tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wasomaji makala wenye sauti ya mvuto Tanzania

    Nimefuatilia sana kwenye radio na mitandaoni pia nimegundua kuna watu wako vizuri sana kwenye usomaji wa makala. Top 3 yangu hii 3. Spesho Kabwanga (kituo chake youtube) anasomaga pia kwenye sports extra. 2. Ananias Edgar Makaza zake nyingi nazipataga youtube nimemjulia huko. 1. Mtiga Abdala...
  2. JamiiForums Tanzania Fears that President Magufuli will create a dictatorship in Tanzania

    Jane Flanagan Wednesday June 17 2020, 9.00am, The Times Tanzania dissolved its parliament and set course for an election in October days after an opposition leader was badly beaten and laws were passed granting senior government figures immunity from prosecution. There is growing concern that...
  3. U

    JamiiForums Tanzania NEW Video: Rosa Ree - Kupoa {Official Video}

    Rapper wa Kike Tanzania Rosa Ree Ameachia Video ya nyimbo mpya inayoitwa - Kupoa Nimekuwekea hapa chini uitazame mtu wangu.
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Maoni ya Jeffery Smith juu ya Uchaguzi wa Tanzania 2020

    The Magufuli regime in #Tanzania “knows they cannot win on an equal political playing field ... They use any means necessary, including violence, to try to silence the opposition. This is a clear sign of weakness, not strength." Fears that President Magufuli will create a dictatorship in...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Tanzania tuliipigia kura Kenya Baraza la Usalama UN. Wametushukuru, nasi tumewaambia hapana ule ni wajibu wetu kama ndugu!

    Prof Kabudi amesema Tanzania iliipigia kampeni na hatimaye kura ndugu zetu Kenya kuwa mjumbe katika baraza la usalama la UN. Kabudi amewataka watanzania kupuuza uzushi wa wapinzani kwamba hatukuiunga m!ono Kenya. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya Venezuela yadai dhahabu yake ilohifadhiwa benki kuu ya Uingereza. Je, Tanzania nayo ina dhahabu BoE? na je, ina thamani ya kiasi gani?

    Serikali ya Venezuela imefungua kesi ya madai nchini Uingereza kudai kiasi cha dhahabu yake yenye thamani ya dola bilioni 1 ilohifandhiwa katika benki kuu ya Uingereza. Kesi hiyo itakayosikilizwa kwa siku nne mjini London itahusisha pande mbili ambapo ni wawakilishi wa serikali ya Venezuela na...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Gazeti la Tanzania Daima kunyang'anywa leseni ni hofu ya CCM kuhusu kuangukia pua kwenye Uchaguzi Mkuu

    Hii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

    Serikali kupitia kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kufuatia kusitishwa kwa lesini ya gazeti hilo, halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi Serikali imebainisha kuwa uamuzi huo umetokana na kukithiri na kujirudia kwa makosa yanayokiuka...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Harrier (Lexus) Yenye miezi 8 Tanzania Inauzwa

    Gari hii ni ya mwaka 2004, ina miezi 8 hapa Tanzania. Kila kitu kiko vizuri. Ina Kilomita 76,000 Gari inapatikana Mbeya na niko tayari kuisafirisha kwenda popote Tanzania. Bei yake ni 23,500,000 Kwa wenye uhitaji wasiliana nami kwa sim 0746 267 740
  10. JamiiForums Tanzania Pendekezo kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Binafsi katika kupitia marejeo kadha wa kadha katika sura nzima ya siasa na ngazi za uongozi kiujumla serikalini.. Kuna haja ya kupitia suala la mishahara na mafao mengine wanayopatiwa viongozi wa kisiasa wakiwemo Wabunge Mawaziri Makatibu na Wakurugenzi wa idara mbalimbali serikalini.. Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Mtia nia Jecha na Hoja ya Mwigulu Nchemba juu ya Tume huru ya Uchaguzi Tanzania

    Hapo juzi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania shushu mbobezi, bwana Benard Camilius Membe alijitokeza kupitia mitandao ya kijamii akihoji juu ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi. kauli ya Membe juu ya jambo hilo ilizua kelele nyingi miongoni mwa wahafidhina wa chama tawala ccm. kwao wao...
  12. JamiiForums Tanzania Accountant at Cereals and Other Produce Board of Tanzania (CPB) - 5 Posts

    The Cereals and Other Produce Board of Tanzania (CPB) is a Government institution established through the Cereals and Other Produce Act No. 19 of 2009 to provide for promotion and development of cereals and other agricultural produce and to provide for other related matter. According to the act...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Cry my beloved Tanzania, cry!

    Siku hizi hakuna cha kustaajabisha kinachotoka kinywani mwa Mwenye nchi yake. Kilichonishangaza leo, ni roho iliniuma kwa niaba ya mamia ya vijana hapa nchini, ambao leo wameambiwa wazi kwa kila namna isipokuwa kwa maneno dhahiri, kuwa hapa nchini kuna anayetoa toa na kutwaa, anayepangia kiasi...
  14. JamiiForums Tanzania CCM kukata Majina, alichokisema Mh. Rais, demokrasia na hatma ya Tanzania

    Ijapokuwa demokrasia ndio mfumo wa siasa wenye ubore zaidi duniani hadi sasa ukilinganisha na mifumo mingine, hivyo kutufanya wengi wetu kuutetea mara kwa mara; kuna mambo kadhaa ya msingi tunapaswa kufahamu. Demokrasia kamili na uhuru katika hatua yake ya juu kabisa, vinafanya kazi kwa ufanisi...
  15. JamiiForums Tanzania Dawa kutoka Madagascar na viroja vya watawala wa Tanzania

    Amani iwe nanyi Mtakumbuka raisi wenu mpendwa, mimi simo maana sipendi watawala, napenda viongozi tena wapenda haki na usawa yeye sio mmoja wapo. Raisi wa Tanzania ameshawahi kuuhadaa umma wa Watanzania kwamba kuna dawa ya Corona imepatikana huko Madagascar na kwamba dawa ile inatibu COVID 19...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana wa UVCCM tunaongoza kwa furaha Tanzania, hatutazeeka mapema

    Habari ndio hiyo, yaani hata huku jukwaani nyuzi za vijana wa BAVICHA ni zakinyonge mno, mara hawaiamini tume hii iliyowatangaza Sugu, Mbowe, Lema, Msigwa na wengine kuwa wabunge. Mara hawawaamini polisi wanaolinda raia na mali zao mara wanadai katiba😂😂😂😂 Kwakifupi hawa machalii wa BAVICHA...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania World Bank Report: Tanzania among bottom in EAC na SADC katika mazingira ya biashara

    Rwanda drops in ranking but remains top in region in ease of doing business A view of Kigali. Rwanda’s reforms came in handy, making it even more investor-friendly. PHOTO | CYRIL NDEGEYA | NMG Rwanda has dropped in the World Bank Ease of Doing Business 2020 ranking to position 38 from 29...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Kenya walivyojipanga kuichafua Tanzania

    Kwa muda mrefu Wakenya wamekuwa wakitumia mwanya wa upole na ukarimu wa Tanzania kuwazunguka katika mambo mengi sana, ukizingatia Tanzania walikua wanaichukulia kenya kama taifa jirani na ndugu lakini kumbe wenzao walitumia mwanya huo kuwazunguka katika mambo mengi hasa ya kiuchumi. Kama...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Je, kwa Ukweli huu Kuntu wa Spika Ndugai lawama zetu tuzipeleke kwa Wabunge husika au Wapiga Kura Wao au Mfumo mzima wa Siasa za Tanzania?

    Ni ukweli usiopingika yapo mambo Watanzania hawayajui, ni kweli baadhi ya wabunge hasa hao wenye fujo, baadhi yao wanatumia dawa za kulevya, bangi na pombe kali. Anakuja pale si yeye, we unadhani ni yeye, kumbe si yeye, kwa hiyo ni tabu. Watu wa namna hiyo ukiwapa kamera ni tabu,- Spika wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…