Kwa majeruhi haya ya Wachezaji tegemezi, Mamelodi Sundowns anakuja kufanya Mauaji ya Kishalubela Dar kwa Mkapa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,709
109,145
Yaani kama Roho zote za Timu zina Majeraha makubwa na mabaya bado tunategemea kabisa kumfunga Masandawana tatehe 30 hapa Kwa Mkapa Dar es Salaam?

Mwaka jana Simba SC ilipoandamwa na Majeruhi wengi kuna Watu hapa JamiiForums mlifurahi sana hivyo nami GENTAMYCINE leo nafurahi mno kwa Azam FC kuwaongezeeni idadi ya Wachezaji Majeruhi mlionao.

Azam FC 2 na Yanga SC 1 Kudadadeki.
 
Yaani kama Roho zote za Timu zina Majeraha makubwa na mabaya bado tunategemea kabisa kumfunga Masandawana tatehe 30 hapa Kwa Mkapa Dar es Salaam?

Mwaka jana Simba SC ilipoandamwa na Majeruhi wengi kuna Watu hapa JamiiForums mlifurahi sana hivyo nami GENTAMYCINE leo nafirahi mno kwa Azam FC kuwaongezeeni idadi ya Wachezaji Majeruhi mlionao.

Azam FC 2 na Yanga SC 1 Kudadadeki.

Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas.

Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi ya kutuharibia. Si kawaida kabisa. Azam wa jana si wa siku zote hawa mbwas.

Wametugeuka siku ya match wanacheza utadhani ni fainali? Itawasaidia nini sasa na kombe hawataweza chukua
Copy &Paste
 
Nasema hivi..yanga jana wamewasaidia azam kusonga mbele..sasa nyie shangilieni ila mbele yenu ni kugumu kuliko hao wenzenu yanga na azam. Mkijichanganya mnamaliza wa3 kwenye ligi.
 
Game ya Yanga vs Mamelod itachechezwa march 30.
Hivyo bado kuna siku 10 za wachezaji wa Yanga kutibiwa na kupona. Jambo zuri ni kwamba Yanga haitacheza mechi nyingine ya ligi wiki hii hadi imalizane na Mamelod
 
Ndugu mbumbu tarehe 30 wachezji wote walioumia watakuwepo kucheza. Na Mamelodi watakandwa pasina shaka.
 
1000026486.jpg
 
Mpira ungekua hivo unavyofikiri mgebkuwa mshamfukuza onana ambaye ulimponda sana hapa jf lakini cha ajabu huyo huyo mbovu ndo kawapereka robo CAF kwa hiyo hao waliopo wanatosha then 2nd leg wa ak0wa washarudi uwanjani na tutavuka kama tulivompiga mjomba wako belozdad
Endelea kuota
 
Azam siyo kwamba ni bora sana jana,Yanga haikuwa kwenye kiwango chake jana,azam waliwin Yanga
Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas.

Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi ya kutuharibia. Si kawaida kabisa. Azam wa jana si wa siku zote hawa mbwas.

Wametugeuka siku ya match wanacheza utadhani ni fainali? Itawasaidia nini sasa na kombe hawataweza chukua
Copy &Paste
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom