pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,228
Takribani mwezi au wiki mbili tatu mfululizo, Clouds Fm wamekuwa wakiendesha mjadala redioni unaoangazia mambo kadha wa kadha ya game ya muziki wa Bongo Fleva, tangu kuasisiwa kwake.
Mijadala hii, iliyopewa jina la Bongo Fleva Round table, inayofanyika jumamosi kwenye kipindi cha Bongo Fleva, ni sehemu ya shamrashamra za kusherekea miaka 20 ya kituo hicho cha redio chenye mchango mkubwa sana kwenye game wa Bongo Fleva.
Nilipenda mjadala mmoja, nadhani ni wa wiki iliyopita, katika mjadala huo, likaibuka suala la kwa nini Tanzania hatuna tuzo za mziki, zilikuwepo "Kilimanjaro Music Awards" zikapotea, hapo katikati zikaja tuzo za east africa television, hazipo tena, zikaja tuzo sijui za watu, nazo hazipo tena, so wadau akiwemo AY, wakatoa mchango wao kuwa ishu ya Udhamini inaweza kuwa sababu, kuwa hakuna wadhamini kwenye tuzo.
Wengine wakaenda mbali na kusema, ni wakati sasa Clouds media, ije na tuzo zake.
Binafsi, nasema Tuzo za CMG zikijia, nazo zitafeli tu kama ambavyo zilifeli za EATV, tena zenyewe zinaweza feli mapema zaidi, na hata BASATA na Kili Awards kama wanarudi, bado watafeli kama wasipoangalia wapi walipoangukia.
Ukweli ni kuwa aliye haribu tuzo Tanzania ni Diamond Platnumz, na WCB yake. Kivipi?
Kwa takribani miaka 10 sasa, Diamond ndo the most active artist hapa nchini,tangu alipotoka hadi sasa, fan base yake ni kubwa sana, na ana mashabiki royal sana, wale kindaki ndaki, ndani na nje ya Tanzania. wale Eminem anawaita "stans" Na Diamond Stans ni wa level nyingine kabisa, wanaweza kukuhamisha mitandaoni, kukuharibia biashara kabisa. Na bado hajaridhika, anafanya kazi, haangalii raia wanasema nini, bize anapiga kazi,
Msanii akisainiwa tu na Diamond, hata hajatoa wimbo, tayari ma stans wanaanza kumuona ndo msanii bora.
Na bado Diamond huyo na wasanii wake wa WCB, Kwa mwaka wanatoa jumla ya nyimbo zisizopungua 10 had 18., diamond tatu au nne, Rayvann,alivyokuwepo Harmonize, etc etc na katika hizo unakuta hits song hazipungui 5, kwa investment wanayofanya kwenye video etc, bado wao ndo wanakuwa na video kali etc.
Kwa hili youtube ndo mashahidi, siku zote mtandao kama socialblade na mengine, inayofanya analysis ya youtubers siku zote, katika wanamuziki Diamond ndo anakuwa juu, akifuatiwa na Harmoznie, Ryavan, anakuja Alikiba na wengine wanafuata. hii ni hata ukifanya analysis on daily basisi yaani akaunt ya Diamond yutube huzidiwa na akaunt za youtubers janja janja wanaopost video kama za ngono hiv kumbe sio, kwa lengo la kuvutia viwers, katika kategory hiyo mtu mwenye content imara ambaye ana mkaribia unakuta ni millard na vyombo vingine vya habari. lakini kwa wanamuziki hakuna anaemkaribia, zaidi ya watoto wake wa WCB
Sasa katika mazingira hayo, Mtoa tuzo akisema awe objective, hata aweke kamati gani, majaji watoke bongo , au majaji watoke nje, atumie algorithms kufanya analysis ya mshindi, akisema awe fair tu basi Diamond na WCB watachukua tuzo nyingi kila mwaka, au wangechukua tuzo nyingi kwa miaka hii mitatu,mitano mfululizo.
Na Waandaji wengine ndo hivyo wanakinyongo na jamaa, mfano EATV walitoka mara moja, jamaa hakushiriki, wakashindwa hata kurudi tena, na hata pale ambapo ni kweli msanii mwingine angekuwa anastahili bado hawa mashabiki kindaki ndaki wa Diamond wasingekubali,
So ni either utoe tuzo, ukubali umpe Diamond na watu wake, au uwape wengine afu ukubali kubeba zigo la lawama, zigo la lawama ambalo infact unaweza kuta likakuharibia biashara yako kabisa, ukapotea mjini. listenship and viewship ya channel 5, imepungua sana na had kufa, sio namba one entertainment televison tena, walikosa content za Diamond, Shilawadu kipindi cha Clouds Kilipo acha kumuongelea Diamond kikapotea, ndo kisa cha akaunti nyingine za kimbea kuinuka na kuwa maarufu zaidi, waliporud Clouds Plus wakiwa na content za Diamond, biashara watu wamerudi. So ukiamua kubeba lawama ujiandae kwa vitu ka hizo.
So kiukweli, alie ua hii kitu bongo ni Diamond Platnumz na WCB yake, sasa nini kifanyike?
Wasanii na Recording label ziwe na watu shindani, wenye hasira na wanaotaka kuwa bora zaidi
Kwanza lazima tukubali kuwa Diamond kama Diamond, anastahili hicho anachopata kwenye game, Yupo serias sana na kazi yake, na amekuwa serias hivyo since wayback, kila siku ni utadhani anaona anguko lake liko kesho, anapush vitu vyake , anajituma utadhani anataka kutoka leo, Ni kitu amabcho artistis wetu wengi, na hata watu wa kawaida wengi hawakuzoea, tumekuwa kwenye jamii inayoridhika mapema sana. Ndo sababu wasanii wote wakubwa wengi wao, waliridhika na mafanikio machache waliyokuwa nayo, wakaacha kujipush.
Mfano mdogo. Leo Hii AY ni msanii mkubwa sana Afrika ila FA ni msanii mkubwa sana TZ na East Africa, hawa ni watu wanaoshinda pamoja,wana levo moja ya uwezo wa kisanii na kuna habari kuwa kila wimbo ambao AY amefanya FA huwa anakuwepo. Tofauti kati yao ni ile bidii na malengo ya AY kuwa mkubwa zaidi nje ya mziki , na kuwa mkubwa sio TZ, ambayo huwezi mlazimisha FA awe kama AY, inatoka ndani, the same tu Alikiba (FA, Style) Diamond (AY style) ana hiyo kitu ambayo ni being aggressive, kutaka kuwa bora kuliko wengine mara zote, na kuwa bora zaid na zaidi kuliko jana.
Cha kufanyika ni juhudi za makusudi, zifanyike na wadau, kimnya kimnya, kuwasapot watu wenye kariba kama AY na Diamond, kariba ya kutoka ndani, ambao hawata ridhika mapema, na wenye uwezo, kisha kuwaandaa, na kuwekeza kwake ,Inabid kiukweli zifanyike mbinu za makusudi, kwa nguvu ili game liwe na watu wengi wa aina ya Diamond.
Imagine mtu kama Ben Paul, ana sauti nzuri,anaweza imba vzuri, kama ni utunzi unampiga chenga hashindwi kununua mashairi mazuri,kuna waandishi wazuri sana wa mashairi , leo hii kapata hela anshinda tu mbele anakula bata, karidhika, Marlow, one of the greatest vocalist of all times, akapata hela za kampeni, karidhika, akaoa, akaa kaa home. Hawa wawili ni mifano ya watu ambao leo hii kama wangekuwa na nia na ari ya kuwa bora kuliko jana, na hasira za maisha wangekuwa mbali sana.
Katika hili, Harmonize, anaoneka anaweza ,nadhani ni kwa sababu kama mentored na Diamond mwenyewe, ila nadhani, hatoshi, we need other guys, vijana wenye hasira kali, wenye kuleta ushindani kwenye game, sio mtu kawimbo kamoja, umenunua kipasso, unaanza kuvimbia watu mitaani, unaacha kupiga kazi.
Nimeandika uzi huu, as an afterthought baada ya kusikiliza mahojiano hayo ya round table, na kuangalia Behind the scene ya Diamod akitengeneza video ya Baba Lao.
Tunahitaji vijana wenye hasira na uchu wa kuwa bora, ili waondoe monopoly ya WCB na Diamond kwenye game.