Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
Sitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee...

stakabadhi.jpg

Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
 
Sitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee...

View attachment 1384536

Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
Mkuu Mag3, then vihiyo tutakuwa wengi!.
Mimi sijaona tatizo lolote na risiti hiyo.
Kwasababu watu tunatofautiana uwezo wa kuona, Mkuu Mag3, please share your observations utusaidie akina sisi tuliotoka ukoo ule wa washamba na malimbukeni, ili nasi kuona kile ulicho kinote..
P
 
Binadamu kufanya makosa ya kiuandishi ni suala la kawaida labda kama unaweza kuleta ushahidi kuwa huyo huyo amekuwa akifanya makosa ya kiuandishi mara kwa mara!

Hata wewe tukiangalia kwenye maandiko yako hapa Jamiiforums tunaweza kukuta umefanya makosa ya kiuandishi. Kwa hiyo tutakuita kihiyo au unatokea kwenye ukoo wa washamba na limbukeni.
 
Sitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee...

View attachment 1384536

Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
Unashangaa nini? Afadhali ya huyo mwandishi alifanya kosa la kuongeza herufi S baada ya mllion. lugha hiyo ni ya kigeni. Wengi wenu humu ndani hata kiswahili hamkijui vizuri na mnaboronga kila siku.
 
Mkuu Mag3, then vihiyo tutakuwa wengi!.
Mimi sijaona tatizo lolote na risiti hiyo.
Kwasababu watu tunatofautiana uwezo wa kuona, Mkuu Mag3, please share your observations utusaidie akina sisi tuliotoka ukoo ule wa washamba na malimbukeni, ili nasi kuona kile ulicho kinote..
P
CAG ataihoji hiyo risiti kama ni 30m au 30t?!
 
Mkipelekwa mikataba ya kimataifa ndio maana Watanzania wanakuwa hoi.
Hata kuandika risiti tu ya pesa shida. Hatuko makini kabisa.

Hawa watu ndio wanataka wagombea uchaguzi wa upinzani wasikosee hata herufi moja.

Hawajui hata kuandika risiti.
 
Mkuu Magazine, unahitaji miwani ya macho!.
No!, kaandika vizuri kabisa 30,000,000
Ile mistari miwili ya mwanzo na mwisho ni kuziba nafasi ili figures zisiwe tempered.
P
Samahani wakuu, naomba kuelimishwa hivi hizi pesa za faini kwenye makosa ya jinai hua zingia kwenye mfuko upi wa sirikali?
 
Ameacha nafasi kibao za digits mbele ya 30,000,000 akaandika kwa kubania hadi kwenye sehemu ya cents. Digits zote za 30,000,000 zingeweza kuenea kama angetumia umakini kidogo
Mhasibu inaonekana alilewa Kvant akajikuta anaanzia kuandika namba kutoka mkono wa kushoto kwenda kulia badala ya kinyume chake, ni hatari sana hiyo risiti unaweza kukataliwa na mamlaka zingine
 
Ameacha nafasi kibao za digits mbele ya 30,000,000 akaandika kwa kubania hadi kwenye sehemu ya cents. Digits zote za 30,000,000 zingeweza kuenea kama angetumia umakini kidogo
Yes, kama hoja ni umakini, hata Ph.D level anaweza asiwe makini, kitu muhimu katika mahesabu ni getting fugures correct. Japo sifuri moja imeingia kwenye cents column, haisomeki kams cents kwasababu cents inakuwa separated na nukta.
Hizo hesabu ziko vizuri, aliyeandika sio kilaza, ila tusubiri observation ya Mkuu Mag3.
P
 
Back
Top Bottom