Mwinjuma Muumini ndiye mwanamuziki wa Dansi mwenye uwezo wa juu zaidi kiutunzi na arrangement ya muziki hapa Tanzania

Parabora

JF-Expert Member
Jul 6, 2019
1,504
2,180
Wakuu huyu jamaa ni kipaji japo now kapotea kabisa hasikiki, mnaokumbuka majina ya nyimbo zake wekeni hapa tujikumbushe utamu wa nyimbo za huyu jamaa.

Tupieni hapa zote alizoshirikishwa na zile alizoomba akiwa kwenye muungano wa bendi mbalimbali.

Karibuni wakuu

Muumini.jpg
 
Nyimbo alikuwa anatunga Mudhihiri Mohammed mbunge wa jimbo la Mchinga, usimpe Mwinjuma sifa asizokuwa nazo
 
Nyimbo alikuwa anatunga Mudhihiri Mohammed mbunge wa jimbo la Mchinga, usimpe Mwinjuma sifa asizokuwa nazo
sawa mkuu basi taja nyimbo zake japo chache nizitafute maana alikuwa ananivutia sana uimbaji wake
 
Nyimbo alikuwa anatunga Mudhihiri Mohammed mbunge wa jimbo la Mchinga, usimpe Mwinjuma sifa asizokuwa nazo
Ni nyimbo kama zipi alizotamba nazo Mwumini huku zikiwa zimetungwa na huyo Mudhihiri Mudhihiri? Hata pale Mwumini alipokuwa nje ya band ya Mchinga Sound iliyokuwa ikimilikiwa na Mudhihiri bado ni huyo huyo Mudhihiri ndiye alimtungia nyimbo zilizomfanya atambe?
 
Ni nyimbo kama zipi alizotamba nazo Mwumini huku zikiwa zimetungwa huyo Mudhihiri Mudhihiri? Hata pale Mwumini alipokuwa nje ya band ya Mchinga Sound iliyokuwa ikimilikiwa na Mudhihiri bado ni huyo huyo Mudhihiri ndiye alimtungia nyimbo zilizomfanya atambe?
wakuu tajeni nyimbo basi alizoimba huyu mwamba
 
Muumini alitisha akiwa mchinga then tamtam. Kwa ulinganisho wa wanamziki wa kizazi chake, banza aliwazidi hatua moja mbele
 
Back
Top Bottom