Aibu kuu kwa nchi yangu Tanzania huko Saudi Arabia: Bondia apigwa kipigo cha mbwa koko

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,649
Wakuu, nasikitika sana kuona jinsi hao mabondia Wabongo (kweli mimi nawaita panya road) wanavyogongwa knock out nyepesi tu. Hivi wametoka wapi hawa? Huyo wa pili karibu afe ulingoni round ya kwanza tu.

Kweli kwenye mapambano muhimu kama haya yanayotazamwa duniani kote tunapeleka mabondia wa ajabu ajabu kuichafua tasnia ya boxing Tanzania?

Nani kahusika na hujuma hii?
 
Leo kuna pambano kati ya Antony Joshua na Andy Luiz, sasa kwenye yale mapambano ya utangulizi wamepigana Watanzania wawili, Mohammed na Said, wote wamepigwa ila kipigo cha huyu said ilikua balaa, kapigwa right jab moja hatari sana, ilibidi madaktari wamuwahi pambano lilikua la round nne, dogo rounds ya kwanza tu kala jab moja matata sana.

Cha kusikitisha dogo aliemchapa ana miaka 19 tu wakati jamaa ana 32.
 
Ndugu zangu Tanzania husifika kwa ndondi kimataifa, lakini cha kushangaza leo hii wameshindwa kutoa upinzani kiasi cha kupigwa wote kwa KO.

Boxing Federation hamna cha kukwepa yaani mmetia aibu taifa kwa maandalizi hafifu.

Hivi waliteuliwaje hao vijana au michongo?
 
KO dk ya 2 round ya kwanza,alafu kachapwa na dogo mayai mayai anamiaka 18.
 
Atiiiii nini????????????

Ngoja ninywe maji kwanza nakuja na huyu alie hujumu boxiing TZ anatuabisha mabondia wastaafu kwani bado wapo hai kweli walioenda pambano Saud Arabia hakiii ya nani hujuma 🙋🙋🙋
 
Leo kuna pambano kati ya antony Joshua na andy Luiz, sasa kwenye Yale mapambano ya utangulizi wamepigana watanzania wawili,Mohammed na said wote wamepigwa ila kipigo cha huyu said ilikua balaa,kapigwa right jeb moja hatari sana,ilibidi madaktari wamuwai,pambano lilikua la round nne, dogo rounds ya kwanza tu kala jeb moja matata sana... Cha kusikitisha dgo aliemchapa anamiaka 19 tu wakati jamaa ana 32
Ugomvi wao ulianzia wapi hadi wakapigana namna hiyo?
 
Bondia wa Tanzania aitwa Seleman Said, amepewa kipigo cha paka mwizi raundi ya kwanza kwa knock out kutoka kwa bondia wa Marekani.

Shindalo ili ni shindano la utangulizi kabla la shindano kati ya la Joshua na Ruiz ambalo linafanyika leo hii. Bondia wa Tanzania alipigwa ngumi nzito ambayo ilimfanya apoteze fahamu na kuletewa mitungi ya hewa ya oxygen.

Baada ya kupata nguvu na kusimama refa aliamua kumaliza mchezo huo na kumpa ushindi bondia kutoka marekani. Mchezo unaofatia ni wa Joshua na Ruiz. Pia katika mshindano haya ya leo kuna bondia wa Tanzania mwingine kwa jina anaitwa Mohamed Swedi nae alipigwa kwa knock out bila msaada wa refa tungesikia mengine.
 
Back
Top Bottom