Ni wazi kuwa Corona ndo habari ya mjini kwa sasa ukizingatia vifo vilivyotokea na vinavyoendelea kusababishwa na ugonjwa huu.
Tunashukuru kwa kuwa bado hatujatembelewa na ugonjwa huu, japo nchi jirani zetu kama kenya na Rwanda tayari kuna some cases na tayari wameshachukua measure ambazo ni kuzuia mikusanyiko, pia kufunga taasisi zote za elimu na kuzuia safari za wageni kutoka katika mataifa ambayo tayari yameathirika na ugonjwa huu, lakini Tanzania bado hatujachukua any measure.
Kwenu wadau: Je, mnahisi kwa resources na teknolojia tulizonazo ikitokea huyu mnayam kafika kwetu tunaweza kumdhibiti?