tubaki

Keisuke Tubaki was a Japanese mycologist.

View More On Wikipedia.org
  1. Kiboko ya Jiwe

    Kuondoa lawama sasa kila mtu abaki na mali zake. Wadada mubaki na mali zenu na wakaka tubaki na mali zetu.

    Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine. Eeeehh mara hivi mara vile. Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani. Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana. Ni biashara ya upande mmoja.
  2. tpaul

    Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
  3. U

    Nadhani Mdundo wa amelowa na Yataniua tubaki hapa tutafika

    Production zetu bongo c nzuri na Biti zetu nyingi ni legevu na zisizoweza kushindana na Nigeria. Nimekuwa naenda Club nyingi za usiku, ila Kila zinapopigwa nyimbo hizi mbili yaani Amelowa ya harmonize na Yataniua ya diamond naona kabisa ni Biti za tofauti na ni Kali sana kiasi kwamba nahisi...
  4. BARD AI

    Zitto: Vikao na Wanachama wataamua tubaki au tutoke SUK

    Kauli ya Zitto imetokana Rais Mwinyi kumteua Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ambapo chama hicho kinapinga kwa madai alihsika kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Kiongozi huyo wa ACT Wazalendo, amesema kabla ya kuingia Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) walienda kwa wanachama na...
Back
Top Bottom