tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. The Assassin

    Benki ya Dunia inatarajiwa kuidhinisha mkopo wa $500M kwa Tanzania baada ya Tanzania kutoa utetezi wake

    Bak ya Dunia inatarajia kuidhinisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola za kimarekani millioni mia tano ($500M) sawa na pesa za kitanzania Trillion 1.3 ambao ulisitishwa hapo mwezi January 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kuingilia kati. Hayo yamejiri baada ya serikali ya Tanzania kwenda...
  2. The Assassin

    Tanzania kuna natural hot springs ngapi?

    Naomba kuuliza, je Tanzania tuna visima vya maji ya moto vya asili vingapi? Mimi najua kuna Majimoto iko Katavi na Majimoto iko Serengeti ila nasikia kuna nyingine iko Manyara na nyingine Moshi, sasa sina hakika kuhusu hizo mbili za Manyara na Kilimanjaro maana hii nchi hizo taairfa haziko...
  3. BASIASI

    Waziri Mkuu Majaliwa, kwa hili la mkonge nikikuwaza natamani muwe 10 Tanzania tungefika mbali sana

    Kama kunaa kitu kimenifurahisha n hilii swalaa LA mkongeee Niliwahii fanyaa naooo kaziii baaadhi kwa Kwelii niwaambiee wale jamaaa walichokuwaa wanafanyaa n kukimilikisha kila mtu ama kwa majina Yaoo ama nduguzaooo sisemi mengi tusiaribu uchunguzii.... Mh PM MAJALIWA Nalitamaani watuu kumii...
  4. funaku

    Assistant Secretary of State (USA) reassured of a free and fair election in Tanzania

    All is well and Tanzania is cool. Mr Kabudi who is a Foreign Minister of Tanzania has done his job of telling the truth to the International community by reassuring that our next election will be free and fair. It is our tradition as Tanzanians to honour and assure peaceful elections. This...
  5. K

    Ushauri wangu kwa Upinzani Tanzania: Epukeni kujibizana hadharani, wapuuzeni wapambe

    Mada inahusika. Katika kipindi hiki kwenu kilichojaa fitina na majungu na nia ya dhati ya kutaka kusambaratishwa na watawala, umakini unahitajika sana. Kwanza ukomavu wenu ni muhimu na mapitio yenu yawaunganishe kama kundi moja lenye common intrest Tumieni uzoefu mlioupata kwenye UKAWA 2015...
  6. Pascal Mayalla

    Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

    Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
  7. Erythrocyte

    Corona: Tanzania yaingilia kati, madaktari wake wajitolea kwenda China kuidhibiti

    Rafiki wa kweli ni wakati wa shida . ===== SERIKALI ya China imeshukuru utayari wa Serikali ya Tanzania wa kutaka kuwapeleka madaktari nchini humo, kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid -19). Aidha, imewatoa hofu Watanzania kuhusu changamoto za...
  8. Cicero

    Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

    MWEEEH! Kama uongo vile. Mbona siiamini hii ripoti. Ngoja niwashushie data ntarudi baadae. ====== Inakadiriwa kuwa Mamilionea 499 kwa kiwango cha dola wamepungua nchini Kenya kutoka mwaka jana. Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 shirika linalofuatilia kiwango cha utajiri binafsi wa watu...
  9. B

    Tanzania: The Soul of a New Africa - Full Documentary

    March 1, 2020 Tanzania's Vision year 2025 Massive investment in Infrastructure, Industrialization, Energy, SGR Railway network, Reforming Mining Sector and Geopolitics in East, Central and Southern Africa Tanzania is an unforgettable destination. The land of the Kilimanjaro, the Serengeti...
  10. OLS

    Tathmini ya hali ya usawa kijinsia Tanzania

    Huu ni mwezi wa Wanawake duniani, basi na mimi nimeona niweke hoja za kuwasaidia kwenye kutimiza malengo yao ya usawa (Theoretically) Takwimu zinaonyesha umasikini kuwa mwingi kwa jinsia ya kike, hii ni kutokana na wao kuwa wachache kwenye shughuli za kiuchumi Sera ya elimu ya mwaka 2014...
  11. Paa

    Hali ikoje kwenye kozi za Masters in Computer na Data Science katika vyuo vyetu hapa Tanzania?

    UDSM hizi kozi mbili zote zipo, sijafuatilia kwa UDOM na vyuo vingine. Hali ikoje wadau? Maana stori za mitaani zinasema kuwa waalimu wengi hawajali wanafunzi, hawana muda na wanafunzi ila mambo yao tu na wengi hawana moyo wa kumsaidia mtu amalize fresh. Hali ikoje?
  12. digba sowey

    Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

    Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. My take,hizi ndo siasa safi. ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
  13. Erythrocyte

    Barabara za Tanzania zinajengwaje, mbona kama udongo mtupu?

    Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi! Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi? Hivi ndivyo nchi za...
  14. Jamii Opportunities

    Nafasi za kazi Baylor Tanzania

    Watoa Huwanyu (HBCs) (3) Posted by: Baylor Tanzania Location: Mbeya Baylor College of Medicine Childrens Foundation – Tanzania ni shirika lisilo la Kiserikali (NGO) maalum kwa kusaidia kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, huduma fahamishi za maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (HIV/AIDS) na...
  15. J

    Wabunge wa Tanzania wasusa na kutoka nje Bunge la Afrika Mashariki wakipinga kupitisha mswada wa Forodha

    Wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki wamesusia kikao na kutoka nje ya ukumbi wakipinga kupitisha muswada wa forodha. Spika wa bunge hilo aliahirisha kikao kwa akidi kutotimia. Source ITV habari!
  16. M

    Kufikia mwaka 2100 Tanzania itakuwa miongoni mwa nchi zenye watu wengi duniani

    Kufikia 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 duniani zenye watu wengi zaidi. Viongozi wetu wanatakiwa wawe wanaweka malengo ya maendeleo ya miaka 100 mbele. Pongezi kwa JPM kwa kuliona hilo na kuanzisha ujenzi wa SGR na bwawa la umeme la Rufiji.
  17. S

    Tanzania tuchukue tahadhari kubwa, Wakenya mbioni kutuletea Coronavirus Tanzania!

    Serikali ya Kenya, japo imesimamisha ndege zake za KQ kwenda China, imekuwa ikiruhusu abiria kutoka China kungia nchini humo bila kuwa na tahadhari zozote zaidi ya kuwapima joto wanapowasili uwanja wa Jomo Kenyatta au kuwadhibiti katika kile kipindi cha siku 14. Hii imezua taharuki kwa...
  18. K

    Bila kuchelewa, Serikali ya Tanzania ijipambanue kupata uchaguzi huru na haki ili kuondoa upotoshaji

    Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania. Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
  19. Offshore Seamen

    Tanzania tumepewa bahari, tuitumie kuongeza pato la taifa

    Tanzania tumepewa eneo kubwa sana la bahari ya Hindi ambapo tumejaliwa kuwa na bandari, fukwe, visiwa na hifadhi za asili. Bahari tuliyonayo inatosha kuzalisha mapato kuzidi hata sekta ya madini ambayo sisi tunaitolea macho. Zifuatazo ni shughuli ambazo zikifanyika kwa ustadi zitazalisha...
  20. S

    Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

    Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii. Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
Back
Top Bottom