Kuondoa lawama sasa kila mtu abaki na mali zake. Wadada mubaki na mali zenu na wakaka tubaki na mali zetu.

Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine.
Eeeehh mara hivi mara vile.
Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani.
Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana.
Huna pesa kaa kimya.
 
Attachments

  • FB_IMG_1706509458060.jpg
    FB_IMG_1706509458060.jpg
    69.7 KB · Views: 3
Nyie wanaume mnaweza kubaki na mali zenu sasa? Yaani mnavyotubembelezaga tutumie hela zenu hadi huruma.

Unakuta kila siku mtu anakubembeleza akutoe dinner, mara ooh unapendelea zawadi gani, mara hiyo elfu 50 nunua bando.

Unamwambia mtu hutaki ila anaendelea kukulazimisha utumie hela zake.
 
Acha kudate usiowapenda .mm wangu akiona sina hela ananipa 50 nkalewe na washkaj
 
Back
Top Bottom