tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Pascal Mayalla

    Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best!

    Wanabodi, Tangu kuibuka kwa Mlipuko wa Corona, umetufundisha mengi, moja wapo ni jinsi wanasiasa wetu, mawaziri wetu, madaktari wetu, na wataalamu wetu kuchanganya siasa na professionalism katika kukabibiliana na tatizo kubwa kama hili ukiwemo uwezo duni wa kutoa elimu ya kueleweka kuhusu...
  2. M

    The young Tanzanian lady Janeikunda Evarist Rimoy aka Sanchi

    The young Tanzanian lady who is discovered to be the lady in Africa with the biggest backside goes by the name Janeikunda Evarist Rimoy while her nickname is known as Sanchi. The word Sanchi was given to this lady due to her shape, curves and beauty. There is currently no young lady of around...
  3. T

    Nani Bingwa wa Ushairi Tanzania baada ya Shaaban Robert na Kezilahabi?

    Leo ni siku ya ushairi Duniani, Nawapongeza watunzi wote wa ushairi nchini Tanzania, Afrika na duniani kote. Wengi tunamsikia Shaban Robert na Kezilahabi kama watunzi mashuhuri wa Mashairi nchini Tanzania lakini hatukuwahi kuwaona wala kufundishwa nao ingawa kazi zao twazisoma na kuzisikia...
  4. technically

    Maaskofu na Mashekhe: Tunataka tume huru ya Kijaji kuchunguza matukio yanayoendelea Tanzania kati ya Serikali na Chama cha Upinzani

    Wakiongea kupitia BBC maasikofu na wachungaji wamesema wanasikitishwa na hali inayoendelea Tanzania juu ya matukio ya watu kushambuliwa na hata kuvunjwa mikono. wanasema wanataka iundwe tume huru ya kijaji kwa kuwatumia majaji wastaafu. Wanasema majaji wastaafu wanaweza kutokuwa na upendeleo...
  5. Return Of Undertaker

    IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania (IGP) Simon Sirro amesema jeshi hilo limejipanga imara kwenye mipaka ili kuhakikisha kwamba watu wanaoingia nchini wanafuata utaratibu na endapo wakibainika kuwa na viashiria vya virusi vya Corona basi hatua zinachukuliwa kwa mujibu wa taratibu...
  6. J

    Corona: Wakati Tanzania imetangazwa mabasi yapakie level seat huko Kenya matatu zaagizwa kupakia 60% ya uwezo wake

    Jana serikali ilitangaza hatua za kudhibiti Corona katika vyombo vya usafiri na kuwataka wenye mabasi wote kupakia "level seat" Leo Waziri wa Afya wa Kenya ametangaza mabasi ya daladala (matatu) kupakia abiria 60% ya uwezo wake akisema yale ya abiria 25 yapakie 15, yale ya abiria 20 yapakie 12...
  7. N

    Tamko Jipya: Serikali ya Tanzania yalaaniwa na UN Human Rights Commission kuhusu suala la akina Mbowe

    Jisomee mwenyewe au ingia kwenye website yao au twitter account, wamelaani issue nzima kuanzia jinsi Rais Magufuli na serikali yake wanavyofanya u dikteta na unyanyasaji. Naambatanisha statement yao ila mwishoni wameshangaa na ku doubt kama wauaji wa Aquilina wamechukuliwa hatua yoyote. It is...
  8. J

    Je, Corona itabadilisha Siasa za Tanzania maana imepiga kuanzia Vatican, UK, USA, Uchina hadi Ujerumani?

    Najiuliza tu kwa kuwa hayo mataifa niliyoyataja ndio wafadhili wakuu wa vyama vya siasa nchini kuanzia CCM, Chadema hadi ACT wazalendo. Baadhi ya vyama siyo rahisi kusimama vyenyewe bila ufadhili na hasa ukizingatia ruzuku itakata rasmi mwezi June. Natafakari tu wakuu. Maendeleo hayana vyama!
  9. Chibudee

    Kupitia Corona Serikali za Dunia inabidi zijifunze kwamba afya ndio mtaji wa nchi kujiendesha

    Kupitia Corona Serikali za Dunia inabidi zijifunze kwamba AFYA NDIO MTAJI WA NCHI KUJIENDESHA; Ndio, yaani inabidi huduma za afya zitolewe bure na zigaramiwe na serikali. Serikali za dunia mpaka sasa zimeshuhudia hasara kubwa sana kutokana na janga la CORONA, kwamba watawaliwa hawafanyi kazi...
  10. wanzagitalewa

    Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyosaidia kuinua wanawake nchini Tanzania

    Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na kisiasa na kuchagiza mjadala wa usawa wa kijinsia. Nchini Tanzania usawa wa kijinsia umeongezeka katika miaka ya karibuni...
  11. Ulopo

    Fundi Majiko ya Gasi Tanzania

    Ni fundi bingwa Majiko ya Gass Kwa tatizo lolote tupigie +255715673024 huduma ni popote ulipo Kwa Dar es salaam na Dodoma fundi atakufata hadi lilipo jiko lako whatsap online muda wote uliza swali utajibiwa. Pia natoa ushauri Kwa mtungi wako wa gass kuweka juu ya ubao na si chini kama...
  12. Kigogo2020

    Tetesi: Uchaguzi Tanzania kusogezwa mbele

    Zilizovuja ni kuwa Meko amecopy kwa dikteka mwenzake Museveni kusogeza uchaguzi mbele. Ila tunawakumbusha mataga, tutadai tume huru mpaka itakapopatikana
  13. Mshiiri

    Handbook of COVID-19 Prevention and Treatment - Aione Mhe. Waziri wa Afya

    Pakua handbook bure chini katika .pdf format... Very resourceful. Wanajamvi tuweke handbooks zote, video illustrations, and any other pertinet information to share with fellow citizens on how we can prevent and control the coronavirus. This thread is intended to leverage in research and...
  14. Doctor Mama Amon

    Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, John Magufuli (kulia) USULI Maaskofu Katoliki Tanzania wametoa waraka wa Kwarezima ya 2020. Katika makala hii nafupisha, kutafsiri na kutumia hoja yao yenye madokezo makuu saba, katika kuonyesha kwamba Tanzania inayo Katiba...
  15. Francis12

    Zitto: Mahakama Kuu imetoa hukumu kuwa Rais wa Tanzania anaweza kushtakiwa kwa makosa ya uvunjaji wa Katiba

    Ameandika Zitto Kabwe: "Mahakama Kuu imetoa hukumu kuwa Rais wa Tanzania anaweza kushtakiwa kwa makosa ya uvunjaji wa Katiba. Jaji Lameck Mlacha ametoa hukumu hiyo katika hukumu ndogo kwenye shauri nililofungua kumshtaki Rais @MagufuliJP kwa kumvua uCAG Prof. Assad. Shauri la msingi...
  16. Analogia Malenga

    Mufti aagiza madrasa zote nchini kufungwa, swala ya Ijumaa kuswaliwa tofauti

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Aboubakar Zubeir ameagiza madrasa zote nchini kufungwa kuanzia leo Jumatano Machi 18, ili kupunguza ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa corona. Akizungumza na Mtanzania leo Jumatano Machi 18, jijini Dar es Salaam Sheikh Zubeir amesema agizo hilo linapaswa kutekelezwa...
  17. Maboso

    Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

    Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
  18. N'yadikwa

    Hivi baada ya Japhet Kaseba kuachana na kickboxing ndio mchezo huo umekufa kabisa Tanzania?

    Wale wapenzi wa Kickboxing tunakosa uhondo yaani huyu jamaa hakuacha legacy kabisa ya mchezo huu. Masumbwi ni eneo ambalo binafsi naamini Watanzania tunaweza kutoka uzuri, tukomae.
  19. Zitto

    Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto #COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu. - Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
  20. Gily Gru

    Mtazamo wangu kuhusu siasa za Tanzania na Rais Magufuli

    Mimi binafsi sina chama, si kwa sababu nataka iwe ivyo, ni kwa sababu sijaona chama Tanzania chenye misimamo nayotaka mimi. Rais Magufuli na Bunge: Kwa mtazamo wangu nadhani si kwamba raisi Magufuli anapinga mhimili wa bunge, hili limedhihirishwa na mkataba alioingia Muheshimiwa Kangi Lugola...
Back
Top Bottom