Hivi Serikali ya Tanzania kupitia Waziri Lukuvi ina taarifa jinsi ‘Wapangaji‘ wa Nyumba ‘tunavyonyanyaswa‘ na wenye Nyumba?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,814
2,000
Yaani hadi najuta sijui ni kwanini nimekuwa Mpayapaya/ Masikini/ Mbayuwayu hivi kiasi kwamba miaka yangu nenda rudi nashindwa kupata Kipato cha hata Kununua tu ‘ Simenti ‘ mfuko Mmoja ili name nianze Ujenzi wa Kujenga ‘ Kakibanda ‘ Kangu niondokane na ‘ manyanyaso ‘ ya ‘ Kimakusudi ‘ kabisa kutoka kwa wenye Nyumba wangu.

Kisa kilichofanya nihame Nyumba ya Kwanza ambapo Kodi ilikuwa ni Tsh 30,000/= tu (ila Panya utaishi nao humo) niliyopanga ni Sharti la ‘ Kimanyanyaso ‘ kutoka kwa Mama mwenye Nyumba wangu ambapo aliniambia kuwa hapo Nyumbani Kwake hataki Kuona Mgeni wa Kike ila wa Kiume muda wowote ule akaribie na hata akitaka Kulala alale nikamuuliza kwanini jibu alilonipa nikitaka nipange kama siwezi niondoke ‘ Kidume ‘ nikavumilia.

Baadae tena nikahama pale na kwenda Kupanga Kwingine ambapo Kodi yake ilikuwa ni Tsh 35,000/= ( ila Mende ni Marafiki zangu ) ambapo huko napo nilikumbana na Sharti kutoka kwa mwenye Nyumba wangu kuwa Siku Yanga SC ikishinda tu basi kutakuwa na Mchango wa Lazima wa Kusheherekea ushindi nje ya Nyumba yake na kwamba hata ukiwa Mshabiki wa Simba SC utachangia tu. Nilipohoji Kwanini nikajibiwa nikajenge Kwangu.

Sasa nina kama Wiki ya Pili hivi nimehama na nimepanga Kwingine ambapo Kodi yake ni Tsh 40,000/= (ila Paka Usiku lazima waje Kulala jirani na Dirisha langu) ambapo kiukweli ni Nyumba nzuri na ina Mazingira mazuri tu ila Sharti nililokumbana nalo hadi hivi leo nalitafakari bado sijalipatia Jibu lake. Mwenye Nyumba wangu huyu mpya kaniambia nipike niwezavyo humo ndani ila hataki Kusikia ninakaanga Mayai na Siku akisikia basi ‘ Notisi ‘ ya Kuhama nitaikuta chini ya Mlango pale nikishatoka katika Mizunguko yangu ya Kubeba Zege. Nilipomhoji Kwanini nae akaniuliza kuna Mfuko wowote wa ‘ Simenti ‘ nilimchangia wakati anaanza Ujenzi wa hiyo Nyumba?

Najua hapa Jamvini (JamiiForums) Watu wa Serikali wapo (na hasa hasa Waziri husika Lukuvi na Wasaidizi wake) hebu tafadhalini Serikali jitahidi mtunge Sheria Kali ya ‘ Kuwabana ‘ hawa Wamiliki wa Nyumba ambazo Sisi ‘ Walalahoi ‘ akina GENTAMYCINE tunapanga kwani kiukweli ‘ wanatunyanyasa ‘ na ‘ tunanyanyasika ‘ mno tu. Kuna Rafiki yangu Mmoja yupo Kinzudi huko amepanga na Kilichomkuta anajuta hata kwanini hajarudi tu Kijijini Kwao Kuishi kwani Sharti pekee alilopewa na Mwenye Nyumba wake ni kwamba awe ‘ anakunya ‘ mara moja tu Siku nzima ili Choo Kisijae hali inayomlazimu Jamaa yangu huyo nae awe na Ratiba yake ‘ mbadala ‘ ya Kujisaidia Haja Kubwa hiyo (Kunya) katika Nyumba za ‘ Masela ‘ wake kwani Yeye ameshajizoesha ‘ Kunya ‘ angalau mara mbili au tatu kwa Siku kutokana na ‘ Ulaji ‘ wake.

Tunajua kuwa Nyumba ni zao ila na Wao basi angalau ‘ Watuthamini ‘ na Sisi Wapangaji Wao (Choka Mbaya) akina GENTAMYCINE kwani siyo Siri hapa duniani tunaishi kwa Kutegemeana hivyo hakuna haja ya ‘ Kunyanyasana ‘ kwa Masharti ya ‘ Kikatili / Kishalubela ‘ kama haya. Hela yenu ya Kodi tuitafute kwa shida na huku Majumbani mwenu tena mnatupa Masharti haya magumu hivi mnataka tuwe Wageni wa nani? Inauma sana Serikali iingilie kati katika hili na nitawashukuru.
 
BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,851

Nimecheka sana utazani mazuri.
Lkn ki uhalisia ni kweli mtoa mada.
Nyumba za kupanga ni mateso.
Lkn cha ajabu utakuta mtu anapata pesa nzuri sana mjini lkn kujenga hataki yeye ni bata tu.
Sasa mtu kama huyo muache ateseke tu.
Kikubwa hapo tumia hayo manyanyaso kama chachu ya kupigana ili uweke hata chumba kimoja cha kuanzia kwako.
 
masaduku

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
655
500
Yaani hadi najuta sijui ni kwanini nimekuwa Mpayapaya/ Masikini/ Mbayuwayu hivi kiasi kwamba miaka yangu nenda rudi nashindwa kupata Kipato cha hata Kununua tu ‘ Simenti ‘ mfuko Mmoja ili name nianze Ujenzi wa Kujenga ‘ Kakibanda ‘ Kangu niondokane na ‘ manyanyaso ‘ ya ‘ Kimakusudi ‘ kabisa kutoka kwa wenye Nyumba wangu.

Kisa kilichofanya nihame Nyumba ya Kwanza ambapo Kodi ilikuwa ni Tsh 30,000/= tu (ila Panya utaishi nao humo) niliyopanga ni Sharti la ‘ Kimanyanyaso ‘ kutoka kwa Mama mwenye Nyumba wangu ambapo aliniambia kuwa hapo Nyumbani Kwake hataki Kuona Mgeni wa Kike ila wa Kiume muda wowote ule akaribie na hata akitaka Kulala alale nikamuuliza kwanini jibu alilonipa nikitaka nipange kama siwezi niondoke ‘ Kidume ‘ nikavumilia.

Baadae tena nikahama pale na kwenda Kupanga Kwingine ambapo Kodi yake ilikuwa ni Tsh 35,000/= ( ila Mende ni Marafiki zangu ) ambapo huko napo nilikumbana na Sharti kutoka kwa mwenye Nyumba wangu kuwa Siku Yanga SC ikishinda tu basi kutakuwa na Mchango wa Lazima wa Kusheherekea ushindi nje ya Nyumba yake na kwamba hata ukiwa Mshabiki wa Simba SC utachangia tu. Nilipohoji Kwanini nikajibiwa nikajenge Kwangu.

Sasa nina kama Wiki ya Pili hivi nimehama na nimepanga Kwingine ambapo Kodi yake ni Tsh 40,000/= (ila Paka Usiku lazima waje Kulala jirani na Dirisha langu) ambapo kiukweli ni Nyumba nzuri na ina Mazingira mazuri tu ila Sharti nililokumbana nalo hadi hivi leo nalitafakari bado sijalipatia Jibu lake. Mwenye Nyumba wangu huyu mpya kaniambia nipike niwezavyo humo ndani ila hataki Kusikia ninakaanga Mayai na Siku akisikia basi ‘ Notisi ‘ ya Kuhama nitaikuta chini ya Mlango pale nikishatoka katika Mizunguko yangu ya Kubeba Zege. Nilipomhoji Kwanini nae akaniuliza kuna Mfuko wowote wa ‘ Simenti ‘ nilimchangia wakati anaanza Ujenzi wa hiyo Nyumba?

Najua hapa Jamvini (JamiiForums) Watu wa Serikali wapo (na hasa hasa Waziri husika Lukuvi na Wasaidizi wake) hebu tafadhalini Serikali jitahidi mtunge Sheria Kali ya ‘ Kuwabana ‘ hawa Wamiliki wa Nyumba ambazo Sisi ‘ Walalahoi ‘ akina GENTAMYCINE tunapanga kwani kiukweli ‘ wanatunyanyasa ‘ na ‘ tunanyanyasika ‘ mno tu. Kuna Rafiki yangu Mmoja yupo Kinzudi huko amepanga na Kilichomkuta anajuta hata kwanini hajarudi tu Kijijini Kwao Kuishi kwani Sharti pekee alilopewa na Mwenye Nyumba wake ni kwamba awe ‘ anakunya ‘ mara moja tu Siku nzima ili Choo Kisijae hali inayomlazimu Jamaa yangu huyo nae awe na Ratiba yake ‘ mbadala ‘ ya Kujisaidia Haja Kubwa hiyo (Kunya) katika Nyumba za ‘ Masela ‘ wake kwani Yeye ameshajizoesha ‘ Kunya ‘ angalau mara mbili au tatu kwa Siku kutokana na ‘ Ulaji ‘ wake.

Tunajua kuwa Nyumba ni zao ila na Wao basi angalau ‘ Watuthamini ‘ na Sisi Wapangaji Wao (Choka Mbaya) akina GENTAMYCINE kwani siyo Siri hapa duniani tunaishi kwa Kutegemeana hivyo hakuna haja ya ‘ Kunyanyasana ‘ kwa Masharti ya ‘ Kikatili / Kishalubela ‘ kama haya. Hela yenu ya Kodi tuitafute kwa shida na huku Majumbani mwenu tena mnatupa Masharti haya magumu hivi mnataka tuwe Wageni wa nani? Inauma sana Serikali iingilie kati katika hili na nitawashukuru.
Na mimi namfahamu mpangaji deni limefikia laki sita bado anasema atalipa je aendelee kuvumiliwa? HUO NI UPANDE WA PILI WA SHILINGI WA KUTAKA ULIPWE KODI YA MWAKA AU HATA MIEZI 6
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,170
2,000
Siwezi kupanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi palepale

Mimi nimekaa riverside na maza mwenye nyumba. Alikua peace kinoma. Tena ni maza wa nyumbani kwahiyo yupo available 24/7.

Sema kwakua baharia sikai ghetto masaa yote na nikirudi najifungia ndani natoka nje kuchota maji tu, basi ata sijawahi kwazana nao.

Ila kwa experience yangu wa mama wenye nyumba Uwa haziivi na wapangaji wa kike.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom