tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nasikia harufu ya Chid Benz kurudi tena kwenye chat

    God bless. Mashabiki wa Ninja tumefurahi sana kwa alicho kifanya mwamba kwenye mkwaju Nasikia harufu. Huyu ndio Chidy tulie mjua. Chidy umefunika sana kwenye hilo goma. Kwa ulicho kifanya Chidy kwenye hilo Goma kama ni mchezaji basi we Pacome. Simu ziite simu ziite. # Maurine sio mtamu...
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena, CCM mmekuwaje?

    - Kukatika katika hovyo kwa umeme - Fukuza fukuza ya machinga - Kuongeza nauli hovyo hovyo - Ubovu wa miundombinu ya barabara - Kukwama kwa miradi mbalimbali - Mfumko wa kutisha wa bei - Rushwa iliyokithiri Mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? Yaani CCM mmepoteza...
  3. nentewene

    JamiiForums Tanzania Tungo: Tena sioni aibu.

    tena sioni aibu.. kukutaja hadharani.. wew wangu tabibu ..tamu yangu kitandani.. mke wangu mahabubu.. hebu tuache utani.. kwako wew -mimi bubu,nabaki kukutamani.. kila kitu nahusudu ... nje hadi ndani
  4. Darkish

    JamiiForums Tanzania Kwenda Same: Kwanini ulipie nauli ya kwenda Arusha

    Baada ya kupotea kwa muda mrefu sasa nimerudi tena mjengoni. Kwanza heri ya mwaka mpya kwenu wote! Yaani waibo wa naija tunasema 'UMUOFIA KWENU' unaitika 'YAA' Leo napenda kuzungumzia kuhusu nauli kwenda Same,, nashindwa kuelewa kwa nini unalazima kulipa nauli ya Arusha wakati unaishia hapo...
  5. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Simba tunarudia makosa tena yale yale. Tatizo liko hapa

    Wazee Wanasimba wenzangu mimi nikiwa mwanachama halali wa simba naumia sana .. Misimu mitatu au minne nyuma tumekuwa tukileta wachezaji wa hovyo sana. Kisha tukiwatena kwa kuwasingizia kesi mbalimbali. Angalau basi hata hao wachezaji wawe wamoto sana ila ndiyo vile ndugu mangungu amekuwa ni...
  6. ward41

    JamiiForums Tanzania Iran mbona kimya tena?

    Hivi Yale makelele ya Iran yameishia wapi. Mara ooh Israeli akiivamia Gaza atakuwa amevuka mstari mwekundi. Yale maneno hatuasikii tens, kuna nini? Wanaume wapo ndani huko. Mji wa Gaza majengo yote yamebomolewa na magaidi 8000 yamekufa na wengine kujisalimisha. Mataifa ya Kiarabu mbona yapo...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS wamesakamwa hadi wamebakia kurusha roketi moja moja tena kwa kujificha sana

    Hawa hawa waliokua wanarusha mamia na maelfu ya rockets, wamesalia kurusha roketi moja kwa siku tena kwa kujificha sana maana kila wakifyatua, hapo ilipotokea panasambaratishwa kwa majibu ya Israel. Wamefifia maana kuna siku zinapita hawajarusha chochote, wamepoteana na kusakamwa...
  8. ward41

    JamiiForums Tanzania Biden anagombea tena na atashinda

    Pamoja na uzee wake Rais Biden atagombea tena na uwezekano wa kushinda ni mkubwa. Katika kipindi cha miaka mitatu ya uraisi wake, Biden ameweza vizuri kumdhibiti Rais Putin kuwa tishio barani Europe. Mpango wa Putin ulikuwa kuichukuwa Ukraine na kuwa sehemu ya Urusi. Vile vile huyo mpango...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wale tuliokula mishikaki ya paka enzi za kituo cha Ubungo na Mwenge tujuane, nini kifanyike tusile tena?

    Hii habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somo zuri sana, kizuri gharama. Zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho. Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia, adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Vingunguti: Watu wawili wauawa kwa kupigwa na risasi

    Watu wawili Wakazi wa mtaa wa Majengo, kata ya Vingunguti, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam wamefariki baada ya kupigwa risasi jioni ya Jumatano, Desemba 27.2023. Akizungumza na Jambo TV leo, Ijumaa Desemba 29.2023 Kaka wa mmoja wa marehemu hao aliyejitambulisha kwa jina la Omari Shomari ambaye...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania DINI zimetugawa sana; Ikitokea Africa tukatawaliwa tena, basi tutasema ni mpango wa MUNGU

    Namsikiliza jamaa alikuwa anaongea kuhusu Afrika. Alisema kabisa dini zimetugawa pakubwa lakini ikatokea Afrika tukatawaliwa kama karne ile ya 15 basi miongoni mwetu, tena 80% watasema ni mapenzi ya Mungu. Unapitia shida.... MAPENZI YA MUNGU Unanyanyasika.... MAPENZI YA MUNGU Unateseka...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania 2023 /2024 Arsenal hatoambulia kikombe chochote tena , Mashabiki wake jiandaeni kisaikolojia

    Hii ndio taarifa ya upendo ya leo ambayo tumeona ni vema tusiwafiche washabiki wake ili visukari visije kuwapanda hapo baadaye . Arsenal 0-2 Westharm
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 mbona sisikii kampeni tena?

    Lile dili la kuchanja watu nchi nzima limeishia wapi? Maafisa, wameshakula pesa zao na kununua Apartments Dubai, wamesizi wanasikilizia mchongo mwingine? Aisee mjini mipango!
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona kuna Nafasi ya Uteuzi iko wazi na anafutwa Mtu halafu kisha akajadiliwa mno JamiiForums jua kwa 100% hapati tena

    Kabla ya Kukurupuka kuja Kubishana nami juu ya hiki nilichokisema tuliza Kwanza Akili yako, fanya Utafiti wako hapa JamiiForums na nina uhakika mwishoni utakubaliana nami 100% Na mara nyingi hii huwa ni Strategy ya System na Wasaga Kunguni ( Watu wasiopenda na kukupenda ) katika kutaka kujua ya...
  15. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Wayemeni wamekinukisha tena Red Sea, wameishambulia manowari ya kivita ya USA

    Wayemeni kiboko, hawangoji, wakiamuwa wanafanya tu. Wameishambulia manowari ya kivita ya USA kwa missiles za za Dollar 2,000 nne, ote zimepigwa na missiles za Kamarekani zinazosikiwa kuwa zinagharibu zaidi ya Dollar million moja mpaka million 10 kila moja kwa uchache. Fikiri hasara za...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yanga bingwa tena msimu huu wa 2023/2024 , wanasimba tujiandae kisaikolojia

    Nikiwa kama shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba sc ,nathubutu kusema kwa kinywa kipana kuwa Yanga atatwaa tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024. Naitazama Yanga kwa jicho la kimpira naona kabisa kuwa wameizidi simba kwa vitu vingi sana. Wachezaji wa Yanga wana ari na shauku ya...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kabla haujaoa, tembelea kwanza Newala. Mwenzenu Tayari nipo Newala toka juzi usiku wa manane

    Majuzi niliandika Uzi humu nikisema nataka kufanya utalii wa ndani mikoa ya kusini then nikaomba suggestion nianze na Newala au Songea? Mdau mmoja akasema niende Songea sintojuta. Mwingine akaniambia kama nawataka wamakonde haina haja ya kwenda Newala bora niende Masasi kwa sababu Masasi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hamas yasema haitawaachilia tena mateka hadi Israel ikomeshe vita

    Hamas inasema kuwa makundi ya Wapalestina yamepinga matarajio ya kuachiliwa zaidi kwa mateka hadi Israel ikubali kumaliza vita Gaza. Katika taarifa ya Kiarabu iliyosambazwa kwenye Telegram, Hamas ilisema: "Kuna uamuzi wa kitaifa wa Palestina kwamba kusiwe na mazungumzo kuhusu wafungwa au...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ex kaachwa Tena, wahuni tuna-pop Champagne 🥂

    Kuna mwanamke nilikuwa nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi Kwa mara ya Tatu, ndani ya miaka miwili. wacha tu_pop champagne 🍾
  20. A

    JamiiForums Tanzania Dr Mathayo David Mathayo "Mwananwa Kaya" mitano tena!

    Msomi (PhD) na Kiongozi mashuhuri dunian na Mbunge wa Same (M) karibu tena jimboni uhudumie wananchi kipindi cha 2025-2030. NB: safari hii TOA misaada ya pikipiki 3000 (Kwa mchanganuo ufuatao 1500 ukanda wa miliman, 1500 tambarare) kwa vijana badala ya ambulance. Hap bodaboda ndio uzunguke nao...
Back
Top Bottom