Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Uganda imeamua kutumia wanajeshi kuzuia muingiliano na Watanzania mpakani, maana watu wanaotokea Tanzania kila wakipimwa wanakutwa na kirusi, kwa sasa hamna cha undugu tena mpakani. Kule Tanzania walishaambiwa corona imejifia kisa kiongozi kasema.
===
Uganda is clamping down on informal cross...
Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama The New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili dumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena matatizo ya wananchi walala hoi.
Mwaka 1998 upinzani ulifanya campeni ya nguvu. Pamoja na The New...
Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili sumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena matatizo ya wananchi walala hoi.
Mwaka 1998 upinzani ulifanya campeni ya nguvu. Pamoja na New Order kuwa...
Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye...
kumbuka malipo hayo yanajumuisha chakula, malazi na usafiri
===
Project Title: 2020 Tanzania Democracy Support Project (2020TDSP)
Organization: Mwangaza Africa
Job Title: Civic and Voters Education Field Officers (250 positions)
Salary: Tsh 4,530,000/= (2,700,000 for form six) for 3 Months
Job...
Mfano mzuri ni kona ya Barabara ya Bibi Titi Mohamed na Mtaa wa Maktaba ukiwa unatokea Mwenge. Mfano mwingine ni TAZARA kama unatoka mjini kukata kona ya kushoto kuingia Barabara ya Mandela. Utakuta madereva wanaogopa kukata kushoto kwa vile watakamatwa.
Pana sababu zipi wakamatwe?
Amani iwe nanyi wadau!
Leo napenda nitoe Elimu kwa watanzania juu ya propaganda za wana CCM kuwa yeyote anayempinga Raisi Magufuli ni kibaraka wa Mabeberu. Wanasema haya wakitaka kujenga picha kwa watanzania ( wadanganyika) kuwa ubeberu ni kama dhambi au jambo fulani ambalo halifai. Najua kwa...
Sasa imekuwa rasmi wasanii hasa wanamuziki na tasnia karibu zote nchini wanamuunga mkono Rais. Hii sio dhambi, lakini pale msanii anapoimba nyimbo kupondea upinzani kana kwamba upinzani umeletwa nchini na shetani inashangaza sana.
Vyombo vya Habari munadhani CCM itatawala milele? Kwa bahati...
Zaidi ya asilimia 61 ya eneo la Tanzania inakabiliwa na hatari ya kugeuka jangwa ikiwa juhudi zaidi hazitachukuliwa kukabiliana na changamoto za uharibifu wa misitu ya asili unaotokana na ongeeko la shughuli za binadamu zisizo endelevu na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.
Wataalam wa...
Naelewa kuwa Wasanii wengi wanalelewa na CCM kiufadhili na kifursa lakini hiyo siyo sababu ya wao kuishi ndani ya box.
Kwa sasa wasanii wote wako busy kutunga nyimbo za kuienzi CCM, hilo ni jambo jema lakini wasisahau kuwa nje ya siasa maisha ni lazima yaendelee.
Wasanii wote wanapokuwa na...
RUSHWA TUNAILEA
RUSHWA INATULEA
Hali ya rushwa katika chaguzi zetu inatisha kuliko wakati wowote. Jitihada za kupambana nayo zinalingana na ongezeko la rushwa yenyewe, yaani vita imeongeza rushwa badala ya kuipunguza. Hii ni kwa vyama vyote na wagombea wote. Tofauti ni viwango tu. Kwa hiyo ni...
Habarini wana jukwaa hili la siasa na JamiiForums kwa umjula.
Mungu aendelee kutupa uzima na afya njema ktk maisha yetu ya kila siku.
Niamze kwa kumpongeza kaka yangu Lissu kwa ushindi mnono alioupata kutoka kwa viongozi (wajumbe).
Nimeona historia tukufu mbili katika vitabu vitakatifu vya...
Huenda uliposoma kichwa cha habari ukawa umejipanga kuja kunikosoa haraka kwamba nchi ina hifadhi nyingi za wanyama, mafuta, gesi, madini yaliyojaa tele nchini na hata kuwa na Tanzanite ambayo ipo hapa tu duniani kote, mlima kilimanjaro na vitu vingi ardhi hii iliyosheheni rasilimali.
Umaskini...
Kukua kwa sekta ya mawasiliano hapa nchini tumeshuhudia mambo mengi pia yakibadilika.
Katika nyanja ya siasa na sheria hapa nchini tumeshuhudia uanzishwaji na upitishaji wa Sheria inayoangazia matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii.
Leo hii mtu muoga ni nadra sana kuandika kitu cha kuponda...
Kama ilivyo kawaida ya Kenya kuonesha tabia za kitoto za kumchokoza kaka yake au mkubwa kwake kiumri na nguvu. Lakini pale yule mkubwa akichoka kuvumilia na kuamua kumuadhibu labda tu kwa kumpa kwenzi la wastani la utosi, basi huyo mtoto mchokozi hulia na kukimbilia kusema kwa mama/baba.
Hiyo...
Credit: Faustine Kapama Daily News
THE Atlas Copco Tanzania Limited, which is part of Atlas Copco Group, a conglomerate of multinational companies headquartered in Sweden, has lost its bid to oppose payments of tax amounting to 2.12bn/- to the Tanzania Revenue Authority (TRA).
This followed...
Niliposikia Kenya na Tanzania wamefikia muafaka kuhusu kusafiri kwa ndege kati ya Dar es Salaam na Nairobi, nilidhani kwamba makubaliano haya yangehusu pia usafiri wa shuttle kati ya Arusha na Namanga. Kufika Arusha naambiwa hakuna kitu cha namna hiyo, bado wanaoruhusiwa kuvuka mpaka pale...
Kwa wadau wote wa Tasnia ya hapabari hapa nchini mnaweza mkalitazama hili na kulijadili kwa mapana huenda likawa na matokeo fulani hasi ama chanya kwenye sekta ya habari hapa nchini.
Tumeona matukio mengi tu na niseme labda ni tabia inayochipuka kwa kasi kubwa kwenye sekta ya habari kwa hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.