tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Cvez

    Sekta ya Utalii Tanzania ijiandae kwa maisha ya Corona na baada ya Corona

    Janga la Corona mpaka sasa hivi limeathiri nyanja mbalimbali za uchumi. Ingawa mpaka muda huu sekta ambayo imeathiriwa zaidi na ipo ICU ni sekta ya Utalii. Nchi nyingi zimefanya lockdown, kuna kufutwa kwa safari za anga. Hivyo hoteli, migahawa, tax drivers, wakulima, wavuvi, tour companies na...
  2. Chagu wa Malunde

    Nini kimewasibu chama kikuu cha upinzani Tanzania?

    Najiuliza sana wala sipati jibu, kuna nini kimewasibu wa Chadema? Chama chenu kinaonekana kukubali kushindwa kabla hata refa hajapuliza kipyenga. Wabunge pamoja na wanachama wanawakimbia. Jana lile nyomi kule Tarime ni aibu kwa chama chenu. Mmekuwa kama mmepigwa shoti ya umeme na kuduwaa...
  3. Mkwere Sumbawanga

    BoT yatangaza Noti mpya

    Kuanzia Sasa kutakuwa na maboresho katika noti zetu hapa Tz, Kama zinavyojieleza kwenye picha.Source BOT. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. funaku

    Ipo haja ya kuangalia educational background ya wanaotoa maoni juu ya COVID 19 Tanzania

    Watanzania wawe macho na waropokaji wote wanaongelea COVID 19 katika media mbalimbali. Muda huu ni muhimu kuwasikiliza wataalamu wa afya Tanzania na wote waliotajwa kutoa taarifa rasmi. Hata kama kuna muigizaji ,mwanasiasa au mtu maarufu sana anatoa maoni yake basi ni vyema kujua ana...
  5. BABA SANIAH

    Benki yenye riba nafuu hapa Tanzania

    habari za muda wadau wa jukwaa hili,naomba kufahamishwa benki au taasisi yenye mkopo nafuu kuliko nyingine ili,niweze kwenda kujipatia chochote katika kulisongesha mbele gurudumu la maendeleo ya tanzania.nilipita nmb na mwalimu commercial bank,riba zao ni asilimia 17,na kuna baadhi ya mambo...
  6. Return Of Undertaker

    Spika Ndugai: Hali ya watanzania ni ngumu, ni maskini sana wanaishi kwa kubangaiza, tukifunga nchi hawataweza kula

    Ndugai-"Hatuwezi 'tuka-paste' hatua za wazungu,tutaua watu" Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema nchi haiwezi kuchukua tahadhari kama zilivyochukuliwa na Mataifa mengine duniani ya kupambana na virusi vya corona kwa kuwa watu wengi nchini maisha yao ni ya...
  7. K

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) "mgonjwa anayepumulia kwenye mashine"

    Mimi kama mdau mkubwa wa Sekta ya kilimo kwa nyakati tofauti tofauti nimetembelea hii benki toka izinduliwe mwaka 2015 na kujaribu kupata mkopo kwa ajili ya shughuli zangu za kilimo na wakati mwingine kujaribu kusaidia wadau wenzangu kupata mikopo lakini katika hali ya kusikitisha saana haya ni...
  8. Influenza

    CoronaVirus: Uhamiaji Tanzania yawaongezea Wageni muda wa kukaa nchini baada ya kushindwa kusafiri

    Kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa #Corona na baadhi ya Wasafiri kushindwa kusafiri kurudi kwao, Tanzania imetoa muda wa nyongeza kwa wageni hao kukaa nchini Wageni wote waliokuwa wanatarajia kuja na tayari wamepewa ‘Visa Grant Notice’ lakini ameshindwa kusafiri ameongezewa miezi mitatu kutoka...
  9. R

    New regulations on work permits in Tanzania

    Criteria and conditions for issuance of each type of work permit Employment of Refugees Employment of non-citizens in the public sector Bulk recruitment of non-citizens Report on cessation of employment and failure by non-citizen issued with work permit to enter Tanzania within stipulated...
  10. Kipenzi Changu

    Kikosi changu cha Ligi Kuu Tanzania Bara-VPL 2019/2020

    Nikiwa nimefanikiwa kuangalia mechi nyingi za VPL kabla kusimama kwa sababu ya janga la Corona, hili ni kosi langu la VPL 2019/20 1. Aishi Manula Simba SC 2. Shomari Kapombe Simba SC 3. Mohamed Hussein Simba SC 4. Bakari Nondo Coastal Union 5. Yakub Mohamed...
  11. MakinikiA

    Coronavirus: Burundi yatangaza kuwa na wagonjwa wa corona kwa mara ya kwanza

    Coronavirus: Burundi yatangaza kuwa na wagonjwa wa corona kwa mara ya kwanza Burundi yathibitisha kuwa na wagonjwa wawili wa corona. Waziri wa afya nchini humo Thadée Ndikumana, ametangaza watu wawili ambao ni raia wa Burundi kuwa na maambukizi ya virusi vya corona. Raia hao ambao wote ni...
  12. B

    Utabiri: Tanzania kwenda total lockdown mwezi April

    Wakuu huu ni utabiri tu si kama ile ndoto ya mheshimiwa Lema hivyo nadhani si haba kuuweka hadharani. Utabiri huu unazingatia ukweli kuwa serikali ya awamu ya tano imesheheni wasomi wazamivu na wasomi wabobezi kweli kweli. Kwa ma PhD na ma Profesa wote wale chini ya mkuu mwenyewe ambaye pia ni...
  13. Jamii Opportunities

    New Job Vacancy at Chemonics International Inc Tanzania - Chief of Party

    Chemonics seeks a chief of party for the anticipated five-year, $25-50 million USAID-funded Tanzania Horticulture Activity. The project, anticipated to begin in early 2021, is expected to increase the competitiveness and inclusiveness of the horticulture subsector while improving the nutritional...
  14. Superbug

    Janga la korona ni vita kamili. Bajeti ya 2020/2021 iangalie uwezekano wa stimulus package

    Janga la Corona linaenda kuharibu uchumi wa dunia kabisa sekta ya utalii itapigwa vibaya sana uchumi wa mikoa inayotegemea utalii utaanguka kwa kiwango kisicho cha kawaida . Serikali ziangalie namna ya kufidia sekta hizi ili kuziokoa vinginevyo itakuwa ni zaidi ya kipindi kile cha vita ya Idi...
  15. J

    Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

    Waziri wa afya Ummy Mwalimu ametangaza kifo cha mgonjwa wa Corona kilichotokea leo asubuhi katika kituo cha Mlonganzila. Anakuwa mgonjwa wa kwanza nchini kutangazwa kufa kwa ugonjwa huu. "Nasikitika kutangaza Kifo cha Kwanza cha Mgonjwa wa COVID-19 hapa nchini Kilichotokea alfajiri ya Leo...
  16. Richard

    Serikali ya Tanzania inawachukulia vipi watanzania ambao wana dharura kama kufiwa wanapotokea nje ya Tanzania?

    Suala la dharura mara nyingi huwa halikwepeki na hutokea wakati wowote ule. Ndo maana hata katika nchi ambazo zimedhurika kabisa na athari za ugonjwa wa Covid-19 zimechukua hatua kadhaa ambazo wananchi wanapaswa kuzifuata ili kujikinga na madhila ya gonjwa hili hatari linalosababishwa na kirusi...
  17. Papaa Mobimba

    Serikali: Wagonjwa watano wathibitika kuwa na Virusi vya Corona na kupelekea kuwa na idadi ya wagonjwa 19 (Machi 30, 2020)

    Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar. Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa...
  18. Pascal Mayalla

    Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa

    Wanabodi, Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Kufa Kufaana", wakati watu wanahangaika na janga la Corona, wengine wanaangazia namna ya kutumia changamoto kuzibadili kiwa fursa, yaani turning problems, obstacles, challenges or adversaries into opportunities. Tangu dunia na taifa letu kukumbwa na...
  19. M

    Wakenya: Tunawashangaa Watanzania, Polisi wa Tanzania wanafanya zaidi ya hiki cha Polisi wa Kenya lakini huwa hawasemi

    Nikiwa hapa katika viunga vya jiji la Nairobi nimejaribu kupata maoni kutoka wa watu mbalimbali ambao nilitaka kufahamu kuhusu sakata la Polisi kupiga watu siku za hivi karibuni na jinsi suala Hilo lilivyoleta mtafaruku ndani na nje ya Kenya. Wengi wamesikitishwa na kitendo hicho ila wengi...
Back
Top Bottom