Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,860
18,280
Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari.

Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na kucheka wakichukua video wakatupie mtandaoni. Nchi hii kweli imefikia ufedhuli wa kiasi hiki? Mbona kuna baadhi ya watu wapo uraiani lakini wanaishi kama vile wapo jehanamu?

Haya majitu yanamuonea binti mdogo asiyekuwa na hatia kwa kumfunga kamba na kumuadhibu kwa kiasi hiki kama vile nchi hii haina utawala wa sheria? Naomba vyombo vya sheria vichukue hatua kuwashughulikia wapuuzi hawa. Yaani wanamchapa binti kiasi hiki hadi wanammaliza nguvu za kike? Na utashangaa akiolewa asipate watoto yatakuwa yanakesha kwa Mwamposa kumuombea apate watoto wakati yenyewe ndiyo yamempa adhabu kali hadi yameua mayai yanayozalisha watoto.

Halafu tazama hilo shabiki la Utopolo jinsi linavyomchapa utadhani linaua nyoka! Majitu ya Yanga yana roho mbaya zaidi ya shetami. Hizi zote ni hasira za kufungwa na Azam. Yaani kufungwa yafungwe kiwanjani halafu hasira yanaenda kumalizia kwa binti wa watu asiyekuwa na hatia?

Tafadhali sana Dkt. Gwajima D naomba uchukue hatua haya mashenzi yakamaatwe yatiwe adabu. Hayawezi kuifanya nchi hii kama shamba la wanyama lisilokuwa na utawala wa sheria. Mambo ya kishenzi kama haya hayakubaliki duniani wala mbinguni. Haya majitu yakikamatwa yaadhibiwe zaidi ya yalivyomuadhibu huyu binti asiyekuwa na hatia. Naomba wanaoifahamu lugha hii inayoongewa na hawa wanaizaya watusaidie kutambua ni lugha ya kabila gani ili kuisaidia polisi kufanya upelelezi na kuwatia nguvuni wahalifu hawa wasiokuwa na chembe ya huruma.
 
Mkuu
Baada ya wewe kupost ama kabla ya kupost humu, ulichukua hatua gani kumsaidia huyo mhanga wa huo ukatili?
Sikuwepo eneo la tukio mkuu. Nisingekubali binti aadhibibiwe kinyama hivi mbele yangu. Nimeipata mtandaoni nikaona niitume humu ili tusaidiane kuwaska hawa wahalifu.

Tukijua lugha hii ni ya wenyeji wa mkoa gani itakuwa rahisi polisi kufanya upelelezi na kuwakamata wahalifu.
 
Nadhani inaweza kuwa lugha ya watu wa Mbeya. Anyway, tuwasubir wenye lugha yao waje watusaidie na watutafsrie tujue huyu binti alikuwa amekosa nini hadi aadhibiwe kinyama kiasi hiki
Sio lugha ya Mbeya na nina mashaka kama hapo ni Tanzania na huyo ni mwanafunzi.

BTW ukatili dhidi ya watoto including wanafunzi haukubaliki kabisa, ni mambo ya kishenzi na kikoloni.
 
Sikuwepo eneo la tukio mkuu. Nisingekubali binti aadhibibiwe kinyama hivi mbele yangu. Nimeipata mtandaoni nikaona niitume humu ili tusaidiane kuwaska hawa wahalifu.

Tukijua lugha hii ni ya wenyeji wa mkoa gani itakuwa rahisi polisi kufanya upelelezi na kuwakamata wahalifu.
Sijaifungua video maana nimedevelop phobia ya kutopenda kuona butality kwenye vids.

Mila za Wamasai, Wakurya, Wameru na baadhi ya mikoa wanakuwa na tabia hiyo ambapo mtu anaweza kushushiwa hata fimbo 200
 
Sijaifungua video maana nimedevelop phobia ya kutopenda kuona butality kwenye vids.

Mila za Wamasai, Wakurya, Wameru na baadhi ya mikoa wanakuwa na tabia hiyo ambapo mtu anaweza kushushiwa hata fimbo 200
Mkuu fungua video utusaidie kujua hiyo lugha inazungumzwa mkoa gani ili tuisaisie polisi kuwasaka hao wahalifu
 
hivi kwa nini mtu kutoa uzi wake kueleza kero au ukweli mnajifanya amjui kusoma ila ya wapumbavu mnaweza kusoma
Inashangaza sana badala tusaidiane kuwaska wahalifu tunakosoana wenyewe kwa qenyewe. Watu wengine sijui wana roho gani
 
Back
Top Bottom