tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mtazamo wangu kuhusu siasa za Tanzania na Rais Magufuli

    Mimi binafsi sina chama, si kwa sababu nataka iwe ivyo, ni kwa sababu sijaona chama Tanzania chenye misimamo nayotaka mimi. Rais Magufuli na Bunge: Kwa mtazamo wangu nadhani si kwamba raisi Magufuli anapinga mhimili wa bunge, hili limedhihirishwa na mkataba alioingia Muheshimiwa Kangi Lugola...
  2. Askari wa kiume wa Jeshi la Magereza Tanzania wakiwa kazini

  3. S

    Tanzania ina mambo ya ajabu sana; Uhamiaji inanyima watu wanaotusaidia uchumi work permits, wanapofunga ofisi na kuaga Serikali inawaomba wasiondoke!

    Niliwahi kusema humu JF kwamba Tanzania ina mambo ya ajabu sana kuhusiana na utoaji wa work na residence permits hata kwa watu ambao ni wawekezaji, japo kila siku tunapiga kelele eti kuvutia wawekezaji. Wawekezaji wanapokuja wanapata shida sana kupewa work au residence permits. Kuna wawekezaji...
  4. S

    Ligi za ulaya zinasimamishwa je ligi ya bongo tuendelee??

    maana mikusanyiko yoyote ni hatari kwa Corona virus Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air. Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna...
  6. M

    Je, Tanzania tutaweza kuidhibiti Corona in case ikifika kwetu?

    Ni wazi kuwa Corona ndo habari ya mjini kwa sasa ukizingatia vifo vilivyotokea na vinavyoendelea kusababishwa na ugonjwa huu. Tunashukuru kwa kuwa bado hatujatembelewa na ugonjwa huu, japo nchi jirani zetu kama kenya na Rwanda tayari kuna some cases na tayari wameshachukua measure ambazo ni...
  7. Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

    Wanabodi Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa...
  8. J

    Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

    Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa. Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany. Kadharika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari. Rais...
  9. F

    2024 Watanzania tutaandamana kulazimisha Dkt. Magufuli aongezewe muda zaidi. Umeme wa Stieglers utakapowaka, hospitali, SGR zitaleta shangwe sana

    Habari wadau.. Nimeota maandamano makubwa ya kulazimisha Magufuli abaki Rais mpaka atakavyokosa nguvu yatatokea mwaka 2025 kutokana na kasi yake ya maendeleo.. Nawaza hivi hata treni ya umeme haijaanza kazi ila anapendwa sana na wananchi mpaka wapinzani wanakosa hoja za kumpinga.. wanabaki...
  10. M

    Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

    Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia. Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya. Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
  11. Tundu Lissu anaichukia Tanzania haipendi Tanzania hawapendi watanzania anaiombea mabaya nchi yetu

    Anahamasisha Vita kila anakopita anasema damu itamwagika Anahubiri vita kila anakopita anataka hata watanzania wanyonge wauae kwa vita Anahubiri nchi yetu iwekewe vikwazo vya kiuchumi bila kujua watakaoumia ni watanzania wa Chini ndugu zake wa Singida watakosa madawa Huyu mtu ni hatari sana
  12. K

    Tanzania tumeanza siasa za misimamo mikali?

    Kuna movement kubwa ya chinichini naiona Tanzania. Tofauti na mwaka 2016 kuna mabadiliko makubwa matatu 1. Wananchi hawaogopi tena vyombo vya usalama kama zamani wala kesi za kubambikizwa. Na badala yake Mahakama, polisi na hata Jeshi haviheshimiki kama zamani kwasababu ya kuingizwa kwenye...
  13. Mwinjuma Muumini ndiye mwanamuziki wa Dansi mwenye uwezo wa juu zaidi kiutunzi na arrangement ya muziki hapa Tanzania

    Wakuu huyu jamaa ni kipaji japo now kapotea kabisa hasikiki, mnaokumbuka majina ya nyimbo zake wekeni hapa tujikumbushe utamu wa nyimbo za huyu jamaa. Tupieni hapa zote alizoshirikishwa na zile alizoomba akiwa kwenye muungano wa bendi mbalimbali. Karibuni wakuu
  14. Scania iko tayari kuleta mabasi yanaoyotumia gesi ya asili nchini Tanzania

    SCANIA IKO TAYARI KULETA MABASI YANAYOTUMIA GESI YA ASILI NCHINI TANZANIA. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Scania Tanzania Lars Eklund akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu utayari wa kampuni hiyo kuleta mabasi yanayotumia nishati ya gesi asilia...
  15. Pongezi kwa mahakama za Tanzania mnatenda haki, na haki imeonekana kutendeka pale Kisutu

    Penye ukweli watanzania lazima tuseme. Pongezi nyingi Sana kwa Mahakama za Tanzania na watumishi wake haswa Mahakimu,waendesha mashtaka,karani na wengineo.Hakika mnastahili kuwa hapo. Pongezi kubwa zaidi na za kipekee ziende kwa Jaji Mkuu wa Tanzania unafanya kazi kubwa sana,sote tunajua kazi...
  16. Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

    Sitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee... Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
  17. M

    Tanzania inaelekea kuwa failed state?

    Coronavirus imesababisha uchumi wa nchi kadhaa duniani kuyumba. Serikali mbali mbali duniani zinahaha kutafuta njia za ku-mitigate athari za ugonjwa huu (Italia sasa hivi nchi nzima ipo kwenye karantini). Njoo kwetu sasa; nini kinafanyika? Obsession juu ya CHADEMA (wasifanye shughuli zao...
  18. Faini ya Milioni 350 dhidi ya viongozi wa Chadema itumike kuwalipa fidia wazazi wa Akwilina

    Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
  19. Hukumu ya Viongozi wa CHADEMA: Seneti ya Marekani yadai Tanzania ni vigumu kuwa na Uchaguzi Huru 2020

    The conviction of @ChademaTZ members, incl. @freemanmbowetz, on spurious charges, is more evidence of deteriorating political space & freedoms in #Tanzania. The govt's efforts to criminalize the opposition further undermines the possibility of democratic polls later this year. === Seneta wa...
  20. Miaka 3 ya Tundu Lissu kutokuwepo Tanzania

    Najua ulishambuliwa ili wengine tukate tamaa kutetea haki pia ili kuwakatisha tamaa mawakili wanaotetea haki za upinzani Tanzania ndi maana miaka 3 ambayo haupo mahakama imewekwa mfukoni hakika usingekubali ungekuwepo nchini. walitaka kukuua ili zile hoja zako mahakamani zisiwepo. Maono yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…