Naomba picha za Tundu Lissu akihiji kaburi la marehemu Hayati Magufuli

WhoWeBe

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
2,301
4,243
Kama tujuavyo kuwa mheshimiwa sana upande ule, ndugu Tundu Lissu, aliitangazia nchi kuwa anaenda Chato kuhiji kaburi la JPM. Hilo lilitokea juzi kama sio majuzi. Alisema 'lazima' afike.

Baadae tukasikia UVCCM imepiga marufuku 'madange' hayo na kutoa tamko kwa chadema kuwa 'mdako' huo au 'kidali po' hicho wakachezee huko kwao kwenye ile ofisi iliyopakwa rangi kwa bil. 2 ila sio ardhi ya Chato ambako umelala mwili wa aliyewahi kuwa mtu mkubwa nchi na mwenyekiti wa chama chao. Baada ya tamko hilo la UVCCM, tukasikia tena 'hakikisho' la chadema kuwa LAZIMA lissu atafika; UVCCM watake au wasitake.

Leo, tumeamka na threads kadhaa humu za wafuasi wenye uegemeo wa chadema wakiwadhihaki UVCCM kuwa 'kiko wapi'; mbona mheshimiwa tundu lissu ametimiza azma yake ya kufika kaburini kwa jpm 'kuhiji' kama alivyodai?

Sasa sisi wengine ni wadogo tu hatuelewi mambo haya yanavyoenda. Kwa sababu hiyo basi, na kwa heshima au unyenyekevu mkuu, naomba mwenye picha ya tundu lissu akihiji katika kaburi la marehemu JPM (sawa na uhakika alioutoa kwa 100%). Ahsanteni sana.
 
Mimi nilichosikia ni gari lao kuchomwa moto na pia kurushiwa mawe na picha ya gari kuharibiwa imo humu.
 
...Leo, tumeamka na threads kadhaa humu za wafuasi wenye uegemeo wa chadema wakiwadhihaki UVCCM kuwa 'kiko wapi'; mbona mheshimiwa tundu lissu ametimiza azma yake ya kufika kaburini kwa jpm 'kuhiji' kama alivyodai?

Sasa sisi wengine ni wadogo tu hatuelewi mambo haya yanavyoenda. Kwa sababu hiyo basi, na kwa heshima au unyenyekevu mkuu, naomba mwenye picha ya tundu lissu akihiji katika kaburi la marehemu JPM (sawa na uhakika alioutoa kwa 100%). Ahsanteni sana.
Mshtue Erythrocyte atakuwa anazo🤣🤣.
 
Kama tujuavyo kuwa mheshimiwa sana upande ule, ndugu Tundu Lissu, aliitangazia nchi kuwa anaenda Chato kuhiji kaburi la JPM. Hilo lilitokea juzi kama sio majuzi. Alisema 'lazima' afike.
kihiji katika kaburi la marehemu JPM (sawa na uhakika alioutoa kwa 100%). Ahsanteni sana.
Waafrika hatuna Tamaduni za kufanya siasa makaburini.

Malimbukeni wengine hata zoezi la kusafisha mwili Kwa ajili ya maziko wanarecord kana kwamba yaezatokea siku familia itaomba mkanda huo urudiwe sebuleni!!!

Upuuzi, upuuzwe🙏🙏🙏
 
Kama tujuavyo kuwa mheshimiwa sana upande ule, ndugu Tundu Lissu, aliitangazia nchi kuwa anaenda Chato kuhiji kaburi la JPM. Hilo lilitokea juzi kama sio majuzi. Alisema 'lazima' afike.

Baadae tukasikia UVCCM imepiga marufuku 'madange' hayo na kutoa tamko kwa chadema kuwa 'mdako' huo au 'kidali po' hicho wakachezee huko kwao kwenye ile ofisi iliyopakwa rangi kwa bil. 2 ila sio ardhi ya Chato ambako umelala mwili wa aliyewahi kuwa mtu mkubwa nchi na mwenyekiti wa chama chao. Baada ya tamko hilo la UVCCM, tukasikia tena 'hakikisho' la chadema kuwa LAZIMA lissu atafika; UVCCM watake au wasitake.

Leo, tumeamka na threads kadhaa humu za wafuasi wenye uegemeo wa chadema wakiwadhihaki UVCCM kuwa 'kiko wapi'; mbona mheshimiwa tundu lissu ametimiza azma yake ya kufika kaburini kwa jpm 'kuhiji' kama alivyodai?

Sasa sisi wengine ni wadogo tu hatuelewi mambo haya yanavyoenda. Kwa sababu hiyo basi, na kwa heshima au unyenyekevu mkuu, naomba mwenye picha ya tundu lissu akihiji katika kaburi la marehemu JPM (sawa na uhakika alioutoa kwa 100%). Ahsanteni sana.
Vitu vingine ni vya kuachana navyo tuu kwakuwa havikuongezei hata nukta moja ya maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hili la picha ya lissu akihiji kaburi ni muhimu sana. Nakupinga kuwa haitoongeza maarifa. Maarifa yataongezeka kwani hapo tutajifunza kuwa kumbe ni vizuri kufanya calculation ya nguvu kabla ya kutamka; kuwa na kiasi katika kuongea n.k. Yapo meeengi ya kujifunza.
 
Hatufahamiani in personal lakini kwa mtazamo wako huu am sorry to say una mtazamo finyu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama tujuavyo kuwa mheshimiwa sana upande ule, ndugu Tundu Lissu, aliitangazia nchi kuwa anaenda Chato kuhiji kaburi la JPM. Hilo lilitokea juzi kama sio majuzi. Alisema 'lazima' afike.

Baadae tukasikia UVCCM imepiga marufuku 'madange' hayo na kutoa tamko kwa chadema kuwa 'mdako' huo au 'kidali po' hicho wakachezee huko kwao kwenye ile ofisi iliyopakwa rangi kwa bil. 2 ila sio ardhi ya Chato ambako umelala mwili wa aliyewahi kuwa mtu mkubwa nchi na mwenyekiti wa chama chao. Baada ya tamko hilo la UVCCM, tukasikia tena 'hakikisho' la chadema kuwa LAZIMA lissu atafika; UVCCM watake au wasitake.

Leo, tumeamka na threads kadhaa humu za wafuasi wenye uegemeo wa chadema wakiwadhihaki UVCCM kuwa 'kiko wapi'; mbona mheshimiwa tundu lissu ametimiza azma yake ya kufika kaburini kwa jpm 'kuhiji' kama alivyodai?

Sasa sisi wengine ni wadogo tu hatuelewi mambo haya yanavyoenda. Kwa sababu hiyo basi, na kwa heshima au unyenyekevu mkuu, naomba mwenye picha ya tundu lissu akihiji katika kaburi la marehemu JPM (sawa na uhakika alioutoa kwa 100%). Ahsanteni sana.
Hakuna sehemu Lissu alisema ataenda kuhiji kaburi la JPM
 
Back
Top Bottom