Tundu Lissu amerudi Ubelgiji kwa daktari wake?

5520

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
610
1,148
Baada ya kamata kamata ya makosa ya uhaini na uchochezi tunaona Tundu Lissu amekuwa kimya na hasemi chochote., tunaulizana kama labda amerudi kwa daktari wake belgium kupata matibabu maana tumemzoea akichakarishiwa kidogo anapita mlango nyuma kisingizio ni daktari wake amempigia simu arudi belgium haraka.

On top of that, tunazo taarifa Tundu Antipus Lissu haziendi na Chadema na kwamba ile mikutano anayofanya na kumtusi Mama kwenye majukwaa haina baraka za Mbowe wala Chadema kwa ujumla, Nimemsikia Chadema mmoja kiongozi wa juu akisema "Tundu Lissu anatuharibia chama na ile mikutano anayofanya si ya kichama anaigaramia mwenye kukichafua Chama.

Lakini pia baada ya kuhojiana chadema huyo pia kakiri kwamba "Chadema haina tena mpango wa kumpitia Lissu kugombea tena urais sababu uchaguzi uliopita Tundu Lissu alikuwa na watu ambao aliwaeka karibu kwenye route zake za kampeni pasina kuwa na baraka za Chama badala ya viongozi wa Chadema jambo ambalo limeleta maudhi makubwa kwenye Chadema".

Kwa mujibu wa tetesi hizi huenda Chadema wanaandaa mipango ya kumtema Tundu Lissu kwenye Chama lakini katika hali ambayo haitaleta madhara kwenye chama.

Kwenu Wadau.

PIA SOMA
- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
 
Hivi wewe hilo likichwa lako ulipewa kwa ajili ya kufugia nywele tu? Chsngamsha mdomo wako kujitetea bila kumsubiri Lissu ambaye si msemaji wetu.
 
Baada ya kamata kamata ya makosa ya uhaini na uchochezi tunaona Tundu Lissu amekuwa kimya na hasemi chochote., tunaulizana kama labda amerudi kwa daktari wake belgium kupata matibabu maana tumemzoea akichakarishiwa kidogo anapita mlango nyuma kisingizio ni daktari wake amempigia simu arudi belgium haraka.

On top of that, tunazo taarifa Tundu Antipus Lissu haziendi na Chadema na kwamba ile mikutano anayofanya na kumtusi Mama kwenye majukwaa haina baraka za Mbowe wala Chadema kwa ujumla, Nimemsikia Chadema mmoja kiongozi wa juu akisema "Tundu Lissu anatuharibia chama na ile mikutano anayofanya si ya kichama anaigaramia mwenye kukichafua Chama.

Lakini pia baada ya kuhojiana chadema huyo pia kakiri kwamba "Chadema haina tena mpango wa kumpitia Lissu kugombea tena urais sababu uchaguzi uliopita Tundu Lissu alikuwa na watu ambao aliwaeka karibu kwenye route zake za kampeni pasina kuwa na baraka za Chama badala ya viongozi wa Chadema jambo ambalo limeleta maudhi makubwa kwenye Chadema".

Kwa mujibu wa tetesi hizi huenda Chadema wanaandaa mipango ya kumtema Tundu Lissu kwenye Chama lakini katika hali ambayo haitaleta madhara kwenye chama.

Kwenu Wadau.
Haikuhusu
 
Kichwa kimoja tu cha Tundu Lissu, ni sawa na vichwa vya Wabunge wote wa si si emu. Na kama huamini, shauri yako.
 
Leo parokiani kwetu, kulikuwa na sadaka ya ziada kwaajili ya kuwapongeza Maaskofu kwa kutuletea waraka
 
Baada ya kamata kamata ya makosa ya uhaini na uchochezi tunaona Tundu Lissu amekuwa kimya na hasemi chochote., tunaulizana kama labda amerudi kwa daktari wake belgium kupata matibabu maana tumemzoea akichakarishiwa kidogo anapita mlango nyuma kisingizio ni daktari wake amempigia simu arudi belgium haraka.

On top of that, tunazo taarifa Tundu Antipus Lissu haziendi na Chadema na kwamba ile mikutano anayofanya na kumtusi Mama kwenye majukwaa haina baraka za Mbowe wala Chadema kwa ujumla, Nimemsikia Chadema mmoja kiongozi wa juu akisema "Tundu Lissu anatuharibia chama na ile mikutano anayofanya si ya kichama anaigaramia mwenye kukichafua Chama.

Lakini pia baada ya kuhojiana chadema huyo pia kakiri kwamba "Chadema haina tena mpango wa kumpitia Lissu kugombea tena urais sababu uchaguzi uliopita Tundu Lissu alikuwa na watu ambao aliwaeka karibu kwenye route zake za kampeni pasina kuwa na baraka za Chama badala ya viongozi wa Chadema jambo ambalo limeleta maudhi makubwa kwenye Chadema".

Kwa mujibu wa tetesi hizi huenda Chadema wanaandaa mipango ya kumtema Tundu Lissu kwenye Chama lakini katika hali ambayo haitaleta madhara kwenye chama.

Kwenu Wadau.
USITUTOE KWENYE TAMKO LA TEC
 
Buku 7 FC At Work.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom