Haya ni mambo matatu ambayo mlio karibu na Tundu Lissu mumfahamishe;
1. Ukitoa Waalimu baadhi ya watumishi wa Serikali Watanzania wengi bado wanaamini na wanakubali falsafa ya Hayati Magufuli. Hivyo kumchafua Hayati Magufuli ni kujiweka mbali na kuingia Ikulu.
2. Kamwe hawezi ingia Ikulu kwa Kupitia CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe, hata Mbowe analielewa hili hivyo ni bora amuachie chama mbowe preferably aende NCCR MAGEUZI.
3. Watu wasiojulikana walikuwepo toka kipindi cha Mwalimu Nyerere na wapo kwa ajili ya kuhakikisha watawala wanatawala bila shida na hakuna awamu ambayo hawakufanya matukio na hata sasa wanafanya.
Ni hayo tu.