technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,712
- 58,837
Najua ulishambuliwa ili wengine tukate tamaa kutetea haki pia ili kuwakatisha tamaa mawakili wanaotetea haki za upinzani Tanzania ndi maana miaka 3 ambayo haupo mahakama imewekwa mfukoni hakika usingekubali ungekuwepo nchini. walitaka kukuua ili zile hoja zako mahakamani zisiwepo.
Maono yako yanatimia kila uchao hakika kuna pengo kubwa sana uliloliacha katika nyanja ya sheria.
Nakumbuka ulivyokuwa ukiwatetea watu bure Mahakamani kuanzia kule Nyamongo,uje wakina Max, Lwakatale na wengine kibao uliwatetea ujawai badilika lakini uko uliko utakuwa unasikitika sana jinsi hali ya mahakama ilivyo mbaya.
Nakuhakikishia njoo nyumbani safari ipo mwisho ya kumtokomeza ccm kama shetani mkuu wa taifa ili utawala uliopo ukingoni ufanya kama Magufuli anavyofanya ili uanguke kwa uwezo wa Mungu.