi wote popote walipo.
Baada ya kufika...
Yule Mwamba anayekubaliwa na wengi kwa kupigania Haki za Watu woote bila kujali misingi yao ya kiitikadi ametoa ushauri wake kuhusu sakata la Kariakoo na Wafanya biashara.
Huyo Champion wa siasa za Bongo ameeleza pia nini kinaendelea na kusema kuwa chanzo kikubwa ni Katiba Ya Sasa ambayo imempa...
Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo.
Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba...
Tuna Imani na kiongozi Wetu Tundu Antipas Lisu lakini bado hajafikia level za Wapinzani wa huko Duniani, na huo ndio ukweli.
Jana hapo Kenya palikuwa na majibizano ya ana kwa ana Kati ya Raila Odinga na Rais Ruto wakiwa Msibani na hatimaye Ruto akasema " mh Waziri mkuu mstaafu katika mambo ya...
Wakuu tukirudi nyuma kidogo kwenye siasa za Bongo hapo nyuma kulikuwa na siasa za Weka chuma niweke Ugoko.
Jambo moja ninalokumbuka huyu bwana anayeitwa Tundu Lissu alitambulika na kupata umaarufu na hatimaye Vyombo vya habari vya ndani na nje ya Nchi vilimtambua kama Chief Whip Opposition...
Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu.
Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka michache ijayo.
Kwamba walio wazima na wenye nyenzo zote anaondoka harafu watu waliokuwa wanyonge...
Watanzania wamesha advance mno kwa siasa kama anazozifanya Tundu lissu, wanashangaa lakini wengi wanamkebei na kuona huyu jamaa anajaribu kutengeneza attention kwa UMMA kizamani kabisa kwa watu wenye maono makubwa mno nadhani kumpita yeye mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.