Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air.
Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna...
Ni wazi kuwa Corona ndo habari ya mjini kwa sasa ukizingatia vifo vilivyotokea na vinavyoendelea kusababishwa na ugonjwa huu.
Tunashukuru kwa kuwa bado hatujatembelewa na ugonjwa huu, japo nchi jirani zetu kama kenya na Rwanda tayari kuna some cases na tayari wameshachukua measure ambazo ni...
Wanabodi
Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa...
Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa.
Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany.
Kadharika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari.
Rais...
Habari wadau..
Nimeota maandamano makubwa ya kulazimisha Magufuli abaki Rais mpaka atakavyokosa nguvu yatatokea mwaka 2025 kutokana na kasi yake ya maendeleo..
Nawaza hivi hata treni ya umeme haijaanza kazi ila anapendwa sana na wananchi mpaka wapinzani wanakosa hoja za kumpinga.. wanabaki...
Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia.
Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya.
Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
Anahamasisha Vita kila anakopita anasema damu itamwagika
Anahubiri vita kila anakopita anataka hata watanzania wanyonge wauae kwa vita
Anahubiri nchi yetu iwekewe vikwazo vya kiuchumi bila kujua watakaoumia ni watanzania wa Chini ndugu zake wa Singida watakosa madawa
Huyu mtu ni hatari sana
Kuna movement kubwa ya chinichini naiona Tanzania. Tofauti na mwaka 2016 kuna mabadiliko makubwa matatu
1. Wananchi hawaogopi tena vyombo vya usalama kama zamani wala kesi za kubambikizwa. Na badala yake Mahakama, polisi na hata Jeshi haviheshimiki kama zamani kwasababu ya kuingizwa kwenye...
Wakuu huyu jamaa ni kipaji japo now kapotea kabisa hasikiki, mnaokumbuka majina ya nyimbo zake wekeni hapa tujikumbushe utamu wa nyimbo za huyu jamaa.
Tupieni hapa zote alizoshirikishwa na zile alizoomba akiwa kwenye muungano wa bendi mbalimbali.
Karibuni wakuu
SCANIA IKO TAYARI KULETA MABASI YANAYOTUMIA GESI YA ASILI NCHINI TANZANIA.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Scania Tanzania Lars Eklund akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu utayari wa kampuni hiyo kuleta mabasi
yanayotumia nishati ya gesi asilia...
Penye ukweli watanzania lazima tuseme.
Pongezi nyingi Sana kwa Mahakama za Tanzania na watumishi wake haswa Mahakimu,waendesha mashtaka,karani na wengineo.Hakika mnastahili kuwa hapo.
Pongezi kubwa zaidi na za kipekee ziende kwa Jaji Mkuu wa Tanzania unafanya kazi kubwa sana,sote tunajua kazi...
Sitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee...
Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
Coronavirus imesababisha uchumi wa nchi kadhaa duniani kuyumba. Serikali mbali mbali duniani zinahaha kutafuta njia za ku-mitigate athari za ugonjwa huu (Italia sasa hivi nchi nzima ipo kwenye karantini).
Njoo kwetu sasa; nini kinafanyika? Obsession juu ya CHADEMA (wasifanye shughuli zao...
Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
The conviction of @ChademaTZ members, incl. @freemanmbowetz, on spurious charges, is more evidence of deteriorating political space & freedoms in #Tanzania. The govt's efforts to criminalize the opposition further undermines the possibility of democratic polls later this year.
===
Seneta wa...
Najua ulishambuliwa ili wengine tukate tamaa kutetea haki pia ili kuwakatisha tamaa mawakili wanaotetea haki za upinzani Tanzania ndi maana miaka 3 ambayo haupo mahakama imewekwa mfukoni hakika usingekubali ungekuwepo nchini. walitaka kukuua ili zile hoja zako mahakamani zisiwepo.
Maono yako...
Ni pale tu Polisi wanapotoa matamko kama kusema Mangula amekutwa na sumu mwilini na hivyo kuna mtu alitaka kumuua watamtafuta kwa udi na uvumba, ndipo unagundua tuna jeshi la polisi lisilo professional, linakurupuka na kufanya kila njia kutaka kujikomba kwa CCM na uongozi uliopo madarakani...
Jukumu la Msingi na Kazi za Benki Kuu
Jukumu la msingi la Benki Kuu ya Tanzania ni kuandaa na kutekeleza sera ya fedha inayolenga kudhibiti mfumuko wa bei na kujenga mfumo wa fedha ulio imara na unaofaa kwa ukuaji endelevu wa uchumi wa taifa.
Kazi Zingine za Benki Kuu
> Kutoa sarafu ya nchi...
WHO ARE THEY ? Educated, Skilled, Experienced Corporate CEO's In Tanzania compare to our neighbors ?
Moja ya changamoto kubwa tulionayo kwenye maendeleo ya ujasriamali hatimaye uchumi ni kukosekana kwa hawa watu muhimu (local content)kwa ngazi ya kitaifa na wawe kama role models kwa jamii...
Naomba kuuliza waumini wa baadhi ya makanisa kama sio yote, hua naona kwenye matangazo au mbao za matangazo zimewekwa ratiba za ibada ya kiswahili na ibada ya Kingereza, hii ibada ya kingereza hua ni ya nini au ina umuhimu gani?
Nimeuliza hivyo kwa sababu zaidi ya 98% ya watanzania wanaongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.