CHADEMA mmeamua kuingia kwenye uchaguzi 2024/25, mmejiandaaje kuzuia dhuluma/uchafuzi kama za "chafuzi" za 2020 zisijirudie tena

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,008
Si wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii:

1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO?
a) Kuna kuenguliwa
b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya kupgia kura
c) Polisi kukimbia na mabox ya kura
d) Polisi kuingia kwa nguvu kwenye vyumba vya kupigia kura na mabox ya kura
e) etc etc etc...... na mengine mengi yanayoweza kubuniwa na CCM ya kuiba kura

2. NAWAHAKIKISHIENI HAYA YATATOKEA TENA, CCM MSIWAAMINI KAMWE, KATU MSIWAAMINI, MNAYAKABIRI VIPI?
 
Wamekiri wenyewe kwamba waliiba kura na kuibiwa wafanya biashara pesa zao
 
Si wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii:

1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO?
a) Kuna kuenguliwa
b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya kupgia kura
c) Polisi kukimbia na mabox ya kura
d) Polisi kuingia kwa nguvu kwenye vyumba vya kupigia kura na mabox ya kura
e) etc etc etc...... na mengine mengi yanayoweza kubuniwa na CCM ya kuiba kura

2. NAWAHAKIKISHIENI HAYA YATATOKEA TENA, CCM MSIWAAMINI KAMWE, KATU MSIWAAMINI, MNAYAKABIRI VIPI?
2025 tunasubiri malalamiko mapya
 
😱🙄
Duh 🙄 iko kazi !!
 
Kamati kuu ijipange kwa mbinu mbadala iwapo hali itabadilika kuelekea uchafuzi km wa 2020
 
Kuendelea kushiriki chaguzi za nchi hii kwenye Sheria na katiba hii ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Kwa Sasa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ni chaguzi zitakazokuwa na wapiga kura wachache mno.
 
Bora kupigana kuliko kukimbia.
Wao nao wafanyiwe uhuni tu, wabunge wa CCM kama 30 wakinyanganywa fomu zao ndo kitaeleweka
 
Uchaguzi ujao wa 2024 na 2025 bila ya Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi sio tu hatutoshiriki bali pia HAUTOFANYIKA-Freeman Mbowe 2023 kabla ya malimbikizo ya ruzuku kutolewa

Hakuna Kitongoji wala kata ambayo Chadema haitoweka Mgombea -Freeman Mbowe 2024 baada ya mzigo wa malimbikizo ya ruzuku kuingia kwny Akaunti

Ahsante Hayati Mwinyi na Kingunge kwa misingi bora ya uzalendo kwny kuanzisha vyama vingi 1991
 
Kuendelea kushiriki chaguzi za nchi hii kwenye Sheria na katiba hii ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Kwa Sasa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ni chaguzi zitakazokuwa na wapiga kura wachache mno.
Tindo usiwe na wasiwasi kamanda kwa maoni ya CHADEMA aliyewaibia uchaguzi ameshaenda zake ujao utakuwa huru na wa haki.
 
Tindo usiwe na wasiwasi kamanda kwa maoni ya CHEDEMA aliyewaibia uchaguzi ameshaenda zake ujao utakuwa huru na wa haki.
Mifumo ya wizi wa kura Bado ipo na ccm Hawako tayari ibadilike. Dhalimu magu alikuja kuweka wazi udhaifu huo wa mifumo, lakini hicho ni kilio Cha muda mrefu. Kuendelea kushiriki chaguzi kwa utashi wa rais ni upuuzi kama upuuzi mwingine.

Kwangu Mimi Magufuli alikuja kuchora mstari wa kuendelea kushiriki kwenye chaguzi za mfumo huu. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko ya kweli.
 
Si wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii:

1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO?
a) Kuna kuenguliwa
b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya kupgia kura
c) Polisi kukimbia na mabox ya kura
d) Polisi kuingia kwa nguvu kwenye vyumba vya kupigia kura na mabox ya kura
e) etc etc etc...... na mengine mengi yanayoweza kubuniwa na CCM ya kuiba kura

2. NAWAHAKIKISHIENI HAYA YATATOKEA TENA, CCM MSIWAAMINI KAMWE, KATU MSIWAAMINI, MNAYAKABIRI VIPI?
Samia hawezi kuwafanyia hivyo 😆😆

Anafahamu mnaelekea kuzeeka so atawacha mpate za uzeeni huko
 
Si wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii:

1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO?
a) Kuna kuenguliwa
b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya kupgia kura
c) Polisi kukimbia na mabox ya kura
d) Polisi kuingia kwa nguvu kwenye vyumba vya kupigia kura na mabox ya kura
e) etc etc etc...... na mengine mengi yanayoweza kubuniwa na CCM ya kuiba kura

2. NAWAHAKIKISHIENI HAYA YATATOKEA TENA, CCM MSIWAAMINI KAMWE, KATU MSIWAAMINI, MNAYAKABIRI VIPI?
Kwa mujibu wa falasafa ya mzee mbowe na makamu wake Tundu Lissu ,chaguzi itakuwa huru na haki kama wafuatao watakuwa wabunge;
1: Binamu yake Mzee Mbowe(Godbless Lema)
2: Mzee Mbowe Mwenyewe
3: John Henche
4:Sugu
5: Wenje
6.Mnyika
 
Back
Top Bottom