tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa "amekosea" kwamba Tanzania inaongoza Afrika kusambaza umeme kiwango cha 80% kwa sababu sio kweli

    Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila...
  2. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

    MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Vice Chancellor at The St. Joseph University in Tanzania (SJUIT)

    Introduction The St. Joseph University in Tanzania (SJUIT) is the university owned by Trustees of Daughters of Mary Immaculate and Collaborators (DMI) and registered by Tanzania Commission for Universities (TCU). The University has three Colleges namely Campus College of Engineering &...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kuwa na nguvu baadhi ya miji michache tu Tanzania na kutokuwa na nguvu vijijini Tanzania ndio siri yao ya kushindwa uchaguzi ujao

    Miaka yote Chadema imekuwa ikijijenga kwenye miji michache mno Tanzania Ilichagua vimiji vichache tu kwa mikoa michache tu ya Tanzania na kujijenga na kuacha miji mingine ya mikoa. Ukienda baadhi ya mikoa wanakosema Wana nguvu unakuta mkoa una miji mfano minne wanachagua mji mmoja wanajijenga...
  5. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tigo na Zantel utakavyoimarisha huduma za mawasiliano ya simu Tanzania

    Inafahamika kuwa mawasiliano ya simu barani Afrika ni miongoni mwa sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa na mchango mkubwa wa vijana, Afrika inaongoza katika matumizi ya teknolojia ya simu na programu tumishi maarufu kwa Kiingereza kama apps. Ukuaji wa sekta hiyo unajidhihirisha pia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Opposition fears to be locked out of October Election

    A supporter of Tanzania's main opposition party CHADEMA carries the party flag in Jangwani playing fields on the outskirts of Dar es Salaam, October 24, 2015. REUTERS/Drazen Jorgic As Tanzania prepares for its 28 October elections, opposition leaders claim there’s a plot to lock out their...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuliona Corona kwenye kuku na mbuzi tukawawajibisha wafanyakazi Maabara ya Taifa; China wanaona Corona kwenye kuku wanajiuliza wameingiaje!

    Juzi hapa China ilikuta kwamba baadhi ya mifuko ya kuku na kamba ilikutwa ina wadudu wa Corona (Covid-19). KIlichofuata ni kwamba serikali ya China ilianza kujiuliza maswali mengi kuhusu jinsi gani hao wadudu waliingia kwenye kuku na kamba ambavyo viliagizwa kutoka nchi ya Brazil. China...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania Prisons FC imehama Mbeya kupisha ukarabati wa hosteli

    Timu ya TZ PRISON imehama kutoka kutumia uwanja wa sokoine jijini mbeya hadi kutumua uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoa wa Rukwa, uwanja wa Nelson Mandela ndio ulitumika kwenye fainali zilizopita za kombe la Azam Federation
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Sababu ya idadi ndogo ya vifo vya COVID-19 Afrika yaelezwa, Tanzania yatajwa

    Idadi ya vifo vinavyotokana na COVID-19 Afrika imeendelea kuwa chini huku idadi kubwa ya waathirika wamerudi kwenye hali ya kawaida pamoja na maangalizo mengi ya awali kutoka kwa wanataaluma wabobezi kwamba virusi hivyo vingeubomoa mfumo dhaifu wa afya barani Afrika na kuua watu kwa mamilioni...
  10. Gamba la Mbu

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Ni nini Hatma ya Kijana wa Tanzania miaka 5 ijayo?

    Wakuu salaam! Agosti 12, 2020 ilikuwa ni siku ya Vijana Kimataifa. Tanzania kama ilivyo kwa Nchi zingine kote ulimwenguni iliazimisha siku hii kwa kutambua uwepo wa vijana katika ujenzi wa taifa. Kwa huzuni kubwa siku hii ya vijana imeazimishwa huku ikishuhudia vijana wengi wa Tanzania wakiwa...
  11. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Enyi wana-CHADEMA na wapenda haki wote Tanzania tumieni simu zenu kama silaha

    Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha. Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu. Kuweni waangalifu...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Je, hii ndiyo Sababu ya wanamuziki wakubwa wa Tanzania kuwa na Walinzi Binafsi?

    Hakika ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni! Wahenga walinena! Na Mimi pia narejerea usemi usemao "Usiache Mbachao kwa Msala Upitao" Ama kwa hakika alichokifanya mwendesha shughuli Adam Mchomvu pale Uwanja wa Uhuru kwa kumramba teke watoto wa mjini wanasema"Mtama" mwanamuziki Mbasha siku ya...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Corona ilimalizika kisiasa Tanzania na inaweza kurudi kisiasa

    Msafara wa Tundu Lissu unazua tafrani kwa watawala wetu. Lissu harembi anaongea ukweli wa mambo yalivyo. Yale tuliofundwa kwa miaka mitano kuwa ni mwiko kuyaongea Lissu anayasema hadharani. Ili kuzuia harakati za Tundu Lissu, tunaweza kutangaziwa corona imerudi na tunatakiwa kuwa kwenye lock...
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

    Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM. Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
  15. chakii

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mlitudharau na Kutupuuza sana pale tuliposhauri kwa nia njema tu kuwa 'Mwamba' asirejee sasa nchini Tanzania

    Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium...
  17. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampa maagizo Mmarekani: Kawaambie wenzako Tanzania imeweza kwa nguvu ya Mungu

    Mapema leo Rais Magufuli akizungumza na TAG, alimwaga kimombo kwa Mmarekani aliyekuwepo ukumbini akimpa ujumbe wa kuupeleka kwao huko Marekani. Siku za hivi karibuni wale waliokuwa wanayatumia hayo mafua ya Corona kama silaha ya kisiasa dhidi ya Rais Magufuli, siku hizi wamekuwa wapole sana...
  18. Titicomb

    JamiiForums Tanzania UHAKIKI VYETI: Tanzania tunaendeleza baadhi ya itifaki na michakato iliyopitwa na wakati tunapoteza muda bila sababu

    Kuna baadhi ya michakato (processes) na itifaki (protocols) ambazo tulirithi toka kwa wakoloni na awamu zilizopita ilikuwa muhimu wakati ule sababu office automation haikuwepo. Kwa sasa hali ni tofauti baada ya maendeleo makubwa ya teknolojia ya mawasiliano. Kuwadai watu wanao omba kazi au...
  19. Kizzy Wizzy

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu Shambulizi na utekaji wa Bandari ya Msumbiji na IS

    ...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Sababu zinazoifanya Tanzania Itambe na kutembea kifua mbele dhidi ya majirani zake

    MOSI Makampuni mengi ya kusafisha madini yalikuwa nchi jirani na yameajiri watu wengi. Mfano wa makampuni hayo ni makampuni ya kukata Tanzanite waliyokuwa wanaitegemea kutoka Tanzania. Hivi sasa Tanzania imedhibiti utorashaji wa madini ya Tanzanite, hivyo ukidhibiti utoroshaji na ukaanza...
Back
Top Bottom