Operesheni +255 CHADEMA & Rejesha bandari zetu: Kesho tarehe 2/8/2023 Tundu Lissu ndani ya Chato, Geita...

Uzima Tele

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
1,101
2,344
Leo mzee wa kuwachapa za uso na za kichwa tu, Tundu Lissu - Makamu Mwenyekiti CHADEMA (Taifa) leo tumefungia siku katika mji mdogo wa Mbogwe.

Kesho J'tano tarehe 2/8/2023 operesheni inaingia Wilaya Chato mkoani Geita na Tundu Lissu atahutubia mkutano mkubwa katika mji wa Chato na ratiba inaonesha kuwa atakwenda kuisalimia familia ya hayati Rais John P. Magufuli na kuweka shada la maua kwenye kaburi lake.

Wana - Chato kaeni mkao wa kupokea ugeni mkubwa wa mwamba wa siasa za Tanzania, jasiri Tundu Antipasy Mg'hway Lissu.
 
Wela Bhagosha !! Enzagamba yazwamapembe ...eehlumaga Shimba lumagha Shimba...

Lee Lissu doh.....
 
Na mm niko hapa Chato nimepiga kambi. Kesho naenda moja kwa moja kwenye kaburi la jiwe.

Naombeni mnishauri;-
(a) Nikalifukue?
(b) Nikalichape?
(c) Nikalitemee mate?
(d) Nikalizomee?
 
Na mm niko hapa Chato nimepiga kambi. Kesho naenda moja kwa moja kwenye kaburi la jiwe.

Naombani mnsishauri;-
(a) Nikalifukue?
(b) Nikalichape?
(c) Nikalitemee mate?
(d) Nikalizomee?
Ukiweza kupata fursa nenda ukanye kabisa juu ya kaburi
 
Lisu namkubali sana kwa misimamo na uwezo wale mkubwa hata hivyo kuna umuhimu wa kumzuia kutembelea kaburi la JPM maana hashindwi kutandika kaburi viboko yule
 
Back
Top Bottom