tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. I

    JamiiForums Tanzania Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia ofisi ya Waziri Mkuu yatoa njia za kujikinga na COVID-19

    Hivi ndio namna ya Tanzania kupambana na corona
  3. H

    JamiiForums Tanzania Baada ya Covid-19 kuimiza sana Tanzania, pia itaumia sana Kiuchumi

    Huwezi kuficha Moshi kwa kufunga milango kwasababu, mambo mawili yatatokea; Kwanza, Utaumia sana wewe uliyeko ndani kwasababu ya Suffocation na PILI Moshi utachafua sana NYUMBA wakati MOSHI unatafuta pa kutokea na Lazima utatoka tu. Raisi Mh Magufuli ni binadamu wa kawaida na pia hajui kila...
  4. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwa nje unaweza ukamdharau ila kama kuna Mwanasiasa ambaye ni Genius Tanzania huyu anastahili na namkubali

    " Sikusema ifungwe nchi nzima, unaweza ukafunga nchi kimkakati Unafunga mashule/vyuo ila unaaacha makanisa na misikiti ambako wazazi wakipata maambukizi wanawaletea watoto nyumbani Hizo ni akili gani? " Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema. Ni Mtu ambaye kila nikipata bahati ya Kumsikiliza...
  5. canular

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie mawasiliano ya wizara ya Afya ama Mwenye mawasiliano ya waziri wa Afya Tanzania

    Wakuu tujipe pole na tuendelee kujikinga na maambukizi ya corona tuendelee kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka ,moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu jamani Ninaomba kwa mwana jf yeyote yule mwenye mawasiliano ya staff wa wizara ya Afya au mawasiliano ya waziri wa Afya...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya e-Learning/Online Learning kwa shule za msingi, secondary na vyuo mbalimbali nchini Tanzania

    Kwa nyakati kama hizi ambapo janga la COVID-19 limeikumba dunia, shule na vyuo mbalimbali havina budi kubuni njia mbadala za kutoa elimu kwa wanafunzi wao. Hata hivyo taasisi mbalimbali za elimu duniani tayari zilishapiga hatua kubwa katika maendeleo ya kutoa elimu kwa njia ya mtandao - -...
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tokea Tanzania ianzishe mfumo wa vyama vingi, uchaguzi wa mwaka huu utakuwa rahisi kwa CCM na itashinda kwa 100% ngazi ya urais

    Ukilinganisha na uchaguzi wa kwanza nchi yetu ikiwa inafuata mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha upinzani kikubwa wakati huo kilileta upinzani na hata CCM iliogopa maana Nccr mageuzi ilikuwa almanusra wachukue nchi. Ukaja uchaguzi wa mwaka 2000 CCM walijipanga kivingine hivyo walishinda...
  8. Majaribu2013

    JamiiForums Tanzania Kusudio la Kuwashitaki DHL TANZANIA kwa ucheleweshaji wa kutoa mizigo uliokubuhu

    Wadau, Nahitaji mawazo na ushauri wa kisheria nataka niwashitaki DHL TANZANIA kwa kuchelewesha kutoa mizigo yangu ambayo ilifika Dar es slaam tangu tarehe 8 April, 2020 lakini hadi leo tunaongea hakuna mzigo uliotoka. Kwanza kabisa hawakunijulisha taarifa za mzigo kuwa umefika mpaka siku saba...
  9. Sibonike

    JamiiForums Tanzania Kuijenga Tanzania

    Maendeleo ya nchi ni kama ujenzi wa nyumba. Ukipata fundi mzuri, unaweza kupata nyumba nzuri. Bahati mbaya sana, Tanzania tumempa kazi fundi Maiko. Fundi mkuu ni yeye na wasaidizi wake anawaona kama vinyago tu. Kujenga ni yeye. Kibarua ni yeye. Budget ya ujenzi haina maana kwake. Kujenga...
  10. V

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watanzania wengine 2 tena wamekutwa na ugonjwa wa COVID-19 Uganda

    Madreva 2 zaidi wa magari ya mizigo kutoka Tanzania kuelekea Kampala nchini Uganda wamekutwa na virusi vya corona baada ya vipimo mpakani imese taarifa ya wizara ya afya ya Uganda. ===== Uganda has confirmed two new Covid-19 cases, bringing the country's total to 63. The new cases were...
  11. idawa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

    Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Magufuli anatarajiwa kuzungumza mubashara na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu ugonjwa wa Corona kutokea Chato saa 9:45 alasiri leo tarehe 22.4.2020 -- HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Rais ameshauri tuendelee kutumia njia za...
  12. Mtaalam_the_first

    JamiiForums Tanzania Forex Trading Tanzania: Yafahamu haya kabla ya kujiingiza kwenye hii Biashara

    Habari, Ndugu Watanzania, mimi nikiwa kama mdau ya Forex Trading, nimeona kuna ulazima wa kuandika Makala hii kumsaidia Mtazania yoyote uko nje atakae au anaye tamani kujiingiza kwenye hii biashara. Waweza jiuliza kwa nini nachukua jukumu hili, mafanikio katika sekta hii sio rahisi kama inavyo...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

    Wanabodi, Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa...
  14. Ramark

    JamiiForums Tanzania Hakuna lockdown, Basi tuonyesheni mipango

    Wana jamvi Nilitamani niandike haya maoni yangu mapema wiki hii ya kwanza ya paska lakini nashukuru Leo nimeandika. Maambukizi yanaendelea kupaa kwa kasi tofauti na mtazamo WA awali licha ya waziri Ummy kueleza maambukizi ya ndani yameanza lkn hakutuonyesha mipango madhubuti. Pia waziri Mkuu...
  15. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Mapambano ya Corona: Amnesty International yasema Serikali ya Tanzania inaminya habari

    Kwa nini serikali yetu kila siku inapenda iwe inakosolewa tuu kwa mambo ambayo inaweza kutumia weledi na kuepusha migongano na jumuia za kimataifa? Nini kiini hiki cha jeuri hii? -- Tanzanian authorities on 20 April suspended Talib Ussi Hamad, a journalist with the Tanzania Daima daily...
  16. Mlenge

    JamiiForums Tanzania MixTule: Mixture of Vegetables as a Potential Prophylaxis, Cure and Remedy for COVID-19

    There is a sharp contrast between how African nations and the rest of the World utilized traditional medicine in the fight against COVID-19 pandemic outbreak. In Africa, the African traditional medicine was hardly given a chance to fight the epidemic. In Asia, traditional medicine was central to...
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Waathirika wa COVID-19 wafikia 254 baada ya Wagonjwa wapya 84 kuongezeka. Vifo 3. (Tarehe 20 Aprili 2020)

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi toka Wizara ya Afya, kuna wagonjwa wapya 84 na vifo 3 vya Corona.
  18. Fildaus

    JamiiForums Tanzania Kutoa Mchanganuo bora wa kuuza Biashara ya Gas Tanzania

    Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi
  19. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Kukabiliana na Corona Tanzania

    Hello JF, Baada ya hili balaa…. kuna umuhimu wa serikali kuwa na record za watu wake.. ni procedure itakayo kuwa kubwa and costly lakini worth it. Cha kumshauri Ummy Mwalimu, ni kutopanic hili ni jambo la dunia.... Second kupitia records walizo nazo, wa identify sehemu zenye maambukizi zaidi...
  20. SheriaE

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu COVID 19 Tanzania

    Habari ya wakati huu! Poleni na mapambano dhidi ya COVID 19. Mimi kuna maswali kadhaa kuhusu COVID 19, Na mambo yanavyoendelea Tanzania hasa kwenye Social media. Yako kama hivi. 1. Kuna watu wanasema kwamba idadi halisi inafichwa ya waathirika wa COVID 19. Sasa swali liko hivi kama ni kweli...
Back
Top Bottom